UTAMADUNI WETU, UTAMBULISHO WETU: KUCHOCHEA MAGEUZI KATIKA SEKTA ZA UTAMADUNI, MALIASILI NA UTALII
Imeandikwa na: Mwl.RCT
UTANGULIZI
Tanzania ni nchi yenye utajiri mkubwa wa utamaduni...
1. Adhabu za Kisheria: Ukiukaji wa sheria za mazingira unaweza kusababisha adhabu za kisheria, ikiwa ni pamoja na faini, ada za kisheria, na hata kifungo, kulingana na uzito wa ukiukaji. Mashirika...
Wajibu katika Sekta ya Mazingira ni muhimu kwa usimamizi bora na uhifadhi wa maliasili zetu. Hapa kuna maandishi yanayoelezea umuhimu wa uwajibikaji na jinsi unavyoweza kutekelezwa katika sekta...
Sekta ya Mazingira ni muhimu kwa uendelevu wa sayari yetu na ustawi wa vizazi vijavyo. Ili kukuza utawala bora na uwajibikaji ndani ya sekta hii, mabadiliko kadhaa yanaweza kufanywa na...
.
Sio kila mtu anaweza akawa mwajibikaji kama hajajua vitu muhimu ambavyo mtu mwajibikaji anapaswa kuwa navyo. Mtu mwingine hujaribu kuwa mwajibikaji kwa mda fulani, lakini kwasababu hajazoea hayo...
Pachua ni kitendo Cha kutegua ficho kwa kuweka wazi, kionekane kile kilichomo ndani. Hivyo basi, mimi leo napachua kile kilichomo katika malezi kama shule ya kwanza ya ukuzaji na uleaji.
Malezi...
Katika mada yetu mwaka huu, kama we ni kiongozi jiulize maswal adilifu, nini maana ya uadilifu? Je, Kama viongozi, mnaongoza watu wenu kwa uadilifu? Je, nini hutokea kiongozi Anapokosa uadilifu...
Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa JamiiForums kwa kuandaa na kutoa nafasi hii ya kipekee kwa wananchi. Huu ni mtazamo wa mfano mzuri katika uhuru wa vyombo vya habari kwa jamii...
Utangulizi
Tanzania, taifa linalojulikana kwa urithi wake wa kitamaduni na mapenzi ya michezo na burudani, limeona ukuaji mkubwa katika tasnia hizi kwa miaka mingi. Hata hivyo, kama nchi nyingi...
ANDIKO LA MAONI
Maendeleo ni mchakato unaohusisha ushirikiano baina ya wananchi, haiwezekani wananchi wote wakafanya kazi zote kwa pamoja katika eneo moja .Ni lazima kuwe na mgawanyiko wa kazi...
Uongozi ni jambo jema sana ndiyo maana uongozi upo ndani ya watu wote, na uongozi ni rafiki na shughuli za wanadamu.
Uongozi kwangu ni mamlaka ya kusimamia na kuwa mstari wa mbele kuhakikisha...
Habari ni taarifa kuhusu tukio au matukio fulani inayowasilishwa kwa mtu au umma kutoka upande mmoja kwenda mwingine. Haki ni stahili alizonazo binadamu kutokana na asili ya utu alionao na sheria...
Tanzania taifa lililozaliwa miaka 59 iliyopita baada ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar lenye watu takribani milioni 60
Taifa ambalo mchezo wa Mpira wa miguu unapendwa zaidi kuliko mchezo...
Mwishoni mwa miaka ya 1970, Tanzania tuliweza kuingia katika vita nzito dhidi ya adui wetu kutoka Uganda Nduli Iddi Amini ambapo Uganda iliivamia Tanzania na kwetu akawa kikwazo na adui ambaye...
Kwanza nianze kwa kuipongeza serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa jitihada kubwa inayoendelea kuzichukua katika kutunza na kulinda mazingira yetu na vyanzo mbalimbali vya asili ambapo...
USAWA WA JINSIA, JAMII YENYE NGUVU
Imeandikwa na: Mwl.RCT
HISTORIA YA USAWA WA JINSIA
Usawa wa jinsia ni suala ambalo limekuwa likijadiliwa kwa muda mrefu katika historia ya binadamu. Harakati...
Mimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu mwenendo wa usafiri wa mabasi ya mikoni. Kiongozi mmoja akifuta safari za usiku na mwingine akizikirudisha. Mmoja ikichagua mabasi gani yasafiri usiku na...
Mtembea bure si sawa na mkaa bure, kutembea nako ni kusoma na lengo la kusoma ni kupata maarifa,ujuzi,mbinu na mikakati kubadili hasi kuwa chanya. Nami nimeaandaa safari hii tukasome yote yaliyo...
Naitazamia nchi ya watu wazima, huku nikiwa na kiasi cha tashwishi. na kujiuliza maswali, kama nchi ya watu wazima tunataka nini? hivi mwelekeo wetu ni upi? kiongozi ni yule, na mwongozwa ni huyu...
UTANGULIZI
Jamii asilila ni kikundi au mkusanyiko wa watu wanaoishi kwa pamoja katika eneo la kijiografia moja wakitambulika na kuunganishwa na historia na utamaduni unaofanana wakiishi katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.