MTANZANIA MWENYE TANZANIA TUITAKAYO
Je, ni nani mwenye Tanzania tuitakayo?
Ndugu msomaji, natamani tuzungumzie kwa pamoja suala la Tanzania tuitakayo. Leo hii utakubaliana na mimi kuna...
Ili Tanzania ya sasa na ijayo iweze kukabiliana na kuondoa tatizo la kuporomoka kwa thamani ya shilingi na uchumi kwa ujumla pamoja uhaba wa fedha za kigeni, ni vema sisi kama Tanzania tuchague...
Tanzania ni moja ya nchi ambayo haiwezi kukwepa matumizi ya sayansi na teknolojia katika kuendeleza uchumi wake. Taasisi za umma zinaongoza kwa kuwa na huduma isiyoridhisha kwa upande wa...
Kufikia Tanzania tuitakayo ni lazima kuhakikisha kuwa Vyanzo vikuu vya maji vinatunzwa na kulindwa ipasavyo kwakuwa Nchi inaweza kuweka malengo pamoja na mipango madhubuti kabisa lakini bila...
Kwanini Mimi rafiki yake Sisi?
1. Kuielimisha na kujenga jamii nzima(sisi) Ni lazima ianze na mtu mmoja mmoja(Mimi)
2. Hatuwezi kuwa na jamii ya werevu ikiwa Kila mtu ni mjinga. Tunahitajika...
Naam.
Ni wasaa mwingine ambao tupo kusoma dira vizuri ili tusipotee katika mwelekeo wa safari yetu kuitafuta TANZANIA Bora Zaidi.
Bila kupoteza muda niende Moja Kwa moja nikibainisha wazi ya...
Utangulizi
Tuzo ni alama ya heshima na kutambua mchango mkubwa na mafanikio katika sekta mbalimbali za maisha. Katika muktadha wa bunge, tuzo za ubunge huchukua jukumu muhimu katika kuenzi uongozi...
PREMISE
For all countries in the world, balance of trade is a very important aspect that can make or break the country and its economy. Balance of trade is the difference between all imports and...
Tanzania ni Moja ya nchi zilizo na maendeleo endelevu katika sekta mbalimbali,kulingana na takwimu mbalimbali zikionesha hali halisi ya Tanzania tangu mwaka 2021 mpaka matazamio ya mwaka...
Uchaguzi wa raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania,huchaguliwa kila baada ya miaka mitano baada ya miaka hiyo hulazimika tena kurudi kwa wananchi na kuomba kura tena,mara nyingi maraisi wa...
Robo karne ijayo Tanzania itakuwa katika nafasi bora ya kiuchumi hili ni jambo la kutia moyo.
Hakuna jambo jema likosalo changamoto zake, changamoto kubwa wa ukuaji wa uchumi ni ongezeko la watu...
Imewahi kunukuliwa kwa viongozi waliopita wa Taifa letu na kitu ambacho ni ukweli ya kwamba nchi yetu ni tajiri, Na utajiri wetu unajidhihirisha katika rasilimali zetu za asili kwa maana ya...
Uchukuzi na teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA) ni muhimu Sana kwa usatawi wa nchi ya Tanzania kwa kuchangia Pato la Taifa. Uchukuzi hujumuisha bahari(bandari), usafirishaji wa anga...
The Tanzanite Revolution: How Women Miners Are Transforming the Heart of Tanzania
Beneath the scorching sun of Tanzania's mining heartlands, a seismic shift is underway—not with the rumble of...
Tanzania Tuitakayo
Na Ndugu. Godlisten Mwasha.
Mabadiliko ya kiuchumi, elimu, huduma za afya, na utawala ni nguzo muhimu kwa maendeleo endelevu ya taifa letu la Tanzania. Katika karne ya 21, ni...
UTANGULIZI
Kwa takribani kipindi cha miaka 8 mfululizo nchini Tanzania (2016-2024) matukio ya watu kutekwa nyara, kupotezwa na hata kushambuliwa au kuuawa na watu wasiojulikana huku wahusika wa...
NURU YA TANZANIA MIAKA KUMI IJAYO SEKTA YA ELIMU
'' Elimu ni ufunguo wa maisha '', huu ni wimbo mkubwa Kwa wanafunzi unaonesha umuhimu wa Elimu katika jamii. Elimu ni ujuzi unaomwezesha mtu...
TANZANIA NINAYOITAMANI BAADA YA MIAKA MITANO
Kila kitu katika hii dunia lazima kupitia nyakati tatu, wakati uliopita ambao unakuwa kama sehemu ya kurejelea yote tuliofanya nyuma, wakati uliopo...
Katika dunia ya sasa na kuongezeka kwa kampuni nyingi za upimaji ardhi na kuuza ardhi real estate. Ni fursa kubwa kwa serikali na wizara ya ardhi kufanya jitihada ya kuboresha huduma ya upimaji...
FOLLOW JUSTICE AND JUSTICE ALONE
The notion of justice is more ancient than that of law. The concept of justice is based upon and is equated with moral rightness (ethics), rationality, law...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.