Abdallah Kassim Hanga mwanamapinduzi aliyepotezwa kwa husda za wanaCCM

Abdallah Kassim Hanga mwanamapinduzi aliyepotezwa kwa husda za wanaCCM

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Abdalah Kassim Hanga alikubalika sana kwenye siasa za Zanzibar.

Alikuwa na akili nyingi na alikiwa msomi kuliko Abeid Karume.

Hivyo watu wa Zanzibar walimkubali sana. Na alionekana anafaa kuwa raisi wa Zanzibar.

Aliuwawa na kutumbukizwq baharini na inasadikiwa kuwa Karume ndio alimuua kwa wivu maana Kassimu Hanga alikuwa anakubalika na watu wa lika zote.
 
Back
Top Bottom