Serikali inapo amua kufanya jambo na watendaji wanapo timiza majukumu yao hakuna kinacho shindikana.hatua ambazo serikali inapaswa kuzichukia kuwalinda wananchi na matukio ya taasisi/ vikundi vya...
Leo tunakutana hapa kujadili mustakabali wa nchi yetu katika ulimwengu wa teknolojia, hususan Teknolojia ya Akili Bandia (AI). Teknolojia hii ina uwezo wa kubadilisha maisha yetu kwa kiwango...
Jeshi la kujenga taifa (JKT) ni moja ya chombo kilichoundwa tarehe 10 Jul, 1963 baada ya nchi yetu kupata uhuru. Lengo kuu ni kuelimisha, kudumisha uzalendo, maadili na nidhamu ya vijana na...
Awali ya yote, naomba nieleze historia yangu kwa ufupi. Nia na madhumuni niweze kujenga picha ya jumla katika lengo zima la uzi huu.
Nilizaliwa katika mkoa wa Mwanza nchini Tanzania, Baba yangu...
Katika miaka 25 ijayo, Tanzania haina budi kujitahidi kuwa taifa linalosimamia haki za msingi na utu wa raia wake wote, bila kujali jinsia, umri, au hali ya kijamii. Dira hii imejikita katika...
Nitaanza na simulizi fupi ya wakati nikiwa kama darasa la tano ivi niliona kwenye gazeti moja kuhusiana na mwanajeshi aliyebuni genereta/injini inayotumia upepo,mwanajeshi huyo alisema alibuni...
Jua linapochomoza juu ya tambarare kubwa za Serengeti, milio ya ndege na mivumo ya nyumbu hujaa hewani tena. Hii ndiyo Tanzania tunayoitaka – taifa ambalo viumbe vilivyo hatarini kutoweka sio tu...
Mashuhuda wa ajali wanasema kwamba, eneo ajali ilipotokea ni hatari na huenda kukawa na jini ambaye anasababisha ajali zitokee mara kwa mara. Wanadai kwamba, inawezekana jini huyo ndio sababu ya...
Tanzania iko kwenye kilele cha safari ya mageuzi ambayo inaweza kufafanua mustakabali wake kupitia uwekezaji wa kimkakati katika sayansi na teknolojia. Dira ya "Tanzania Tunayoitaka" inajumuisha...
Dunia inapoendelea kukua kwa kasi, ikisukumwa na uvumbuzi wa hai ya juu na maendeleo ya kiteknolojia, ni lazima Tanzania ibadilike na kufanya mabadiliko ili kustawi katika siku zijazo. Mfumo wa...
UTANGULIZI
Shirika la posta nchini kwa miaka mingi toka kuanzishwa kwake limekua na huduma za kusua sua huku kazi ya Usafirishaji vifurushi ikitawaliwa na Sekta binafsi huku Serikali ikipoteza...
Tanzania Tuitakayo Miaka 25 Ijayo Ni Tanzania Ambayo Inaamini Binadamu Wote Ni Sawa Hakuna Aliye Bora Kuliko Mwenzie Kwasababu Ya Cheo, Jina, Mali Na Mengineyo.
Maana Kumekuwa Na Utaratibu Wa...
Katika Maisha ukikosa mwanzo mzuri basi kila kitu kitayumbayumba mpaka kisimame inahitajika kazi ya ziada kwakuwa chochote kile kikianza na msingi mzuri uwezo wa kustawi ni mkubwa maana watu...
Utangulizi
Sekta ya utalii nchini Tanzania ina changia pato la taifa kwa asilimia kumi na saba (17%) na mapato ya fedha za kigeni kwa asilimia hamsini na tano (55%). Mpango wa Maendeleo wa Taifa...
THE STORY OF CHANGE IN TANZANIA 2024---AFYA, ELIMU, AJIRA NA BEI ZA VITU. KWANZA
Mwaka 2024 watanzania wanatamani kuona mabadiliko mbalimbali chanya ususani katika sekta za Afya,Chakula, elimu na...
Mabadiliko ya teknolojia katika tasnia ya habari yamekuwa muhimu sana katika kuleta uhuru wa vyombo vya habari. Teknolojia imewezesha upatikanaji wa habari kwa haraka zaidi na kwa njia rahisi...
Ulimwengu umepita katika zama tofauti tangu uwepo wake hadi sasa tulipo. Zama hizi za sasa za taarifa ni moja kati ya zama ngumu na muhimu sana kwa jamii kwa sababu bila kuwa na taarifa jamii...
Utangulizi
Katika miaka ya hivi karibuni uhalifu wa kimtandao umekuwa tishio kubwa sana kwa wafanyabiashara, makampuni na mataifa mengi duniani.Tanzania kama nchi zingine imekumbwa na tishio hili...
Katika kipindi cha miongo michache iliyopita, Tanzania imepiga hatua kubwa katika maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Hata hivyo, changamoto za utawala bora bado zinabaki kuwa kikwazo kikubwa katika...
Utangulizi
Tanzania ni nchi iliyobarikiwa kwa wingi wa mali asili zinazojumuisha madini, misitu, wanyamapori, ardhi yenye rutuba, na vyanzo vya maji. Kwa miaka mingi, mali hizi zimekuwa zikivutia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.