abiria

Abiria (kutoka neno la Kiarabu عبر ˁabara kwa maana ya kuabiri, kuvuka eneo la maji) ni watu wanaosafiri kwa kupanda meli, ndege, gari, basi, pikipiki au treni.

Abiria hutumia vyombo hivyo vya usafiri kama njia ni mbali, au kama hawana usafiri wa binafsi au kama wanapendelea matumizi ya usafiri wa umma kuliko usafiri wao binafsi.

Kwa kawaida wakipanda wanalipia kiasi fulani kama nauli ili mwenye chombo hicho aweze kuwalipa dereva na wahudumu wengine pamoja na gharama za chombo chenyewe na matumizi yake.
  1. Roving Journalist

    Ndege ya abiria yaanguka uwanja wa ndege Somalia, abiria waokolewa

    Ndege ya abiria ya Shirika la Ndege la Jubba imeanguka wakati ikitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Aden Adde Jijini Mogadishu Nchini Somalia huku chanzo cha ajali hiyo kikiwa bado hakiajulikana. Baada ya ndege hiyo kugeuka chini juu, idara ya usalama waliwahi eneo la tukio na kuokoa watu 36...
  2. B

    Simiyu: David Kafulila apiga marufuku usafirishaji abiria kwa magari madogo yanayotambulika kama "Mchomoko"

    13 July 2022 Simiyu, Tanzania, MCHOMOKO" Posted On: July 13th, 2022 RC SIMIYU APIGA MARUFUKU MICHOMOKO KUBEBA ABIRIA. MKUU wa mkoa wa Simiyu,David Kafulila amepiga marufuku kwa magari madogo ya abiria yanafanya biashara ya kusafirisha watu maarufu kwa jina la Michomoko katika mkoa huo...
  3. figganigga

    Polisi tusaidieni abiria, Mabasi mengi ya Mikoani hayana Mikanda

    Salaam Wakuu, Mimi huwa nasafiri Mara kwa mara. Hivyo nashuhudia vifo vingi ambavyo vinatokana na watu kutokufunga Mikanda ya kwenye kiti cha Basi(Seat belt). Imenichukua miezi minne nikifuatilia mambo ya Barabarani, ikiwemo, Rushwa, alama za barabara potofu, Matuta, Miundombinu na Watengeneza...
  4. Head prefect

    Kero ya kusota vituo vya mwendokasi muda mrefu

    Wakuu Salaam. Sijui kama watu wengine wanakerwa na huu utaratibu. Kumekuwa na utaratibu abiria wanakaa sana vituo vya mwendokasi haswa Gerezani, Msimbazi B na Msimbazi A huku mabasi yamepaki Gerezani kule madereva wanapiga hadithi. Ni nini maana ya kuita Rapid Transfer ikiwa abiria anakaa...
  5. C

    Car4Sale Hiace ya abiria inauzwa

    Hiace inauzwa milion 17 njoo na fundi wako ukague Engine 3L standard ipo katika hali nzuri inafanya kazi. Gari bado ipo kwenye hali nzuri. Kwa mawasiliano zaidi na maulizo piga 0735266326. Haina udalali kila kitu kipo safi. 0735266326
  6. JanguKamaJangu

    Trafiki: Abiria wa Makumbusho-Posta wastaarabu siyo kama wale wa ruti ya Mbagala

    "Utakuta watu wa route hii ya Makumbusho Posta wana ustaarabu, akikuta gari limejaa kwanza hapandi, tofauti na route za Mbagala, hata mwonekano wa kondakta na dereva wa gari la Posta uko smart, "- Sgt Amin Iddi, Traffic Dar. "Umepanda pikipiki dereva anaenda isivyo wewe unashindwa kumwambia...
  7. musicarlito

    Gari imegoma kuwaka, abiria akaomba kushuka

    Wasalaam Nilipata nafasi ya kusafiri na abiria wangu, tumepumzika kituo cha kwanza nataka kuwasha gari tuendelee na safari kukidhi ombi la abiria wangu, gari ikagoma[emoji20] Tukagusanisha nyaya zote wapi hata cheche hamna. Hali hii iliniacha kwenye fedheha na simanzi, japo abiria wangu...
  8. EINSTEIN112

    Al Shabaab watoa somo kwa abiria kwenye basi linaloelekea Mandera

    Kundi la watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa al-Shabaab walitoa mhadhara wa saa mbili kwa abiria waliokuwa kwenye basi lililokuwa likielekea Mandera katika Mkoa wa Kaskazini Mashariki mwa Kenya, kulingana na ripoti za vyombo vya habari vya Kenya zikiwanukuu polisi. Polisi walisema wanamgambo...
  9. B

    Tuache tabia ya kusimamisha abiria mabasi ya mikoani

    JF . Imeniwia vigumu kukaa kimya lakini Nina hakika nitakuwa nimetoa mchango wangu kwa kulisaidia Taifa Trafik wapo mabarabarani lakini mabasi yanapita tu na abiria wamesimama abiria anasimama mpaka masaa manne ni ajabu wenye mabasi wakifika karibu na police block wanaambiwa wakae chini kwenye...
  10. JanguKamaJangu

    TRC yasema Ajali ya treni ya abiria Juni 22, 2022 iliyosababisha vifo na majeruhi ni HUJUMA

    Chanzo cha ajali ya treni ya abiria iliyotokea Juni 22, 2022 Mkoani Tabora na kusababisha vifo vya watu kadhaa na kujeruhi wengine kimetajwa kuwa ni hujuma. Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema kuna kipande cha reli kiliondolewa na kisha kurudishwa kwa...
  11. Tanzania Railways Corp

    Taarifa kwa Umma: Ajali ya Treni ya Abiria - Malolo, Tabora

    TAARIFA KWA UMMA TRENI YA ABIRIA KUTOKA KIGOMA YAPATA AJALI TABORA Shirika la Reli Tanzania (TRC) linautaarifu umma kuwa Treni ya abiria namba Y14 yenye injini namba 9019, iliyokuwa ikisafiri kutoka Kigoma kuelekea Dar es Salaam, imepata ajali majira ya saa 5:00 asubuhi eneo la Malolo...
  12. GENTAMYCINE

    Ofisi ya Makamu wa Rais tafadhali tumeshachoka na Picha za Kila Siku za Makamu wa Rais akiwa anasalimia Abiria ndani ya ATCL

    Hebu jitahidini basi kuanzia sasa muwe mnatuwekea Picha zake akiwa anakagua Mashamba ya Wakulima, anahutunia Maakongamano ya Watu wenye Akili duniani na anatattua Matatizo muhimu na ya Kimsingi ya Watanzania na siyo kila mara tu mnatuonyesha jinsi anavyoongea na Abiria ndani ya Bombardiers na...
  13. Suley2019

    TEMESA wakubaliana na Azam Marine kuvusha abiria Kigamboni (Ferry)

    Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) unapenda kuujulisha umma kuwa umefikia makubaliano na kampuni ya Azam marine kutoa huduma ya kuvusha abiria baina ya Magogoni na Kigamboni ili kuendelea kuwapa wananchi huduma ya uhakika wakati huu Wakala ukiendelea kufanyia matengenezo vivuko vyake...
  14. fantastic philip

    Madereva wa kampuni ya mabasi ya Sauli wamshambulia abiria aliyeripoti kuhusu mwendokasi

    Dereva wa basi la Kampuni ya Saul T 485 DXE wamemshambulia abiria kisa kureport gari ikiwa na speed 115-120. Kutokana na story ya muhusika anasimulia kuwa alikua na App ya kusoma speed ya gari na kutuma kwenye group la wasafiri mojawapo. Baada ya muhusika kurecord tukio hilo kwenye group...
  15. L

    Usafiri wa boda: Abiria just mzigo chini

    Abiria hana woga wa ajali.
  16. D

    Mzee amtwanga ngumi ya uso abiria (Mwanamke) ambaye hawajuani pasipo sababu

    Imeripotiwa asubuhi hii 07 June 2022 huko Kigamboni! Mzee mmoja ambaye jina lake bado halijafahamika! Leo asubuhi akiwa kama abiria kwenye bajaji maeneo ya kisiwani, alitokea abiria mwingine njiani, ambaye ni mwanamke akiwa kavaa vizuri tu mama wa watu, yule mzee akiwa abiria ndani alimkaribisha...
  17. GENTAMYCINE

    Kuna Watu kama hawa kwa Wanavyotukera Abiria watakuwa Wanapanda ndani ya Mabasi ila wakishuka hawatakuwa na Meno yao

    Mtu unasafiri zako mwendo mrefu halafu anapanda Mtu anahubiri Masaa Mawili tena kwa Kelele huku Mwingine nae anakuuzia Mayai na Mahindi hadi Unakereka. Wadhibitiwe upesi tutawapiga sasa.
  18. aka2030

    Huu utaratibu wa kuhubiri injili kwenye magari ya abiria ni kero kubwa, LATRA muingilie kati

    Mtu unasafri zako unahitaji mapumzko anatokea mtu anajifanya analeta neno la Bwana bila kujua watu waliopo ndani wanatatizo gani wengine hawataki kelele anajifanya anahubiri dakika 3 anaomba sadaka. Hebu tufanye kazi tusijifiche kwa kivuli cha kuhubiri na kulazimisha sadaka.
  19. Nyendo

    TEMESA: Kivuko cha MV. Magogoni kilipata hitilafu asubuhi, Abiria watumie Daraja la Nyerere. Kipo kwenye matengenezo

    TEMESA wamesema kivuko cha MV Magogoni kilipata hitilafu leo asubuhi, 2, Juni 2022 hivyo abiria watumie njia mbadala ambayo ni Daraja lal Nyerere. TEMESA inaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza na utaojitokeza wakati huu wanapoendelea na matengezo ya kivuko hicho.
  20. and 300

    Air Tanzania, Soko la Afrika Kusini, Abiria ni wengi ajabu!

    Air Tanzania changamkieni Soko la Afrika Kusini (Johannesburg na Cape Town) abiria Ni wa kuchota. Maana SAA imesitisha safari za kimataifa hivyo ni fursa kwa ATCL kwenda huko kama majirani zetu Kenya Airways, Ethiopian airlines na Rwandair.
Back
Top Bottom