TANZANIA TUITAKAYO
Tanzania tuitakayo ni ile ambayo itabana mianya ya rushwa, Rushwa ni tishio kubwa kwa uwajibikaji na utawala bora. Serikali inapaswa kuchukua hatua madhubuti kupambana na rushwa...
AFYA: Tanzania kama nchi ni lazima tufanye mabadiliko katika sekta hii ya afya hili tumpunguze adui mkubwa wa umasikini ambaye ni magonjwa kwenye afya katika miaka mitano ijay, sasa kama nchi...
Mambo yakutekerezwa katika miaka ijayo ndani ya sekta ya viwanda.
1. Kuboresha miundombinu (barabara, umeme, usafiri na maji) pamoja nakufufua viwanda vyote vilivyokufa katika maeneo mbalimbali...
Awali ya yote napenda kuwashukuru jamii forum kwa nafasi hii walio tupatia.
Katika miaka mitano mpka ishirini na tano Tanzania mm naona tuandae mpango kazi imara wa kuzuia uchafuzi wa mazingira...
Maendeleo ya sayansi na teknolojia kwa sasa yamekua yakiongezeka kwa kasi siku baada ya siku. Ikiwa yote hayo yanahitaji mazingira pamoja na rasilimali zilizopo katika mazingira husika, uhusiano...
Utangulizi
Zipo teknolojia nyingi sana ambazo ni kama zimetupita barani Afrika hususan nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara ikiwemo Taifa la Tanzania. Katika teknolojia hizi zilizotupita kidogo...
Tatizo la Traffic Police barabarani: wananchi tunacheleweshwa sana kwenye shughuli zetu tukiwa kwenye daladala kwa daladala hiyo moja kusimamishwa mara kadhaa na Traffic kwa trip hiyo hiyo moja...
[GASTON JORDAN LIVIGHA]
[gaejombishi@gmail.com]
UTANGULIZI
Naandika sio kwa dhumuni la kushinda pesa la hasha! lakini naandika nikiwa kama mmoja wa vijana walioathirika na janga la ukosefu wa...
UTANGULIZI
Kumeendelea kutokea matukio mengi ya uhalifu nchini Tanzania yenye viashiria vya kuwepo tatizo kubwa la afya ya akili miongoni mwa wananchi. Miongoni mwa matukio hayo ni visa vya mauaji...
Tanzania tuitakayo ni lazima Serikali yetu itengeneze miundombinu ya raia wake kupata ajira ya kudumu na hilo litasaidia rushwa kupungua kama sio kuisha kabisa, mfano: katika familia ya watu 11...
Napendekeza yafuatayo katika sekta ya afya ili kuleta manufaa kwa Watanzania wote miaka ijayo.
1. Kuhakikisha vituo vyote vya afya vinakuwa na watoa huduma toshelevu kwa ngazi zote ili wahitaji...
A: Utangulizi:
Tanzania imefanikiwa kupata fursa ya kuwa mwenyeji wa Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (Pan African Postal Union - PAPU) jijini Arusha, ambapo hatua hii inategemewa kuchagiza...
UTANGULIZI:
Miaka ya hivi karibuni watanzania tumekuwa tukipokea taarifa au kushuhudia mauaji ya kinyama kutoka mikoa mbalimbali nchini. Bila shaka wote...
Miundombinu ni miongoni mwa sekta ya msingi ambayo serikali inahitaji kutazamia kwa ukaribu zaidi kutokana na mchango wake katika maendeleo ya nchi. Kwa muktadha huo ipo haja ya kufanyika...
Mwaka 2024 mwezi wa tano katika kijiji cha Mwendokasi, Kuna dokta mmoja anatokea kwenye chumba cha leba huyu anaitwa “dokta Steve”. Kwa mbele tunamuona mzee mmoja anakuja kwa haraka huku akiwa na...
Tanzania can undertake various projects across different sectors to benefit its people in the coming 25 years. Here are a few project ideas:
Infrastructure Development: Constructing and upgrading...
1.IUNDWE TUME YA UDHIBITI UBORA WA MIKATABA NA USHAURI KWA SERIKALI (National Commission for Contracts Review and Consultation)
Iwe taasisi huru yenye jukumu la kupitia mikataba yote ya kimkakati...
SAFISHA ENEO LAKO DAR IWE SAFI
Hapo zamani za kale ilijulikana kama mzizima ila kwa sasa hivi inaitwa Dar es salaam ni mkoa wa nchini ya Tanzania pia ni moja wapo la jiji la Tanzania, inawakazi...
UTANGULIZI
Pamoja na uwepo wa jitihada za serikali katika kutoa elimu maalumu kwa watu wenye matatizo ya kusikia na kuzungumza, rakini bado kumekua na changamoto mbali mbali ambazo haswa zimekua...
kama nchi nyingine nyingi, Tanzania inakabiliwa na changamoto za kimfumo katika mfumo wake wa elimu. Kuzingatia mabadiliko ya kiuchumi na teknolojia, kuna haja ya kuboresha mfumo wa elimu ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.