abiria

Abiria (kutoka neno la Kiarabu عبر ˁabara kwa maana ya kuabiri, kuvuka eneo la maji) ni watu wanaosafiri kwa kupanda meli, ndege, gari, basi, pikipiki au treni.

Abiria hutumia vyombo hivyo vya usafiri kama njia ni mbali, au kama hawana usafiri wa binafsi au kama wanapendelea matumizi ya usafiri wa umma kuliko usafiri wao binafsi.

Kwa kawaida wakipanda wanalipia kiasi fulani kama nauli ili mwenye chombo hicho aweze kuwalipa dereva na wahudumu wengine pamoja na gharama za chombo chenyewe na matumizi yake.
  1. R

    Mlango wa abiria kwenye ill fated ndege ya Precision uko sehemu gani? Mbele au nyuma?

    Kama uko mbele ina maana ulikuwa submerged under water, sasa majaliwa aliuvunja vipi? Kumbuka kuna pressing force ya maji all over the plane with substantial pressure/force?. Akiufungua tu maji yana rush insid, kumbuka kuna obstacles za viti vilivyong'oka na msongamano wa abiria , commotion kila...
  2. JanguKamaJangu

    Waathirika wa ajali ya Precision Air kulipwa Tsh. Bilioni 396

    Kamishna wa Bima Tanzania, Dkt. Baghayo Saqware amesema ndege ya Precision Air iliyopata ajali ilikuwa na bima na kwamba fidia kwa shirika ni zaidi ya Dola Milioni 50 (Tsh. Bilioni 116) Amesema bima ya ndege hiyo ni halali na ilikatwa kutoka kwa wakala wa ndani nan je ya Nchi ambapo waathirika...
  3. Upekuzi101

    Gari imekosa mwelekeo, abiria wanatoa macho kuangalia inapokwenda kuangukia

    Wakati unakuja watanzania wataishiwa uvumilivu kwa kuona Mali zao na nchi yao ikiuzwa pasina wao wenyewe kuridhia. Ni kama kufumba na kufumbua maji hayapatikani tena wakati ilo jambo lilishasahaulika, umeme siyo wa uhakika tena sasa watanzania hawajui mwekezaji gani atakuja kuwekeza kwenye nchi...
  4. Roving Journalist

    Abiria wa Precision Air waliokwama Bukoba kusafiri leo

    Abiria waliotarajia kusafiri kwa ndege iliyopata ajali Jumapili nje kidogo ya Uwanja wa Ndege wa Bukoba, sasa wataondoka leo kuelekea Dar es Salaam na Mwanza. Wasafiri hawa ambao idadi yao ni 21 wa ndege ya Kampuni ya Precision, tangu Jumapili walikuwa Bukoba wakikaa hoteli ya ELCT...
  5. crome20

    Kijana aliyesaidia kuokoa abiria ajali ya Precision Air asipewe hela

    Nimeona mkono wa Pongezi kutoka kwa RC Chalamila kwa ushupavu wa kijana mmoja aliyepiga kasia na kuingia ndani ya maji na kufungua mlango jambo lililosadia kuokoa abiria 24. Ni jambo zuri, USHAURI wangu, huyo kijana aingizwe katika jeshi kitengo cha uokozi wa majini. Itakuwa ni kumbukumbu nzuri...
  6. BARD AI

    Marubani 400 wa Kenya Airways wagoma, abiria 10,000 wakwama uwanja wa ndege

    UPDATE: Chama cha Wafanyakazi wa Usafiri wa Anga cha Kenya (Kawu) kimetaka wanachama wao kuacha kazi leo baada ya Mamlaka ya Uwanja wa Ndege wa Kenya kukamilisha na kutekeleza Makubaliano ya Pamoja ya Majadiliano (CBA) ambayo yalijadiliwa na kuafikiwa mwaka wa 2019. Wanachama wa Kawu ambao ni...
  7. M

    Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

    Salaam Aleykum Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nasikitika kusema kwamba siku chache zijazo kutatokea ajali ya ndege kubwa ya abiria ambayo itasababisha vifo vya watu ikiwemo watoto wadogo. Tuombe Mungu aepushe lakini kama ni maandiko basi yatimie. 1. Ndege itakuwa na Logo yenye rangi...
  8. BigTall

    Huyu abiria wa Mwendokasi kanikera sana, Wabongo tutaacha lini hizi tabia za kueleza mambo binafsi kwenye "public"?

    Leo asubuhi wakati nimepanda mwendokasi kuna mwamba mmoja nimekutana naye siyo mara ya kwanza mimi kumkuta kwenye gari, nadhani kama sijakosa itakuwa mara ya pili au tatu. Sasa huyu mwamba alikuwa akipiga stori na mtu aliyekuwa amesimama naye karibu, nadhani wanafahamiana, sasa huyo jamaa...
  9. Nyuki Mdogo

    Igoma (Mwanza): Bajaj ya abiria inauzwa bei poa

    Bajaj ya ABIRIA inauzwa. kampuni Piaggio IGOMA-MWANZA Uhakika elfu 20 kila siku Haina shida yoyote, njoo na fundi wako mkague inapiga kazi mpaka sasa njoo na 4mil uendelee na kazi Tuwasiliane 0767733555
  10. M

    Abiria wa mabasi ya kwenda Kigoma wako tofauti na mikoa migine

    Nimebahatika kutembea mikoa mingi Tanzania hii. Nikiri tu kwamba Kigoma abiria wake wako vizuri. Mabasi yao ni masafi, abiria wastaarabu, wasafi, wanawaka, wanang'ara utadhani uko kwa malkia Elizabeth abiria wananukia vizuri, mabasi full luxury first class choo ndani. Utatamani usifike Hawali...
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    Umri gani ni sahihi kwa dereva wa basi la abiria kustaafu?

  12. BARD AI

    Abiria afariki ndani ya ndege ya Kenya Airways kabla haijaruka

    Taarifa iliyotolewa na shirika hilo leo Septemba 14, 2022 ilisema abiria huyo alifariki alipokuwa akihudumiwa na wahudumu wa afya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) Imeelezwa abiria huyo alipata matatizo ya kupumua alipokuwa akiingia kwenye ndege ambayo ilikuwa...
  13. M

    DOKEZO Abiria wa Basi la Shabiby tulalamikia huduma mbovu za hoteli Morogoro tunaomba mbadilishe haraka hoteli

    Sisi abiria tunaosafiri na Basi la Kampuni ya Shabiby kati ya Dodoma na Dar es Salaam tunayo malalamiko yetu makubwa kutokana na huduma mbovu mjini Morogoro ambapo basi la Shabiby husimama kwa ajili ya huduma ya chakula na kuchimba dawa. Mazingira ya hoteli hiyo ni machafu sana na hayaendani na...
  14. Hismastersvoice

    Abiria kulazimishwa kuteremka Kituo cha Mbezi tuliambiwa Wafanyabiashara walilalamika kukosa wateja, leo mmh!

    Hii amri ya abiria toka mikoani kushushwa Mbezi mbona hatupewi ukweli, siku zilizopita ilidaiwa mkuu wa mkoa alilalamikiwa na wafanyabiashara kuwa wanakosa wateja! Hivi sasa tunaambiwa eti ni usalama kudhibiti wahamiaji! Kwani wahamiaji hawawezi kushuka au kupanda Kibaha au Bagamoyo! Mabasi ni...
  15. Nduna shujaa

    Kuna mabasi wamiliki wake hawatuangalii abiria

    Naanza na kampuni ya Superfeo ya mkoani Ruvuma ukiagiza pacel mfano bahasha tu unalipia sh. 5000 iwe ni barua, au kitu kinachoweza kukaa kwenye bahasha. Na bei hizi zipo hata kabla mafuta hayajapanda bei. Mkurugenzi wa Feo tuangaliye tunahali ngumu fikiria kupunguza gharama walau iwe 3000...
  16. Crocodiletooth

    Kero: Abiria wa Vingunguti, Buguruni, hawatendewi haki na mamlaka za usafirishaji umma

    HAKUNA USAFIRI UNAOWAFIKISHA WAKAZI WA ENEO HILI MOJA KWA MOJA MPAKA FERRY. Abiria wa eneo hili wameomba kilio chao kusikilizwa na mkuu wa mkoa, kwani wamekuwa wakipata tabu sana, hivyo kulazimika kupanda mabasi mawili ili kufika ferry, ambayo kwao imekuwa ni mzigo mkubwa kutokana na maisha kwa...
  17. L

    Ndege ya abiria aina ya C919 iliyotengenezwa na China yafanya safari ya majaribio ili kupata hati

    Julai 31 ndege ya abiria aina ya C919 iliyotengenezwa na China ilifanya safari ya majaribio kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Beijing Daxing kwenda mji wa Guilin, ili kupata hati itakayotolewa na Mamlaka ya Usafiri wa Anga ya China.
  18. C

    Madereva na Makondakta wawe na kauli nzuri kwa abiria wao

    Nalia na madereva pamoja na makondakta wao kwa kauli zao zinazokera wanazozitumia kwa abiria wao. Imekuwa ni changamoto kubwa hususani kwa makondakta wa daladala zinazoelekea maeneo yenye watu wengi maarufu kama ''Uswahilini'' kama vile Manzese, Mbagala, na sehemu nyingine. ''Ungekuwa na haraka...
  19. Bushmaster

    SoC02 Serikali ianzishe Shirika la Umma la Usafirishaji wa abiria kwa njia ya barabara mikoani

    Usafirishaji ni kitendo cha kutoa bidhaa au kupeleka watu kutoka sehemu moja hadi nyingine, kitendo hicho kinaweza kufanywa kwa kutumia njia mbalimbali za usafiri( mode of transport) kama kwa njia ya maji,barabara,reli, na anga Usafirishaji ndio tendo pekee ambalo humaliza machakato mzima wa...
  20. peno hasegawa

    Ajali iliyoua wanafunzi Mtwara, Haice ilikuwa na watu 30. Haice inaruhusiwa kubeba abiria wangapi?

    RTO Mtwara watanzania wanasubiri majibu ya swali hili.
Back
Top Bottom