Nipongeze awamu zote zilizojikita kwenye wazo na hatimaye kumamilika kwa train ya mwendo kasi ya SGR.
Kiukweli ni mapinduzi hasa kwenye nyanja ya usafiri katika maeneo yanayopitiwa na kufukiwa na usafiri huo.
sambamba na hilo vipo vioja ambavyo kwa kweli vipekuwa vikiwakumba baadhi ya abiria...