SoC04 Threads

  • Suggestion Suggestion
Tumekua tukitamani na sisi nchi yetu iwe kama nchi za ulaya kimuonekano, kwani zina nuonekano mvuri, mandhari nzuri na mazingira safi, hata sisi tunaweza kuifanya Tanzania yetu ionekane kama nchi...
1 Reactions
2 Replies
280 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Jamii Forums ni jukwaa na chombo cha kupasha habari kilicho nchini Tanzania ambacho kipo ndani ya sera ya habari na mawasiliano nchini. Habari na mawasiliano ni taasisi huru kimazungumzo lakini...
0 Reactions
1 Replies
222 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Tanzania itakuwa yenye maendeleo endapo itakuwa na viongozi na wafanya kazi wazalendo, wasiopenda rushwa, na ambao sio wabinafsi. Kwa sasa tunapitia changamoto mbalimbali katika kustawi kwa taifa...
4 Reactions
6 Replies
596 Views
Upvote 13
  • Suggestion Suggestion
Rai yangu ni kuona bei ya nauli zinazopangwa na mamlaka husika zinazingatia hali ya maisha ya wananchi ili reli hii iwafae wengi kutokana na usalama wa safari, safari kutumia muda mchache pia...
0 Reactions
1 Replies
336 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Kindly assist..Nafikiria kufungua duka la kuuza vyakula tu hili duka la Mangi..Msaada kujua mtaji kias gan napashwa kuanza nao..Na Vipi vya kuzingatia kusimamisha biashara?
0 Reactions
0 Replies
137 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Vijana wawezeshwe kujitegemea katika kukuza uchumi wa nchi kwa kutumia changamoto kama fursa. Mungu ametujalia ardhi yenye rasilimali nyingi ambazo asilimia kubwa hatuzitumii katika kuziongeza...
0 Reactions
2 Replies
265 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Utangulizi Nchini Tanzania, tumekuwa na nyumba nyingi sana za kupokea wageni; nyumba za kitalii, nyumba za kawaida na hata nyumba za asili kwa ajili ya kuwapa huduma mbalimbali wageni wetu mara tu...
0 Reactions
3 Replies
544 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Kutokana na wimbi la uhalifu kuongezeka mitaani huku chanzo kikiwa ni ukosefu wa ajira pamoja na elimu stahiki nashauri serikali ianzishe veta kwenye magereza. Wakianzisha veta pale magereza...
2 Reactions
4 Replies
311 Views
Upvote 4
  • Suggestion Suggestion
TEHAMA NA TANZANIA YA KESHO: Teknolojia ni elimu ya utengenezaji, utumiaji wa vifaa vya maarifa, mashine, mifumo au njia zitumikazo kutatua tatizo kwa ajili ya kupata ufumbuzi wa jambo Fulani...
1 Reactions
2 Replies
529 Views
Upvote 6
  • Suggestion Suggestion
Tanzania iko katika wakati muhimu sana katika safari yake ya maendeleo. Kama Taifa ni muhimu kuandaa ramani ambayo itakuwa muongozo wetu kwa miaka 20 ijayo, ramani ambayo itagusa sekta zote muhimu...
2 Reactions
3 Replies
290 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Utangulizi Kila mwananchi wa taifa fulani, hupenda kuona taifa lake likiwa kinara kwenye uchumi. Hii ni kwasababu, mafanikio ya taifa lolote duniani huanzia kwenye uimara wa uchumi kwanza, kwani...
0 Reactions
3 Replies
252 Views
Upvote -1
  • Suggestion Suggestion
Kutumia nambari za utambulisho zilizopo za raia wa Tanzania au vitambulisho vya uraia kupiga kura kwenye mtandao kunaweza kuwa chaguo zuri la kurahisisha mchakato wa upigaji kura na kupunguza...
5 Reactions
32 Replies
1K Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
UTANGULIZI Halmashauri nyingi nchini zimekua zikitumia vyanzo vya mapato vile vile miaka yote, hakuna ubunifu wa vyanzo vipya, halmashauri nyingine zimekua mizigo kwa Serikali kwa kutegemea fedha...
2 Reactions
6 Replies
427 Views
Upvote 3
  • Suggestion Suggestion
Naandika kutokea Ghetto hii ni story ya Ghettominds. Anaesoma hii namuomba samahani kwa kumkumbusha machungu aliyopitia, katika ngazi ya elimu ya juu yani chuo. Hii ngazi wengi humu tumepitia na...
0 Reactions
3 Replies
226 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Tanzania Ni Nchi ambayo imebahatika kuwa na Kila kitu hivyo 1: Uwajibikaji mzuri wa Viongozi Tanzania ni nchi mojawapo ambayo inatumia demokrasia katika kuongoza, hivyo viongozi wanaichaguliwa ni...
0 Reactions
1 Replies
244 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Utangulizi Migogoro ya ardhi imekuwa ni changamoto ya muda mrefu sana nchini Tanzania ikihusisha umiliki wa ardhi, mipaka na haki ya matumizi ya ardhi. Migogoro hii mara nyingi hutokea kutokana na...
1 Reactions
2 Replies
446 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
TUNAWEZAJE KUTOKOMEZA VIONGOZI MACHAWA SERIKALINI Tangu nchi yetu ya Tanganyika ipate uhuru mwaka 1961 tumekuwa na katiba tofauti tofauti zinazoongoza taifa hili, ambapo katiba hizi zimekuwa...
1 Reactions
3 Replies
228 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Naipongeza serikali kwa ujenzi wa reli ya kisasa,pia kwa kuona kuwa hatuwezi kuendesha reli ya kisasa bila kuwa na umeme wa uhakika na wakaona wajenge Bwawa kubwa la maji la Mwl.Nyerere kwa ajili...
1 Reactions
1 Replies
263 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Mto ni mwendo wa asili wa maji ambao hufuata njia yake kutoka sehemu za juu za ardhi (kama vile milima au vilima) kuelekea sehemu za chini, kama vile maziwa au bahari. Maji hufuata mtelemko kutoka...
1 Reactions
3 Replies
735 Views
Upvote 11
  • Suggestion Suggestion
In today's rapidly evolving world, the empowerment of youth is more crucial than ever. The youth represent the future of society, and their voices, ideas, and actions have the power to bring about...
0 Reactions
2 Replies
879 Views
Upvote 1
Back
Top Bottom