Abdullah Kassim Hanga alikuwa mwanasiasa na mwanamapinduzi wa Zanzibar.
Alizaliwa mwaka 1932 na alikuwa Waziri Mkuu pekee wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar na Pemba kuanzia Januari 12 hadi Aprili 27, 1964, kabla ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuunda Tanzania. Aliteuliwa kushika wadhifa huo chini ya Rais Abeid Amani Karume baada ya Mapinduzi ya Zanzibar ya 1964.
Alikuwa mwanachama mwandamizi wa Afro Shirazi Party na pia aliwahi kuwa Makamu wa Rais wa Zanzibar. Baadaye alikamatwa mwaka 1969 kwa tuhuma za kupanga njama dhidi ya serikali na kuuawa bila kufikishwa mahakamani, akiwa na umri wa takribani miaka 36 au 37.
Abdalah Kassim Hanga alikubalika sana kwenye siasa za Zanzibar.
Alikuwa na akili nyingi na alikiwa msomi kuliko Abeid Karume.
Hivyo watu wa Zanzibar walimkubali sana. Na alionekana anafaa kuwa raisi wa Zanzibar.
Aliuwawa na kutumbukizwq baharini na inasadikiwa kuwa Karume ndio alimuua kwa...
PICHA YA ABDALLAH KASSIM HANGA AKIBARIZI MSASANI BEACH KWENYE NYUMBA YA OSCAR KAMBONA
Hakuna kitabu kilichoeleza historia ya Hanga na Oscar Kambona kwa siku chache Hanga lipokuwa anakaa nyumbani kwa Kambona London kama kitabu cha Dr. Harith Ghassany, ‘’Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru.’’
Hanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.