Tanzania ni nchi iliyozaliwa miaka 60 iliyopita baada ya muungano wa Serikali mbili, serikali ya Tanganyika na serikali ya Mapinduzi ya Zanzibari mwaka 1964.
Tokea Muungano mpaka sasa nchi yetu...
Kama ilivyo kwa vijana wengi, tuna hulka kuu ya kwenda kusoma nje ya nchi zetu, hasa kwa sababu ya scholarship au sponsorship ambapo japokuwa unasoma inakuwa ni sehemu ya kujiingizia kipato kwa...
Tanzania Isiyo na Rushwa: Ni Ndoto au Ukweli?
Utangulizi
Tanzania ni nchi yenye fursa nyingi na uwezo mkubwa. Hata hivyo, nchi yetu pia inakabiliwa na changamoto kubwa ya rushwa. Rushwa ni...
-Ni wazi kwamba dunia nzima matumizi ya simujanja(smart phones) na kompyuta yametawala kwa kiasi kikubwa.
-Ni vyema kwa serikali kuanzisha mfumo utakaojulikana kama NATIONAL DIGITAL MARKETING...
Tanzania, nchi yenye utajiri mkubwa wa rasilimali za asili, inaangalia mbele kwa matumaini katika kuleta mabadiliko makubwa katika sekta muhimu za uchumi wake: madini, utalii, na viwanda. Kwa...
NCHI INAHITAJI UONGOZI SHIRIKISHI ILI KUONDOA MALALAMIKO, NA CHUKI DHIDI YA SERIKALI.
Utangulizi:
"Tanzania tuitakayo"
Taifa letu TANZANIA ni Taifa ambalo linahitaji uongozi shirikishi ,kuanzia...
TANZANIA TUITAKAYO: SIASA ZA TANZANIA NA UTAWALA WA KESHO
Siasa ni njia ya kufanya maamuzi katika njia tofauti tofauti katika jamii kwa mfano Miji, Taifa au hata dunia nzima, katika demokrasia...
TUJIANDAE NA KUISHA MATUMIZI KWA BAADHI YA MALI ASILI
Mwisho wa matumizi ya baadhi ya Mali asili uko karibu sana, kama nchi tujiandae na tuchukue hatua sasa.
Mali asili ni moja ya utajiri wa...
ELIMU: Tunajua kuwa elimu ni kitendo kinachohusishaa masuala mazima ya mabadilishano au urithishwaji wa maarifa, mawazo na ujuzi kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mtu mwinginee ay jamii moja kwenda...
Utangulizi
Tanzania kama zilivyo nchi za Jumuiya ya Madola zina mfumo wa uwakilishi wa wananchi unaofanana kwa asilimia kubwa. Hata kanuni, miongozo na sheria zinazotumika kwenye mabunge ya nchi...
Ninaandika story hii nikiwa ghetto, hivyo hii ni story ya Ghettominds. Hivi karibu kumekuwa na ongezeko la lawama kwa serikali na vijana wa nchi hii. Imekuwa ni kama mpira wa mchezo wa tennis...
Utangulizi
Tanzania kama nchi nyingine yingi zinazo endelea inakabiliwa na ukopaji wa fedha kutoka Kwa wafadhili mbalimbali wa ndani na nje ya nchi kufadhili bajeti ya Taifa. Utatuzi wa changamoto...
MATUMIZI YA VIUMBE HAI WADOGO (BAKTERIA NA FANGASI)” KATIKA KUOZESHA TAKA ILI KUONDOA TATIZO LA UCHAFU KATIKA MAZINGIRA YETU NA KULINDA AFYA ZETU NA VIUMBE HAI WENGINE
Utangulizi:
Tanzania kama...
Tanzania tuitatayo katika suala zima la nishati yafuatayo yakizingatiwa nadhani tutakuwa tumejenga na siyo kubomoa.
1. Kuhakikisha umeme unafika maeneo yote ambayo bado yako gizani na sio kusema...
TANZANIA TUITAKAYO.
Being a citizen of the country like Tanzania is a blessing and it is a something that I am always proud of, for the fact that it is a beautiful place that everybody wishes to...
Introduction:
Education is fundamental for the growth and development of any nation. In Tanzania, despite significant progress in increasing access to education, challenges persist in ensuring...
Katika ulimwengu unaobadilika haraka leo, kuwawezesha vijana ni muhimu kuliko wakati wowote. Vijana wanawakilisha mustakabali wa jamii, na sauti zao, mawazo, na hatua zao zina uwezo wa kuleta...
Utangulizi:
Matumizi ya dawa za asili yamekuwa ni sehemu muhimu ya utamaduni na afya katika jamii nyingi nchini Tanzania. Hata hivyo, ongezeko la matumizi ya dawa hizi limeibua hoja ya kuwepo kwa...
Gesi ni moja ya rasilimali zinazopatikana hapa katika nchi ya Tanzania japokuwa gesi ni rafiki wa mazingira, lakini watu wamekuwa na mwamko mdogo wa kuitumia kwa sababu hizi zifuatazo:-...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.