SoC04 Threads

  • Suggestion Suggestion
Tanzania, yenye utajiri mkubwa wa vyanzo vya maji kama mito mikubwa na maziwa, bado inakabiliwa na changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi wake. Licha ya rasilimali...
0 Reactions
0 Replies
195 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Tanzania kwa kiwango cha uchumi tulichopo kuna haja kubwa ya kufungua na kutoa uhuru kwa wananchi kujishughulisha na kazi yoyote ilmradi haigharimu taifa kiuchumi. Kiu kubwa ni kuwepo kwa mianya...
0 Reactions
0 Replies
157 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Afya ni ile hali ya mwili, akili, na kijamii kuwa sawa. Ni muhimu kujali afya kwa kula vizuri, kufanya mazoezi, na kupata muda wa kutosha wa kupumzika ili mtu aweze kuwa na afya njema. Hili mtu...
0 Reactions
0 Replies
183 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
UTANGULIZI Kumekuwa na changamoto kubwa sana katika sekta yaAfya hususani kitengo chakusafirishia wagonjwa kwa kutumia Ambulance, hii ni kutokana na gharama ya usafirishaji kuwa juu zaidi na...
0 Reactions
0 Replies
132 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
KWANZA AWALI YA YOTE NAMSHUKURU MUNGU KWA AMANI NA NEEMA ALIYOTUPA SISI KAMA TAIFA LAKINI YAFUATAYO NI MITAZAMIO YA MIAKA 5 HADI 25 NTAKAYOCHANGIA;- 1. Kulingana na mtazamo wangu miaka ijayo...
0 Reactions
0 Replies
163 Views
Upvote 3
  • Suggestion Suggestion
Tukisema mtoto ni taifa la kesho iwe Ina maanisha Kwa vitendo Kwa wadau wazazi mpka serikali yenyewe. Ifike mahali wataalam waafya watoe masomo ya mlo kamili Kwa kina mama wajawazito wapo kliniki...
0 Reactions
0 Replies
149 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Utangulizi "Tanzania Tuitakayo" ni kauli mbiu inayolenga kuleta mabadiliko chanya kupitia mijadala na fikra bunifu kwa ajili ya mustakabali wa nchi yetu. Katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo...
0 Reactions
0 Replies
350 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Maendeleo ni Jambo linalohitaji Jitihada kubwa na jumuishi katika Sekta Muhimu kama vile ELIMU, UTALII, VIWANDA, AFYA, SAYANSI NA TEKNOLOJIA Kwa Uhakika Suala la maendeleo ni mchakato wa muda...
0 Reactions
0 Replies
246 Views
Upvote 3
  • Suggestion Suggestion
Tanzania Ijayo bila Watoto wa Mtaani: Mwelekeo Sahihi wa Kitatuzi Kadiri siku zinavyokwenda idadi ya watoto wa mtaani inazidi kuongezeka. Ongezeko lao linatishia mustakabali wa nchi kwa sababu...
0 Reactions
0 Replies
153 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Mfumo Mbovu wa Elimu: Kikwazo Kikuu kwa Maendeleo ya Tanzania Elimu ndio kitovu cha maendeleo katika Nyanja zote za Maisha katika nchi na Maisha binafsi ya mtu, kwa bahati mbaya mfumo ambao...
0 Reactions
0 Replies
306 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Ni Mara Kadhaa tumekuwa tukishuhudia jitihada za Serikali ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, Katika kuhakikisha huduma bora kwa Wananchi wake kwa Kupitisha Bajeti ambayo kila mwaka inaongezeka...
0 Reactions
0 Replies
105 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Tanzania Tuitakayo: Maono ya Kibunifu kwa Miaka 25 Ijayo Utangulizi Tanzania, nchi yenye utajiri wa maliasili, tamaduni mbalimbali, na watu wenye bidii, ina fursa kubwa ya kufanikisha maendeleo...
1 Reactions
0 Replies
201 Views
Upvote 3
  • Suggestion Suggestion
Kasoro ya kuzaliwa ni mabadiliko ya kimuundo ambayo yapo wakati wa kuzaliwa yanaweza kuathiri ukuaji na utendaji wa mtoto. Kwenye nchi yetu uchunguzi uliyofanyika mwaka 2015 kwenye Hospital ya...
124 Reactions
28 Replies
5K Views
Upvote 477
  • Suggestion Suggestion
Najivunia sana nchi yangu Tanzania kuwa ni kubwa barani Afrika, ikiwa imesheheni tunu nyingi kama vile ardhi yenye baraka nyingi, utalii, uvuvi, kilimo, viwanda, na sekta nyingi zaidi. Licha ya...
0 Reactions
0 Replies
152 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Uzalendo ni hali ya mtu kuipenda nchi yake kiasi cha kuifia alisikika mtu alisema. Ukarimu na amani ni sifa kadhaa zinazoskika Kwa watu wa njee juu ya nchi yangu Tanzania. Kilio changu katika...
1 Reactions
0 Replies
123 Views
Upvote 3
  • Suggestion Suggestion
TANZANIA MPYA: KUANZISHA CHUO MAALUMU KITAKACHOTOA TAALUMA KWA DADA WA KAZI ZA NYUMBANI. Ni wazi kuwa Viongozi wakubwa wa serikali walioko madarakani na waliomaliza muda wao wengi wao walilelewa...
2 Reactions
4 Replies
280 Views
Upvote 7
  • Suggestion Suggestion
UTANGULIZI. Utawala bora ni nyenzo muhimu katika maendeleo ya kiuchumi, kidemokrasia, kijamii na hata maandeleo ya mtu mmoja mmoja. Utawala bora ni zoezi la viongozi katika ngazi zote kusimamia...
1 Reactions
1 Replies
206 Views
Upvote 6
  • Suggestion Suggestion
Tanzania ni nchi yenye utajiri mkubwa wa rasilimali na vipaji. Katika miaka kumi hadi kumi na tano ijayo, tunaweza kutumia ubunifu kama kichocheo cha maendeleo endelevu na kujenga taifa lenye...
1 Reactions
1 Replies
179 Views
Upvote 5
  • Suggestion Suggestion
Miundombinu hurahisisha utoaji wa huduma kwa jamii Jamii inahitaji miundombinu bora ya barabara, maji, umeme, reli, hospitali, shule nk. Serikali imejitahidi sana kujenga miundombinu ya kutolea...
0 Reactions
0 Replies
96 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Kama raia wa Tanzania mwenye kipato cha kawaida au cha chini, kumiliki ardhi au nyumba ni mtihani mgumu unao hitaji maarifa mengi na hesabu kali. Kadri siku zinavyo zidi kusonga, bei ya ardhi...
1 Reactions
0 Replies
257 Views
Upvote 2
Back
Top Bottom