Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.
Viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo waliokuwa wamezuiwa kuingia nchini Angola wamerejea Tanzania usiku wa Machi 14, 2025, saa 9:40.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Idara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa ACT Wazalendo leo Machi 14, 2025, Mwanaisha Mndeme, viongozi...
Kama ambavyo niliwapa habari awali juu ya zoezi la Uandikishaji kwenye Daftari la wapiga kura Mkoa wa Kusini Unguja kuanzia tarehe 08/03/2025 hadi tarehe 13/03/2025; zoezi ambalo Jeshi la Polisi lilikuwa na dhamana ya ulinzi na Usalama wa vifaa, watendaji wa Tume, mawakala wa vyama, wananchi...
Wakuu,
Mambo yametokea huko, ngoja waseto waje watueleze kunani! Au CCM ndio imepiga pini 'No Reforms No Election' isipate nguvu wakaanza kushawishiwa kupokea mabadiliko?!
=====
Msafara wa viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo ukiongozwa na Kiongozi wa chama hicho Dorothy Semu uliosafiri...
Mnamo Februari 26, Mwaka huu Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) kupitia Mwenyekiti wake Jaji wa Rufani, Jacobs Mwambegele ilitangaza kuanza kwa mchakato wa kuchunguza, kugawa au kubadili majina ya majimbo ya uchaguzi ambapo Tume hiyo imeanza kupokea mapendekezo hayo kuanzia Februari 27, 2025 hadi...
https://www.youtube.com/watch?v=It3WB1-ceDw&ab_channel=JAMBOTV
Isihaka Mchinjita - Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo ACT Bara
"Kama tulikuwa tunasubiri kuona maneno ya Rais Samia ni ya kweli au ni ya unafiki bsi uchaguzi wa Serikali za Mitaa basi ni ushahidi kuwa Rais Samia aliwanafikia...
TAARIFA KWA UMMA
BARAZA LA VYAMA VYA SIASA LIMEPOTEZA UHALALI
Kamati ya Uongozi Taifa ya Chama cha ACT Wazalendo kwenye kikao chake cha tarehe 10 Machi, 2025 imeazimia kutoshiriki vikao vya Baraza la Vyama vya Siasa kuanzia kikao cha tarehe 12 na 13 Machi, 2025 kwa sababu zifuatazo;-
1...
Ijue idadi ya wanawake katika Kamati kuu za CCM, Chadema, ACT Wazalendo na CUF
ACT WAZALENDO
Kamati kuu ya ACT Wazalendo ina wajumbe 55 ambao kati yao 23 ni wanawake. Wajumbe hao ni pamoja na Kiongozi wa chama, Naibu kiongozi wa chama, Mwenyekiti wa Taifa, makamu wenyeviti (Bara na...
Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu, amesisitiza kuwa mwaka 2025 ni mwaka wa mageuzi na wanawake hawatarudi nyuma katika mapambano ya kudai haki zao. Akizungumza katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani jijini Dar es Salaam, Semu ameeleza kuwa hali ya kisiasa nchini...
Kuna habari za chini chini kwamba Mrisho Gambo yuko katika maongezi ya ngazi ya juu ili kuona uwezekano wa kuhamia ACT Wazalendo.
Tetesi hizo zinatokana na upepo mbaya kisiasa jimboni ambao unachochewa na mahusiano mabaya aliyonayo na viongozi wote wa mkoa mzima wa Arusha katika chama na...
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Chama cha ACT wazalendo kimeamua kuwashitaki viongozi wanaotumia vibaya madaraka yao kwa kukamata watu kinyume na sheria na kuwapiga pamoja na kuingia zoezi la uandikishaji wapga kura linaloendelea Zanzibar.
Chini ya mpango huo wameanza kwa kufungua mashitaki dhidi ya mkuu wa wilaya ya...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Ndugu waandishi wa Habari, Ramadhan Kareem
Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu (S.W) kwa kutujaalia Neema ya Uhai hadi sasa na kutujaalia kuwa miongoni mwa viumbe wake waliobahatika kuuona Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan. Inshallah tuendelee kumuomba Allah (S.W)...
Kwa namna ya pekee sana, Chadema wameamua kujimaliza wenyewe kwa kujiengua na kususia uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025, na kukwepa kisayansi aibu ya kushindwa vibaya sana na chama Tawala CCM.
Hali hiyo inamaanisha kwamba,
vyama vya CUF, NCCR MAGEUZI, ACT-Wazalendo na vyama vingine vya...
Kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tulikamata watu kadhaa wenye kura feki ikiwemo Polisi. Hakuna aliyechuliwa hatua. Hakuna hata faili la uchunguzi lililofunguliwa. Kwa ukimya wake juu ya jambo hili IGP anatuma ujumbe kuwa Polisi wanashiriki wizi wa kura" Ado Shaibu, Katibu Mkuu, ACT Wazalendo...
Wakuu,
Yaani kwa kauli hii inaonekana hawa ACT kwanza kabisa watashiriki huu Uchaguzi na pa so far hawana hela za kuzunguka kufanya kampeni kufanya Uchaguzi.
============================================
Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema pesa za kufanikisha shughuli za...
Mahakama ya Wilaya ya Kigoma imebatilisha matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Mtaa wa Geza Ulole, Manispaa ya Kigoma Ujiji, mkoani Kigoma, na kuamuru uchaguzi huo urudiwe baada ya kubaini ukiukwaji wa taratibu na miongozo ya uchaguzi.
Uamuzi huo umetokana na kesi iliyofunguliwa na...
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, ndugu Ado Shaibu amejibu kauli ya Ally Hapi kuwa Dola iwashughulikie wanaotaka kuzuia uchaguzi, ambapo amesema kuwa CCM siyo chama cha siasa tena, kwasababu sifa ya chama cha siasa ni lazima kiwe na uwezo wa kuleta ushindani.
CCM hii ya sasa siyo ile tuliyokuwa...
Chama cha ACT Wazalendo kimesema kipo tayari kuunganisha nguvu na vyama vingine vya siasa pamoja na taasisi mbalimbali ili kuhakikisha vinapambania uwepo wa uchaguzi huru na haki mwaka huu.
Akizungumza leo Februari 23 kwenye Kikao cha Halmashauri Kuu ya chama hicho Kiongozi wa ACT Wazalendo...
Wakuu
Kwa Taarifa zilizonifikia ni kuwa kikao cha Tundu Lissu pamoja na Ado Shaibu (KM ACT WAZALENDO) na Ismail Jussa, kilichofanyika jana ofisi za chadema AGENDA yao ilikuwa ni kuhusu NO REFORM NO Elections na hivyo wamekubaliana, hiyo imepelekea ACT kuitisha halmashauri kuu ili AGENDA hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.