Msaada namna ya ku- unlock banned Facebook account
Wakuu salamu. Kama heading inavyojieleza hapo juu, account yangu ya Facebook imefungiwa kutokana na kuhisiwa kuwa mimi ni hacker kitu ambacho hata sifikilii.
Ilitokea baada ya kubadili profile picture yangu na kuweka ya black hat (hacker)...