Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Cde. Mohammed Ali Kawaida (MCC) ameomba Chama cha Mapinduzi (CCM) kiwakabidhi vijana hao kushughulika na chama cha upinzani Zanzibar (ACT - Wazalendo) ambao wamekuwa wakikejeli maendeleo makubwa ambayo yanafanyika katika Visiwa vya Zanzibar pia kukashifu viongozi na...
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo, Abdul Nondo, anatoa tamko muda huu kuhusu kutekwa kwake Stendi ya Magufuli.
Fuatilia hapa akitoa tamko lake
https://www.youtube.com/live/LyTw1PpXT4I?si=Ze8FhWkwx-7UfKkb
"Baada ya kutekwa katika stendi ya Magufuli mashuhuda waliotoa taarifa ndio...
TAARIFA KWA UMMA
KUHUSU MWENENDO NA ONGEZEKO LA DENI LA TAIFA LA ZANZIBAR
(2020-2024) "UNAPOSHINDWA KUHESABU, UTASHINDWA KUDHIBITI"
Tarehe 7 Januari 2025, ACT Wazalendo inatoa taarifa rasmi kwa umma kuhusu ongezeko kubwa na lisilokuwa la kawaida la Deni la Taifa la Zanzibar katika kipindi cha...
Mwenyekiti wa Chadema bwana Mbowe amesema chama chao cha chadema hakina ukomo wa madaraka na watu wasiwalazimishe kua kama CCM ana ACT wazalendo wenye ukomo wa Madaraka.
Mbowe anasema ukomo wa madaraka kwenye chama chao ni pale wanapofanya uchaguzi kila baada ya miaka 5 hivyo kama kiongozi...
Wakuu,
Inaonekana kwamba bado vyama vya upinzani vina imani na mchakato wa Uchaguzi nchini
==========
Vyama vya upinzani vimeitaka Tume Huru ya Uchaguzi kuhakikisha inasimamia misingi ya haki na matakwa yote ya kisheria katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025 siku moja baada ya Rais Samia...
Othman Masoud Othman, Mwenyekiti wa ACT Wazalendo na Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, ametoa kauli yenye mashiko kuhusu hali ya kiusalama na haki nchini, akisema kuwa Mtanzania akienda mahakamani hana hakika ya kupata haki yake, na hata akilala, hawezi kujua kama ataamka salama.
Akizunguza...
Wakuu,
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka viongozi wa ACT Wazalendo kuacha pupa na papara ya kutoa maelezo yanayoingilia uhuru na majukumu ya vyombo vya dola, polisi na mamlaka zinazosimamia upelelezi
Matamshi hayo yametamkwa na Katibu wa Kamati Maalum ya NEC Zanzibar, Idara ya Itikadi...
ACT WAZALENDO TUNAMTAKA DR. MWINYI ATENGUE UTEUZI WA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA, NA IDARA MAALUM ZA SMZ
Chama cha ACT Wazalendo, tumepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa taarifa ya kuuliwa kwa watu wawili na Kikosi cha KVZ cha Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na mtu mmoja...
1.Pata picha Tundu Lisu akasepa na Kijiji chake ACT Wazalendo, wataungana na Zito, Lisu akagombea uraisi akashinda, Zito waziri mkuu, Zanzibar Jusa Raisi Visiwani, hakika itakuwa serikali mbadala kabisa kwa utawala wa muda mrefu wa chama cha kijani.
2. Wasiposhinda uchaguzi wa Rais ACT...
Najua wengi mtakuja kufukua hii thread ninayoiandika leo huku chama kinaenda kushinda urais kupitia mgombea wake ambaye atakuwa Tundu Lissu huu ni asilmia 100% upinzani unaenda kuchukua nchi
Nimeandika Leo na nitafufua huu Uzi wangu mimi mwenyewe hatimaye watanzania wataenda kufurahi...
* Zitto amekaa muda mfupi na kupisha mwingine bila mabishano;
* Mbowe wa CDM amekaa miaka mingi na hana utayari wa kuamini kuwa wapo wengine wawezao kuongoza CDM;
CCM izidi kuwafundisha CDM ustarabu ktk chaguzi
Habari za mapumziko mabibi na mabwana.
Jambo moja nataka watanzania wafahamu ni kwamba hii CHADEMA ya sasa inayoongozwa na FAM imechokwa na watawala hivyo watawala wapo Kazini kubrand Chama cha ACT Wazalendo kuwa Chama kikuu cha upinzanzani.
Najua mtauliza kwa namna gani watawala wanataka ACT...
Wanaukumbi.
Kwa hali ilivyo ndani Chadema kunawaka moto kwa sasa kutokana na Uchaguzi wa ndani wa viongozi, kuna tetesin Mbowe na kundi lake kina Wenye hawawezi kumpa uongozi wa chama Tundu Lissu.
Kuna tetesi za ndani kabisa kuwa Tundu Lissu na wafuasi wake kutimkia ACT Wazalendo.
Chadema...
MUENDELEZO WA VITISHO NA MATENDO YA UKIUKWAJI NA UVUNJWAJI WA HAKI ZA BINADAMU YANAYOFANYWA NA JESHI LA POLISI NCHINI.
Idara ya Haki za Binaadamu na Vyombo vya Uwakilishi wa Wananchi ya ACT Wazalendo Taifa imepokea taarifa mbalimbali kutoka kila pembe ya nchi juu ya Muendelezo wa Vitisho na...
Jeshi la Polisi limezuia mkutano wa hadhara Kilwa Kusini uliokuwa uhutubiwe na Kiongozi wa @ACTwazalendo, Ndugu @SemuDorothy. Katazo hili ni mwendelezo tu wa jeshi hilo kukubali Kutumika Kisiasa na chama tawala.
#TaifaLaWote #PolisiwaWote #MaslahiYaWote
Mkutano wa hadhara wa Chama cha ACT Wazalendo uliotarajiwa kuhutubiwa na Kiongozi wa chama hicho Dorothy Semu ambao ulipangwa kufanyika katika viwanja vya Maalim Seif Garden, Kilwa Kivinje, mkoani Lindi leo, Ijumaa Desemba 06.2024 umepigwa marufuku na Jeshi la Polisi kwa kile kinachoelezwa kuwa...
Abdul Nondo akutwa na kiwango kikubwa cha sumu mwilini
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ACT-Wazalendo Taifa Ndg. Abdul Nondo jana tarehe 03 Disemba 2024, alifanyiwa upasuaji mdogo kwenye unyayo baada ya madakatri wanaomuuguza katika hospitali ya Aga Khan kubaini uwepo wa mivunjiko midogomodogo...
Kwema Wakuu!
Mwezi wa tano mwaka huu nilikuwa maeneo ya Kigoma. Kwa usafiri wa Basi kutoka Kigoma Mpaka DSM ni mbali Sana. Hayatapungua Masaa 20 ukiwa njiani unaugulia maumivu ya mgongo na kiuno.
Sasa kufuatia tukio la kutekwa kwa ndugu Abdul Nondo ambaye kwa mujibu wa maelezo yake anadai...
Taarifa ya Chama cha ACT Wazalendo imeeleza "Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo, Abdul Nondo anaendelea na matibabu katika Hospitali ya Aghakhan, Dar es Salaam kutokana na kuumizwa kwa kipigo na watu waliomteka."
Pia soma
~ Taarifa ya kutekwa kwa Abdul Nondo kutoka ACT Wazalendo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.