abdulwahid sykes

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tundu Lissu Anakumbusha Uchaguzi wa Urais wa TAA Kati ya Abdulwahid Sykes na Julius Nyerere 1953

    TUNDU LISSU AKUMBUSHA UCHAGUZI WA PRESIDENT WA TAA KATI YA ABDULWAHID SYKES NA JULIUS NYERERE 1953 Kila uchao tunakumbushana na kuazima ukurasa kusoma kutoka historia ambayo ilifutika. Leo usiku katika kipindi cha ITV Dak. 45 Tundu Lissu akihojiwa na Mtangazaji Farhia Middle katika kujadili...
  2. Mohamad Mlamali Adam alivyomweleza Abdulwahid Sykes mwaka 1988

    Siku moja nimepita ofisini kwa Bwana Ally Sykes na katika mazungumzo yetu akaniambia kuwa alikuwa siku ya pili anasafiri anakwenda London. Palepale ikanijia fikra nimpe Bwana Ally makala yangu ambayo nilikuwa nimeandika kuhusu historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika aifikishe jarida la Afrika...
  3. Maziko ya Abdulwahid Sykes 1968

    MAZIKO YA ABDULWAHID SYKES 1968 Mazishi ya Abdulwahid Sykes yalifanyika siku ya Jumapili tarehe 13 Okrtoba, 1968. Mazishi yake yalikuwa makubwa yasiyo kifani. Ukitoa mazishi ya mwaka wa 1950 ya Sheikh Idrissa bin Saad, muasisi na Khalifa wa Tariqa Askariya na mazishi ya Sheikh Kaluta Amri...
  4. Abdulwahid Sykes na nduguze historia iliyopotea

    ABDULWAHID SYKES NA NDUGUZE HISTORIA ILIYOPOTEA Gazeti Raia Mwema la Ijumaa tarehe 21 Mei, 2021lilichapa taazia ya Abbas Sykes kwa bahati mbaya wakaweka picha za kaka yake, Ally Sykes badala ya Abbas Sykes. Gazeti la leo likaomba radhi kwa kusema kuwa waliweka picha ya Kleist Sykes ilhali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…