Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.
Mpaka sasa hatujui hatma ya chama chetu kwenye uchaguzi mkuu huu.
Siyo mgombea wetu, Mwenyekiti wetu wala kiongozi wa chama aliyetoka hadharani kutuambia tunafanyeje kwenye chumba cha kupiga kura za Urais takribani wiki mbili zijazo.
Mgombea wetu wa Urais haonekani popote na hakuna maelekezo...
Kwenye Taifa lenye zaidi ya 80% ya watu wake wakiwa na umri chini ya miaka 35, ni dhamira yetu, kuwekeza na kutengeza sera, sheria na taratibu zitakazohakikisha kuwa vijana wa taifa hili wanakuwa kipaumbele na chachu ya maendeleo, kwao wao na kwa taifa.
Serikali ya ACT-Wazalendo, imekataa kuona...
Tume ikishamteua mtu huwa inenda kuchapisha karatasi za kupigia kura .Hivyo kwenye karatasi za kura kutakuwa na picha ya Membe kama mgombea uraisi wa Tanzania
Sura yake mtaiona kwenye karatasi za kupigia kura
Hawa wagombea wachanga kama huyu wa Kigamboni waliingia kwenye kinyang'anyiro cha ubunge huku wakiamini fika kuwa ujio wa Membe ndani ya ACT Wazalendo ungekuwa mkombozi kwao na walitarajia angewainua vilivyo.
Membe hata alipokuwa Pemba na Unguja pamoja na Maalim alishindwa kabisa kutumia jukwaa...
Ni mkakati wa ACT wazalendo chini ya uongozi wa Maalim Seif Sharif Hamadi na timu yake ya ushindi,amesema hilo halina ubishi wala mjadala ni mazungumzo yalioasisiwa na utekelezaji wake upo mezani.
Jambo ambalo limeshindwa kutekelezwa na Chama Cha Mapepari(CCM) kwa muda wa miaka 55,mapepari...
Wakuu mkistaajabu ya tume ya uchaguzi basi jiandae kuona ya msajili.
Jana kumbe Sisty kuwahi kote huko na boda boda pale makao makuu ya Chadema ni kupeleka barua ya katazo kuwa kuwanadi wagombea wa nje ya vyama vyao ni kukiuka maadili ya uchaguzi hivyo wamepigwa marufuku.
Yani hii ofisi ya...
Nini maana halisi ya Barua hii ya Chama cha ACT Wazalendo waliyomuandikia msajili wa Vyama vya Siasa kujibu Tuhuma dhidi yao.
Ni dhahiri kuwa ACT imekosa imani na mtu waliomsimamisha kuwania Kiti cha Rais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu nchini Tanzania. Na hili linaweza kuwa funzo kwa baadhi...
CCM wako "so desperate" kuhakikisha kuwa mgombea Urais wao John Pombe Magufuli anatetea kiti chake.
CCM wanatambua fika kuwa, kupitia sanduku la kura (Ballot Box), Magufuli hawezi kushinda iwe mvua ama jua.
Wanataka ashinde kwa "njia zingine haramu" ambazo Mimi na wewe msomaji tunazijua na...
Naibu wa msajili wa vyama vya siasa Dkt. Nyahoza amesema vyama vya siasa vinavyojipanga kushirikiana vimeshachelewa.
Nyahoza amesema muda uliowekwa kisheria kwa vyama vyenye nia ya kushirikiana kuingia mkataba wa kisheria umeshapita hivyo hakuna ushirikiano utakaoruhusiwa kwa sasa.
======...
Baada ya kuanza kampeni za kuwania Urais katikati ya kitovu cha nchi na kwenda mikoa mbalimbali, leo mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi amerejea mjini Dodoma na kulakiwa na wananchi mbalimbali wa mkoa.
Katika furaha isiyo kifani, Dkt Magufuli amecheza wimbo wa 'Tanzania ya sasa'...
Vijana wanaosadikiwa kuwa wa CCM, usiku wa kuamkia leo majira ya saa saba za usiku wamevamia tawi la Tutani (Mkombozi) la chama cha ACT-Wazalendo Nungwi mkoa wa Kaskazini Unguja na kuchana bendera za ACT-Wazalendo na kubandika picha za Mwinyi.
Naam kumekucha tume ya zanzibar ya uchaguzi imetangaza haya yafuatayo:-
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imewaengua wagombea kumi na watano (15) kati ya hao kumi na mmoja (11) ni wa Chama Cha ACT-Wazalendo, CCM mmoja (1), CUF mmoja (1), UPDP mmoja (1) na Demokrasia Makini mmoja (1), waliokuwa...
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Mhe. Zitto Kabwe amewataka wanachama wake kwenda kumsikiliza mgombea urais wa Chadema Tundu Lissu katika viwanja vya Mwanga Community Centre leo.
Zitto amesema Tundu Lissu ni rafiki yake hivyo mkoa wa Kigoma umpe heshima anayostahili.
My take; Mbona Zitto...
Hapo siku ya Jumamosi ya 12 Septemba, 2020, CCM ilifungua kampeni zake Zanzibar na siku ya pili yake yaani Jumapili ya tarehe 13 Septemba, 2020 ACT-Wazalendo nayo ilifunguwa kampeni Zanzibar.
Kuna baadhi ya mambo hayakusemwa au kupatiwa ufafanuzi.
Timu yetu ya kampeni ilipiga kambi huko...
Habari zinazozunguka mitandaoni hivi sasa ni kuonekana kwa Bernard K. Membe uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere, taarifa za awali zinasema anaelekea nje ya nchi. Lakini mpaka sasa hakuna taarifa rasmi kutoka chama cha ACT Wazalendo, Je Mh. Membe ameamua kuachana na kampeni...
Yale yaliyofichuliwa ndani ya CHADEMA sasa yanajidhihiri kwatika namna ifananayo ndani ya ACT-Tanzania. Kuna mgogoro mkali unafukuta hasa kuhusu uongozi. Wahusika mbalimbali wanaojiita Kamati Kuu, wenyeviti na nafasi nyingine wanatokeza kila kukicha wakidai kufanya vikao halali na kutoa maamuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.