act wazalendo

Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    CHADEMA ijifunze kwa ACT wazalendo namna ya kutuma majina ya wateule "wapendekezwa" kwa wakati bila mizengwe!

    Fikiria kwa mfano Chadema itakiwe kupendekeza jina la mtu mmoja atakayeingia katika baraza la mawaziri kama waziri, hakika hekaheka na majungu yanaweza kutamalaki. Tumeona namna walivyoshindwa kutoa ushirikiano wa kukipata " kikundi" cha wabunge 19 wa viti maalumu na tukasikia tu watu...
  2. Kasomi

    ACT Wazalendo au Rais wa Zanzibar ndio mwenye mamlaka ya kuteua Makamo wa Kwanza wa Rais?

    Hebu twende kikatiba zaidi tuone Dhana nzima ya uteuzi ,je ni ACT WAZALENDO au RAIS WA ZANZIBAR ndio mwenye mamlaka ya kuteua Makamo wa Kwanza wa Rais? Twende kikatiba zaidi, Ibara ya 39(1)(2)inasema. 39.(1) Kutakuwa na Makamo Wawili wa Rais ambao watajuilikanakama Makamo wa Kwanza wa Rais...
  3. J

    Kumtegemea mtu mmoja ni tatizo, ACT Wazalendo inaweza kufa baada ya Maalim Seif kufariki

    Maalim Seif alikuwa ndio nguzo ya CUF na alipohama CUF nayo ikawa imekufa " kimsingi " Maalimu Seif akawa nguzo ya ACT Wazalendo ambayo wabunge wake wote ni wafuasi binafsi wa Seif. Kufariki kwa Maalim Seif kunaweza kuwa ndio mwanzo wa kifo cha ACT Wazalendo pia. Lakini naamini Mwamba Zitto...
  4. Roving Journalist

    Zanzibar: Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad, Mkewe Bi Awena waambukizwa virusi vya Corona

    TAARIFA KWA UMMA Maalim Seif Apumzishwa Baada ya Kupata Maambukizi ya Covid 19 Chama cha ACT Wazalendo kinawajuilisha wanachama wake, Wazanzibari, pamoja na umma wa Watanzania, kuwa Mwenyekiti wake wa Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad, Mkewe, Bi Awena, pamoja na Wasaidizi wake kadhaa wa karibu...
  5. J

    Wale Wabunge wa kuchaguliwa wa ACT Wazalendo hawana uwezo wa kuongoza PAC na LAAC?

    Kumbukumbu zinaonyesha kuwa ACT Wazalendo ina Wabunge wanne wa kuchaguliwa wote wakiwa wanaume, CUF ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa ambaye ni mwanamama na Chadema ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa ambaye ni mwanamama na wabunge 19 wa viti maalumu. Nichukue nafasi hii kuwapongeza CHADEMA kwa...
  6. J

    Kwa sasa ACT-Wazalendo ni Chama Tawala pamoja na CCM

    Ukiisoma vizuri katiba ya Zanzibar utagundua kuwa chama kinachotoa makamu wa kwanza wa Rais nacho kinakuwa ni chama tawala na kinatoa Mawaziri wawili muhimu. Hii maana yake ni kuwa ACT-Wazalendo ni chama tawala pia na hata makamu wa kwanza wa Rais maalimu Seif akija Tanganyika itifaki...
  7. J

    CHADEMA na ACT-Wazalendo wametuonesha Umuhimu wa ile sheria ya Ushirikiano wa vyama wakati wa Uchaguzi

    Kwa sasa kuna kutoaminiana kati ya vyama shirika katika uchaguzi mkuu wa 2020 nikimaanisha CHADEMA na ACT-Wazalendo. Kila kimoja kinalaumu kingine kwa maamuzi wanayochukua baada ya kufeli katika uchaguzi mkuu. Sheria ya ushirikiano wa vyama vya siasa inataka pawepo mkataba wa kisheria...
  8. K

    CHADEMA ina mtaji mkubwa kisiasa kuliko CCM na ACT wazalendo, ruzuku na madaraka visiwaondoe kwenye reli

    Siasa Ni mkakati, siasa ni kujua mapungufu ya mpinzani wako, siasa safi nikuweka wananchi mbele nakuzika matamanio binafsi kwa mgongo wa itikadi. Tangu chadema watoe tamko lakuwafukuza viongozi na wanachama 19 mashambulizi toka ACT na CCM yamekuwa mengi sana. Hakuna linalofanywa bila kuitaja...
  9. J

    Spika Ndugai awaapisha Wabunge wateule wa ACT-Wazalendo. Mbunge wa ACT asema masuala ya Tanzania yatazungumzwa Tanzania na sio nje ya nchi

    Tukio liko mubashara TBC Karibu. Updates; Jumla ya wabunge wanne wa ACT wazalendo wanakula kiapo cha uaminifu mbele ya Spika Job Ndugai. Walioapa 1. Khalifa Mohamed Issa Mbunge wa jimbo la Mtambwe 2. Khatibu Said Hajji, Mbunge wa Jimbo la Konde 3. Omari Ali Omari wa Jimbo la Wete 4. Salum...
  10. K

    CHADEMA imetulizana, UVCCM wanahangaika kujinasibu kama ACT-Wazalendo

    Unaweza ukaishi kwa mfalme bila amani. Unaweza kuishi kwa mfalme ukawa na hofu hata ya majirani wema wanaoendelea na shughuli zao. Unaweza ukapata fursa ya kumshauri mkubwa akabaki kuwashambulia majirani wanaojiendeleza. Ndivyo walivyo vijana wa chama tawala, muda walionao wangewekeza kushauri...
  11. J

    Wanaoishambulia ACT-Wazalendo kujiunga SUK wajiulize kama CHADEMA hawajapokea ruzuku ya Novemba 2020

    Nimeshuhudia humu mitandaoni makamanda wakimshambulia sana Zitto Kabwe kufuatia chama chake kujiunga na SUK huko visiwani Zanzibar. Kigezo ni kwamba CHADEMA na ACT-Wazalendo hawayatambui matokeo ya uchaguzi mkuu na wao wanaita "uchafuzi" Wanachosahau makamanda wa CHADEMA ni kuwahoji viongozi...
  12. S

    CCM v/s CHADEMA against ACT Wazalendo

    Kinachoonekana sasa ni kwa CCM kuitumia nafasi ya ACT Wazalendo kuingia kwenye serikali ya umoja wa kitaifa huko nchini Zanzibar ,CCM kwa kutumia sura mbalimbali inazojivalisha inaonekana inatumia wanachama wake na wa ndani wa vyama husika kutaka kujenga hoja na kuleta fitina ndani ya vyama vya...
  13. 5

    Majibu Kwa Tundu Lissu - Imeandikwa na Janeth Rithe Katibu wa Uenezi Taifa ACT Wazalendo

    Imeandikwa na Janeth Rithe, Katibu wa Uenezi Taifa ACT Wazalendo. Nimesoma maoni ya Ndg. Tundu Lissu kuhusu Uamuzi wa chama cha ACT Wazalendo kuingia katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar. Ninaheshimu sana maoni yake na tunachukulia kwa uzito mkubwa ukosoaji wake kwa maamuzi ya vikao vya...
  14. bahati93

    Falsafa nongwa za Heraclitus: Part Two

    Wanajamii habari gani Baada ya kutoa toleo la kwanza juu ya falsafa za gwiji huyu wa kale, sasa naendeleza maana naona dawa haikuingia ipasavyo, chukulieni hili toleo kama mwendelezo wa dozi. Baada ya kusikiliza yaliyojiri Zanzibari na siasa zake kwa haraka nimeona nitoe dawa, hii dawa ni...
  15. Replica

    Zanzibar 2020 Rais Mwinyi amuapisha Maalim Seif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar. Maalim Seif asema haukuwa uamuzi rahisi

    Kutoka Zanzibar, maandalizi yameshakamilika kwa ajili ya kumuapisha Makamu wa kwanza wa Rais, Maalim Seif Shariff Hamad kutoka chama cha ACT-Wazalendo. Kuwa nami kukujuza yatakayojiri kutoka visiwa hivi vya karafuu punde kutoka sasa. PIA, SOMA=> Rais Dkt. Mwinyi amteua Maalim Seif kuwa Makamu...
  16. J

    Tundu Lissu ni vema angewalaumu ACT-Wazalendo na akina Halima Mdee akiwa nchini lakini siyo Ubelgiji

    Nilimsoma Tundu Lissu akiwalaumu akina Halima Mdee na wenzake kwa kukubali kuapishwa kuwa wabunge ilhali Uchaguzi haukuwa huru na haki. Nimemsoma tena Tundu Lissu akiwalaumu ACT-Wazalendo na Maalimu Seif kwa kukubali kujiunga na serikali ya Umoja wa kitaifa na kwamba wamewasaliti wananchi...
  17. J

    Kwanini wafuasi wa CHADEMA wanaumia na uamuzi wa ACT-Wazalendo kujiunga na SUK Zanzibar?

    Kiukweli ukipita humu mitandaoni utaona namna wafuasi wa CHADEMA walivyoumia kwa sababu tu ACT-Wazalendo wamejiunga na SUK huko Zanzibar. Binafsi najiuliza kwanini waumie wafuasi wa CHADEMA badala ya wale wa CUF ambao ndio wameizaa ACT-Wazalendo ya Zanzibar? Mbona CHADEMA imeteua Wabunge wa...
  18. Erythrocyte

    Napinga ACT-Wazalendo kushiriki kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) huko Zanzibar

    Naomba kwanza niweke wazi kabisa kwamba mimi si mwanachama wa chama cha ACT WAZALENDO na pia si mfuasi wake na wala siingilii msimamo wa viongozi wa chama hicho kama wao wenyewe walivyoamua , bali ifahamike kwamba mimi kama Mtanzania wa kuzaliwa ninayo haki ya kujadili makandokando yoyote...
  19. Mwl.RCT

    ACT-Wazalendo yaridhia kushiriki kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar na Vyombo vya Uwakilishi

    ADO SHAIBU: Kamati kuu ilikutana jana jijini Dar es Saalam Tarehe 5 Disemba katika hoteli ya Onomo ambayo iko Posta kwa ajili ya kutafakari hali ya kisiasa inayoendelewa nchini kwetu. Tumetoka katika uchaguzi uliofanyika tarehe 28 ya mwezi Oktoba, uchaguzi ambao ulitawaliwa na uchafuzi mkubwa...
  20. Influenza

    Bernard Membe, aliyekuwa mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo kwenye Uchaguzi 2020, ajiondoa kwenye chama hicho

    Bernard Membe ambaye alikuwa mwanachama na mshauri wa ACT-Wazalendo ametangaza kujiondoa katika chama hicho Membe, katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 aligombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hiko ambapo alifanya kampeni mikoa michache Aidha, Membe, mwanachama mwenye...
Back
Top Bottom