haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 1,572
- 3,863
Nilikua natuma picha zangu kawaida tu, na zinaonesha kabisa mimi ni mwanaume ila kilichonitokea ikabidi nifute account, pia nikajifunza Kenya kuna watu mafilauni wa waziwazi.
Yani mtu anakutumia meseji, “Et we ni mzuri, uko wapi?” Yani anakutongoza kama vile mtoto wa kike.
Miongoni mwa watu waliokua wanafanya huo ujinga, asilimia 80 ni wakenya, lile suala hadi leo nikilifikiria linanifanya niwaze sana hali ya maisha ilivyokua.
Kama mtu anaeeza kua na audacity ya kumtongoza mwanaume mwenzio kwakua anaona ni mzuri, vipi hao wadada kuhusu kinyume na maumbile?
Hii dunia ina ushenzi mwingi sana. Ieleweke mimi ni mwanaume rijali, balobalo ila kilichoniponza ni muonekano wangu wa kua super handsome.