act wazalendo

Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. Kamanda Asiyechoka

    Chama chetu kinaonekana hakipo makini, CHADEMA tuna matatizo gani kukosa mikakati mizuri ya kisiasa kama ACT-Wazalendo?

    ACT ndicho chama chenye viongozi wenye akili na uwezo wa kuchanganua mambo kama wanasiasa na wasomi. Mambo haya ndiyo yalifanya manguli kama Maalim Seif (RIP) wakajiunga huko maana walikielewa sana. MASHINJI utavikwa taji na Mungu kwa kuwaambia akina Seif wasije SACCOS watajuta...
  2. dudus

    ACT Wazalendo tumeni haraka jina la Mgombea Uspika kutoka chama chenu

    Wadau nafasi ya Spika ndio hivyo iko wazi. Na kwa kuwa kwa mujibu wa Katiba (iliyopo) mgombea nafasi ya uspika sharti apendekezwe na chama ni muafaka kwa vyama hususan vyenye wabunge kupendekeza majina ya wagombea kupitia vyama vyao. Nawashauri ACT Wazalendo waitishe press chap watutaarifa jina...
  3. Kabende Msakila

    CHADEMA ilimalizwa na Magufuli, sasa tujielekeze kuidhoofisha ACT Wazalendo

    CCM ya Rais SSH iko imara baada JPM kufanya kazi ngumu ya kuimaliza CDM - sasa tujielekeze kuidhofisha ACT Wazalendo CDM watagombea nchini ubelgiji; ACT ndio waangaliwe kwa jicho kubwa. Lkn pia CCM tuikatae katiba mpya na tume huru ya uchaguzi - tukikubali hata NCCR waweza kuzika chama...
  4. NTIGAHELA

    Kwanini CHADEMA hampendi ACT-Wazalendo ifanye siasa zake?

    Viongozi wa Chadema wako busy kupambana na ACT badala ya issues za kitaifa: 1. Hivi ni lini mara ya mwisho wamekaa kitako na kuchambua bajeti ya nchi, na kutoa recommendations 2. Hivi ni lini mara ya mwisho wamekaa kuchambua ripoti za CAG? 3. Sijawaona wakikaa chini na kuchambua ripoti za benki...
  5. J

    Freeman Mbowe ageuka "LULU" vyama vya CCM, CHADEMA na ACT Wazalendo. Vinatafuta umaarufu wa kulazimisha kupitia kwake

    Chadema wanasema Freeman Mbowe abaki gerezani hadi pale haki ya kisheria itakapoonekana imetendeka. Wanaamini hii itakiimarisha chama na Mbowe mwenyewe kisiasa wakiwa wameanza kumfananisha na RIP Nelson Mandela wa SA CCM wanataka Mbowe atolewe gerezani kupitia huruma ya Rais c/o DPP wakiamini...
  6. Idugunde

    Huyu kiongozi wa ACT-Wazalendo ni mkweli? Anadai Magufuli alituma watu wachome nyumba yake na shamba lake la mikorosho

  7. figganigga

    Siku zote nilikuwa najua ACT Wazalendo ni chama cha Upinzani

    Salaam Wakuu Yaani mimi siku zote nilijua ACT Wazalendo ni chama cha Upinzani. Nimeshangaa sana.. Kumbe ndo maana Zitto wanadai ni Pandikizi. Vyama vya siasa vikuu vya Upinzani, NCCR-MAGEUZI, CHADEMA nk, Wamesusia mkutano wa Waziri Mkuu na vyama vya Siasa. Lakini Zitto anahimiza eti Shime...
  8. Kamanda Asiyechoka

    ACT Wazalendo michango ya nini wakati mna ruzuku na mnaunda Serikali?

    Mkutano Mkuu @ACTwazalendo ⁃Kuchagua Mwenyekiti wa Chama Taifa ⁃Kuchagua Makamu Mwenyekiti wa Chama ⁃Kuzindua Mfumo wa kisasa wa uandikishaji Wanachama ⁃Kuzindua Mkakati mpya wa Siasa ili kuimarisha Demokrasia TUNAOMBA MCHANGO WAKO KUFANIKISHA MKUTANO WETU https://t.co/8e1AA2HLEz
  9. R

    ACT Wazalendo yamkingia Kifua Jenerali Ulimwengu dhidi ya vitisho vya Spika Ndugai

  10. Naipendatz

    Duni Haji kumrithi Maalim Seif Uenyekiti ACT Wazalendo

    Makamu Mwenyekiti wa ACT- Wazalendo, Zanzibar Juma Duni Haji amejiuzulu nafasi hiyo, ili kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama hicho, iliyokuwa ikishikiliwa na Maalim Seif Sharif Hamad aliyefariki dunia Februari 17 mwaka huu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH). Duni maarufu kama ' Bob...
  11. Influenza

    CCM yaibwaga ACT Wazalendo Jimbo la Ushetu, Emmanuel Cherehani (CCM) aibuka kidedea

    Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ushetu, Linno Mwageni amemtangaza Mgombea wa CCM, Emmanuel Peter Cherehani kuwa Mbunge wa Jimbo hilo baada ya kupata kura 103,357 Mpinzani wake, Mgombea wa ACT Wazalendo, Mabula Nkwabi Julius amepata kura 3,588 kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika jana Oktoba 9, 2021
  12. Q

    ACT Wazalendo waibwaga CCM Konde, Mohamed Said Issa ashindi kiti cha Ubunge

    Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Konde, Abdallah Said Hamad amemtangaza Mgombea wa ACT-Wazalendo, Mohamed Said Issa kuwa mshindi wa Ubunge kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo hilo uliofanyika leo 09 Oktoba, 2021 Mohamed Said Issa amepata kura 2,391 dhidi ya 794 za mgombea wa CCM, Mbarouk Amour...
  13. kipara kipya

    Timu ya taifa haina chama, tumuige Zitto Kabwe

    Zitto kabwe nae inaonekana alifanya mazoezi kwa vitendo hapo akiwa na meneja wa staz Nadir haroub canavaro jasho la kwapa machozi na damu lazima stazi icheze qatar world cup!
  14. Etwege

    CCM: Tutamjadili kwanza Benard Membe

    Chama cha Mapinduzi kimemjibu aliyekuwa mgombea urais wa Act Wazalendo mwaka 2020 na baadae kutangaza kujitoa kwenye chama hicho, na sasa ametangaza safari ya kurudi CCM chama chake kilichomlea na baadae kumfukuza kutokana na utovu wa nidhamu kuwa kitamjadili kwanza ili wamuone kama wamkubalie...
  15. B

    Iwe uongo au kweli, hapa Upinzani wana cha kujifunza

    Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Pamoja na yote lakini Edward Lowassa alijitahidi kuipambania CHADEMA kwenye uchguzi mkuu wa 2015 ingawaje alishindwa kuipigania baada ya uchaguzi kupita. Lakini hali kwa Lowassa ikiwa hivyo, Membe ndio sikumuelewa kabisa. Kwanza ile anaingia tu ACT na kupewa...
  16. B

    Maajabu ya Kachero Mbobezi - Bernard Kamilius Membe

    Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni: Huyu ndiye Bernard Kamilius Membe mgombea urais kwa tiketi ya ACT wazalendo akiwa mwana CCM. Hili bila shaka ndiyo lile bao almaarufu la dak ya 90. Kazi kweli kweli.
  17. Etwege

    Bernard Membe huna sifa wala uwezo wa kuwa 'campaign manager' wa Rais Samia

    Aliyekuwa mgombea urais wa ACT Wazalendo kwenye uchaguzi mkuu wa 2020 na akaishia kufanya kampeni kwenye kijiji cha Rondo huku akijinasibu kuwa anataingia na kufunga goli dakika ya 90 bwana Bernard Membe, leo mbele ya waziri mkuu ametangaza kumuunga mkono rais Samia na kusema yupo tayari kuwa...
  18. K

    Uongozi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere wafanya mazungumzo na ACT Wazalendo

    #TAARIFA. KATIBU MKUU, ADO SHAIBU ATETA NA UONGOZI WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE MAKAO MAKUU YA CHAMA -Katibu Mkuu wa chama, Ndugu Ado Shaibu atembelewa na uongozi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, ukiongozwa na mkurugenzi wa taasisi ndugu Joseph Butiku na kufanya mazungumzo katika makao makuu ya...
  19. assadsyria3

    ACT Wazalendo, mnapata wapi nguvu ya kushiriki chaguzi zilizojaa dhuluma?

    Ujinga sio tusi bali kutojua jambo fulani basi huenda ukawa mjinga katika jambo hilo. Sasa wanataka kushiriki uchaguzi Jimbo la konde bila kutupa majibu ya maswali yafuayayo 1) Je, mmeahidiwa kupewa nakala ya fomu za matokeo kwa kituo na wakati wa majumuisho? 2) Je, mnaruhusiwa kuingia na simu...
Back
Top Bottom