Trubarg
JF-Expert Member
- Jan 8, 2020
- 4,400
- 7,254
Ni Jambo la kushangaza kwamba licha ya maendeleo ya teknolojia na uwepo wa fibers bado abiria wa SGR wanakosa mtandao ndani ya train wakiwa safarini.
Hili ni Jambo la kushangaza na linapaswa kufanyiwa kazi Kwa haraka Sana. Yaani watu tushindwe Fanya biashara zetu kisa tupo kwenye SGR hapana kwakweli..
Hili ni Jambo la kushangaza na linapaswa kufanyiwa kazi Kwa haraka Sana. Yaani watu tushindwe Fanya biashara zetu kisa tupo kwenye SGR hapana kwakweli..