act wazalendo

Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. Mathayo Fungo

    Ukweli kuhusu utata wa kifo cha Abubakar Khamis Bakar mwakilishi mteule wa jimbo la Pandani Pemba kwa tiketi ya ACT Wazalendo

    Hivi vyama vingine bora vife tu. Havina maana kabisa kwenye siasa. Kwanza havijawahi kuifanyia chochote Tanzania
  2. M

    Sasa ni zamu ya ACT Wazalendo kukataa ujinga na kutuonyesha kuwa nyie si wasaka vyeo bali wazalendo kweli

    Ndugu zangu wa ACT-Wazalendo Fanyeni mfano wa CHADEMA, achaneni na ujinga wa serikali ya umoja wa Kitaifa huko Zanzibar!. Serikali ya umoja wa kitaifa inaweza kupatikana tu katika uchaguzi huru, wa haki ambao maamuzi ya wananchi kweli yameheshimiwa Serikali ya umoja wa kitaifa haiwezi...
  3. Lord denning

    Ushauri wangu kwa Wanasiasa wa kweli walio ACT Wazalendo na CHADEMA

    Huu ushauri wangu hauhusishi wanasiasa njaa/ Wanasiasa Maslahi, bali wanasiasa kweli wenye uchungu na nchi yao. Waliopo kwenye siasa kwa dhumuni la kuleta itikadi mbadala inayoenda kuleta mabadiliko ya kweli nchini katika maendeleo ya wananchi yanayoongozwa na demokrasia ya kweli na sio...
  4. Lord denning

    Ushauri wangu kwa ACT Wazalendo na Maalim Seif

    Ndugu Maalim Seif, Tumekusikia ukikiri kupokea barua toka Serikali ya Zanzibar( Rais wa Zanzibar) juu ya kushiriki kwenu ACT Wazalendo kuundwa kwa serikali ya Umoja wa Kitaifa. Ushauri wangu kwenu ACT Wazalendo na Maalim Seif Kamwe msiingie kwenye huu mtego. Kwa sababu kwenye miaka yote...
  5. J

    Kwanini ACT-Wazalendo wanaishitaki Serikali ICC badala ya Mahakama ya Afrika Mashariki? Huu ni uzalendo?

    Tunazo mahakama za Afrika na mahakama ya Afrika mashariki lakini ACT wazalendo wamevuka mipaka hadi bara la Ulaya kupeleka malalamiko yao ya kisiasa. Je, ICC ni bora kuliko mahakama za Afrika? Je, ACT wazalendo ni wazalendo kweli? Maendeleo hayana vyama!
  6. J

    Kassim Majaliwa: Navishukuru vyama rafiki CHADEMA, CUF na ACT Wazalendo kwa kunipigia kura ya " Ndiyo" niwe Waziri mkuu!

    Waziri Mkuu mh Kassim Majaliwa amewashukuru wabunge wa vyama rafiki Chadema, Cuf na ACT wazalendo kwa kumpigia kura za "ndio" kwenye ushindi wake wa 100% wa kumthibitisha kushika wadhifa huo. Mh Majaliwa amesema maendeleo hayana chama hivyo atashirikiana na wabunge wote bila kujali itikadi...
  7. IslamTZ

    CCM nao wameshindwa uchaguzi 2020, mshindi Dkt. Magufuli tu

    CCM nayo imepoteza katika uchaguzi huu, mshindi JPM tu Abu Kauthar Uchaguzi wa 2020 Tanzania umepita. Inasemekana Watanzania wameamua kukirejesha chama tawala, CCM kwa kishindo. Kishindo kilikuwa ni kikubwa mno. Kishindi cha bomu lililoteketeza sio tu vyama vya upinzani, bali hata mmea...
  8. mugah di matheo

    Ni wabunge wapi wapinzani walishinda? Je, ni upi msimamo wa CUF na ACT-Wazalendo juu ya ushiriki wa wabunge wao?

    Naombeni kuwajua wabunge nane wa Upinzani na majimbo wanayotoka. Na je vyama vya ACT-Wazalendo na CUF wamechukua hatua gani au msimamo upi juu ya ushiriki wa wabunge wao katika Bunge?
  9. M

    Ripoti ya ACT-Wazalendo juu ya ukiukwaji wa kutisha haki za binadamu katika uchaguzi wa Zanzibar

    Jana kiongozi mkuu wa chama cha ACT-Wazalenda ndugu Zitto Zubeir Kabwe ameitisha mkutano wa waandishi wa habari na kuelezea mambo mazito ya ukiukwaji wa haki za binadamu wa kutisha uliofanywa na vyombo vya usalama huko Zanzibar. Akieleza waandishi wa habari yaliyojiri, Ndugu Zitto alitoa...
  10. The Palm Tree

    Uchaguzi 2020 CASE STUDY - Jimbo la Hai - Walitumia teknolojia gani kupata matokeo sahihi ya kila kituo ndani ya saa 8?

    Jimbo la uchaguzi la HAI liko mkoa wa Kilimanjaro. Ni jimbo ambalo "the most wanted person" na watawala wa CCM, mwenyekiti wa taifa wa chama kikuu cha upinzani Tanzania - CHADEMA ndugu Freeman Aikael Mbowe aligombea ubunge kupitia chama chake hicho. Ilikuwa kwa vyovyote vile asitangazwe mshindi...
  11. Lizaboni

    Uchaguzi 2020 Kushindwa kwa maandamano ya CHADEMA na ACT-Wazalendo ni ushahidi wa wazi kuwa ushindi wa CCM hauna dosari zozote

    Wadau, amani iwe kwenu. Watu hawashiriki kwenye maandamano kwa kushawishiwa. Maandamano ni utashi wa mtu na hushiriki tu kwa kuwa ameguswa. Maandamano ya kushawishiwa kwenye mikutano na waandishi wa habari ama kwenye mitandao ya kijamii siku zote hayafanikiwi. Wananchi wakiguswa hata utumie...
  12. TODAYS

    Huu ndio Mtihani kwa ACT-Wazalendo: Kukubali maridhiano na kuunda Serikali

    Tafsiri kupitia tamko la Rais mteule wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi, baada ya kutangazwa mshindi, inaweza kujenga taswira kuwa kiongozi huyo anaweza kuwa na dhamira ya kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa. Hata hivyo, mtihani upo kwa mpinzani wake, Maalim Seif Sharif Hamad na chama chake cha...
  13. Suley2019

    Polisi Zanzibar yakiri kumshikilia Naibu Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo (Nassor Mazrui) na vijana wengine 33 wa Chama hicho

    Jeshi la Polisi la Zanzibar limekiri kumshikilia Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Bw. Nassor Mazrui na vijana wengine 33 wakiwatuhumu kuwa na mabomu na kushiriki harakati mbalimbali za kuingilia mchakato wa Uchaguzi usiku wa tarehe 28/10/ 2020
  14. D

    Kesho Jumamosi viongozi wakuu wa CHADEMA, ACT Wazalendo kuzungumza na Waandishi wa Habari-Makao Makuu ya CHADEMA

    Kesho majira ya saa nne asubuhi viongozi wakuu wa CHADEMA na ACT Wazalendo kuzungumza na Waandishi wa Habari. Yatafanyika Makao Makuu ya CHADEMA mtaa wa Ufipa Kinondoni. Stay tuned!
  15. Miss Zomboko

    Uchaguzi 2020 Mawakala wa CHADEMA, ACT-Wazalendo, CUF na NCCR-Mageuzi wakamatwa baada kuzuia wapiga kura kuingia kituoni kwa madai ya wao kutopewa barua

    TANGA: Mawakala wa CHADEMA, ACT-Wazalendo, CUF na NCCR-Mageuzi wakamatwa baada kuzuia wapiga kura kuingia kituoni kwa madai ya wao kutopewa barua Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Blasius Chatanda amesema baadhi ya mawakala wa vyama tofauti vya siasa wamekamatwa kwa madai ya kuzuia wananchi...
  16. J

    Uchaguzi 2020 NEC yawaapisha Mawakala wa Wagombea Urais, wakala wa ACT-Wazalendo ashindwa kutokea

    Tume ya Uchaguzi leo imewaapisha mawakala watakaosimamia zoezi la kuhesabu kura za wagombea Urais. Katika zoezi hilo wakala wa ACT Wazalendo hakuwepo ukumbini na ikaelezwa baadae kuwa ACT Wazalendo haina Wakala. Chanzo: ITV Habari Maendeleo hayana vyama!
  17. Replica

    Zanzibar 2020 Taarifa ya ACT Wazalendo yasema watu watatu wamefariki kwa kupigwa risasi na Polisi huku tisa wakijeruhiwa Zanzibar

    Chama cha ACT Wazalendo kimetoa taarifa ya yanayoendelea Pemba, taarifa hiyo imeandaliwa na Maalim Seif na kutolewa kwa Umma ======= Taarifa zilizothibitishwa kutoka Pemba zinasema wananchi watatu wameuawa kwa silaha za moto na Jeshi la Polisi kuelekea mwanzo wa upigaji kura siku ya kesho...
  18. ACT Wazalendo

    Zanzibar 2020 Zanzibar: Vikosi vya SMZ Vyavamia Ofisi ya Ngome ya Vijana wa ACT-Wazalendo. Nassor Ahmed Mazrui atekwa

    Vikosi vya SMZ jana usiku walivamia Barza ya Mwanakombo; hii ni Ofisi ya Ngome ya Vijana wa @ACTwazalendo. Vitu walivyoiba ni Tv na Viatu, pia waliondoka na Mlingoti wa Bendera. Aidha leo hii Naibu Katibu Mkuu wetu upande wa Zanzibar ametekwa na watu wanaosemakana kuwa ni Vijana wa Jeshi...
  19. FAHAD KING

    ACT Wazalendo tuliwaonya mapema ujio wa Bernard Membe

    Habari wakuu, Nakumbuka niliwahi kutoa UZI mwezi Mei kuhusu kuonya wanachama wa ACT Wazalendo kuwa wasifanye makosa kama walivyofanya CHADEMA mwaka 2015 kwa Lowassa. Leo si mbaya kuwakumbusha kuwa wakati mnafanya uchaguzi wa kumchagua Bernard Membe kuwania kiti cha Urais mwaka huu 2020 ni kosa...
  20. S

    Zanzibar 2020 ACT Wazalendo waamsha Dhikri Nungwi - Haijawahi kutokea

    Tokea jana wanannchi wenye uzalendo na nchi yao ya Zanzibar wameanza kumiminika kutokea kila pembe ya nchi hio,huku wakisika wakisema Zanzibar ya ukweli na uwazi imefika na karibu Tanganyika yenye upendo wa kweli. Na rekodi ya leo kwa Zanzibar huenda ikavunjwa kesho katika viwanja vya mnazi...
Back
Top Bottom