Tatizo la wahalifu waliohukumiwa wanapomaliza vifungo na kurudi mitaani kisha kuendelea na uhalifu ni moja ya changamoto katika jamii zetu pamoja na kazi nzuri inayofanywa na jeshi la magereza ya...
Kutokana na kutokuwa na mvua za uhakika na za wakati kwa baadhi ya maeneo hapa inchi imepelekea maisha ya wananchi wengi hasa vijijini kuwa magumu kwa sababu tegemeo lao kubwa ni kilimo cha...
Tanzania, pamoja na ufukwe wake mkubwa na rasilimali nyingi za baharini, ziwa na mito, ina sekta ya uvuvi inayostawi ambayo ina jukumu muhimu katika uchumi wa nchi na usalama wa chakula. Hata...
HAKI NA UHURU: CHANGAMOTO ZA KUPIGANIA USAWA KATIKA JAMII
Imeandikwa na: Mwl.RCT
UTANGULIZI
Katika jamii yoyote ile, haki na uhuru ni mambo muhimu sana katika maendeleo yake. Hata hivyo...
Katika shughuli za Serikali Zanzibar kwa kuzingatia misingi ya demokrasia na Utawala bora kama ilivyoaiinishwa katika katiba ya nchi na kuimarisha uwazi na uwajibikaji kwa wananchi; YAFUATAYO...
Kilimo ni sekta muhimu katika kukuza na kuendeleza ustawi wa Taifa letu. Kwa Sasa kilimo kinaajiri siyo chini ya 60% ya watanzania na inachangia sii zaidi ya 30% ya pato la Taifa.
Kundi kubwa la...
Kutokana na mahakama ya Africa kutengua wakurugenzi kusimamia uchaguzi Tanzania na kuagiza serikali kufanya marekebisho ya sheria ya uchaguzi ndani ya miezi 12 nilikuwa na mapendekezo yafuatayo...
UTANGULIZI
Miaka 7 iliyopita niliamua kufanya uchunguzi na tafiti mbalimbali kwa nini mataifa mengi sana ya afrika ni masikini pamoja na taifa letu la Tanzania. Katika uchunguzi na tafiti zangu...
Maji kwa maendeleo! Kaulimbiu inayotumika na chuo cha maendeleo na usimazi wa rasilimali maji Tanzania. Hapa nitakupitisha maeneo kadhaa kukuonyesha na kujadili nawe pamoja ni kwa namna gani maji...
Uwajibikaji na utawala bora ni nguzo muhimu katika ujenzi wa jamii imara na inayostawi katika nchi yoyote ile. Uwajibikaji unaohusisha viongozi wa kisiasa, taasisi za umma, na raia ni msingi wa...
Hapo zamani za kale pembezoni mwa upwa wa bahari ya hindi kulikua na familia ya wabantu. Familia hiyo kwa umaarufu wake wa kumiliki kila aina ya vito vya thamani hata vile visivyoweza kupatikana...
Mazingira ni jumla ya vitu vyote vinavyo mzunguka mwanadamu. Hii ni pamoja na miti, bahari, anga hewa. Ili binadamu na viumbe hai wengine waweze kuishi vizuri wanahitaji mazingira yaliyo safi na...
Je muda upo?
Mara nyingi tumekuwa tunafanya Mambo yetu kana kwamba tuna muda mwingi sana. kwamba kesho nayo ni siku, lahasha hilo ni kosa kubwa tunalo lifanya. iwe umeajiriwa, umejiajiri au...
Wakulima wa mpunga bonde la kilombero wanufaika na kupanda kwa Bei ya mchele ambapo kwa Sasa Bei ya mchele imefika elfu 1800 Hadi elfu 2000 kwa kilo
Hata hivyo wakulima wamesema kuwa...
UTALII WA NDANI TANZANIA: FAIDA, CHANGAMOTO NA VIVUTIO
Imeandikwa na: MwlRCT
UTANGULIZI
Picha | Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro
Utalii wa ndani ni muhimu sana kwa maendeleo ya kiuchumi na...
Habari zenu watanzania.
Ninajivunia kuwa mtanzania, pia ninayo furaha kupata fursa hii, ili na mimi nitoe mawazo yangu katika ujenzi wa nchi yetu. Asanteni sana mlioandaa shindano hili, siyo tu...
Msingi mkubwa wa kila taifa ni ulinzi na usalama, kuweza kulinda nchi na mipaka yake ili kuhaikisha usalama unakuepo na nchi inapata amani na kuhakikisha shughuhuri zengine zinaendelea mana bila...
Kipaji ni mtaji pekee ambao kila binadamu huzawadiwa na asili. Kila mtu anauwezo wa kipekee kufanya jambo au kitu Fulani. Na, ili uwezo huo (kipaji/kipawa) uweze kukua na kuendelezwa na kuleta...
Utangulizi:
Tanzania, nchi inayojulikana kwa mandhari yake ya kuvutia na urithi wa kitamaduni tajiri, imekuwa ikijitahidi kwa muda mrefu kuwa na utawala unaowajibika na uwazi. Katika miaka ya...
Tupate maana fupi ya maneno haya katika kiswahili.
Kama ilivyonukuliwa kutoka kwenye kamusi ya kiswahili ya TUKI maneno haya yana maana ifuatayo.
SAYANSI ni mchakato wa kisomi wa kugundua na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.