Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.
Nasikia huko Zanzibar kimeumana!
Sijajua Othman Masoud na Rais Mwinyi kama wanatazamana usoni kwa sasa. Masoud anaonekana ni mtata sana hata akiwa ofisini sijajua anamshauri vipi Rais Mwinyi.
Kilichopo kwa ACT wamshukuru Maalim Seif kwa heshima yake suk imekuwepo. Hiyo haimaanishi CCM...
Jeshi la Polisi Wilaya Tunduru limezuia msafara wa Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe likidai hawana taarifa ya ziara hiyo.
Kiongozi huyo wa upinzani ambaye yuko kwenye ziara ya ujenzi wa chama mikoa ya Kusini msafara wake ulizuiwa ukitokea kata ya Namwinyu kwenda Kijiji cha...
Ni AIBU kwa CHAMA kinachotafuta Ukubwa wa kuwa Chama Kikuu cha Upinzani licha ya kuwa SIO cha UPINZANI kuwahadaa Wanachama wake na Watanzania kwa ujumla kuwa Kimejenga Jengo lake Wakati WAMEPANGA nyumba ya Mtu.
Kama kwenye Jambo Dogo kama hili la Jengo wanadaganya Je Wakipewa Nchi Watadanganya...
Mnadhania pesa alizochanga Sabodo kwa ajili ya ujenzi wa ofisi haikuwa mali ya umma?
Mnadhania michango mliyokusanya kwa zaidi ya miaka 30 sio mali ya umma?
Kwa nini msitumie vyema mali ya umma? Kujenga ofisi ya kudumu ni dalili kuwa mna uwezo wa kusimamia rasilimali na mali za umma.
Miaka 30...
Hata TANU ilipokuwa inapambana ili kupigania uhuru wa Tanganyika ilihakiiisha kuwa na ofisi na matawi kila ofisi kila mkoa na kila wilaya.
ACT Wazalendo wameonyesha kuwa wakipewa dhamana ya kuwa chama dola wanaweza kutumia vyema rasilimali za umma
Ninyi mmekuwa kwenye siasa za Tanzania kwa...
Chama cha ACT Wazalendo kimependekeza Serikali ichukue mkopo wa Sh10 trilioni kwenye benki za maendeleo ili kusambaza maji nchi ili kumaliza kabisa changamoto ya upatikanaji wa maji
Chama hicho kimetoa pendekezo hilo wakati kukiwa na mgawo wa maji katika mkoa wa Dar es Salaam pamoja na mikoa...
Siku moja jioni moja miaka sita iliyopita nilipata bahati ya kumfikia Maalim nyumbani kwake Sharif Shamba nje na mbali na matarumbeta na shamrashamra za mikutano na mengineyo.
Ilikuwa starehe kubwa kwangu kunywa kahawa na Maalim na kuchekanae mfano tuko barzani tunapumzika.
Lakini tabu...
JENGO JIPYA MAKAO MAKUU YA ACT WAZALENDO NGOME YA MAENDELEO NA AMANI
Naangalia picha ya jengo la Makao Makuu ya ACT Wazalendo lililoko Magomeni Mikumi.
Jengo hili limepewa jina la Maalim Seif Sharif Hamad.
Hakika ni jengo la kisasa linalovutia sana.
Nina kawaida kila nionapo jambo basi mimi...
Utasikia vijana wa CHADEMA wapo Twitter kulalama bila kutumia political sense of morals.
Utasikia wanakomalia mambo ya ajabuajabu tu bila hata kujali juu ya mambo ambayo yatakipaisha chama chetu.
Harakati za kisiasa bila common sense.
Ona wenzetu.
👇
Salaam Wakuu,
Zitto Kabwe na Chama chake cha ACT WAZALENDO, kimeshindwa kujitofautisha na CCM baadaya Ufisadi mkubwa kutokea kwenye Wizara Wanazoongoza.
Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), waligawana Madaraka na Vyeo huko Zanzibar.
Mfano: Nassoro Mazrui ambaye ni Naibu Katibu mkuu wa Chama...
Uhusiano wa utawala na chama tawala kwa upande mmoja na vyama vya upinzani kwa upande mwingne, haukuwa wa kuridhisha ukiringanisha na hali ilivyo hivi sasa chini ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan.
Haikuwa ni hali ya kawaida kuona viongozi wa juu wa kisiasa wenye itikadi tofauti, kuketi pamoja...
Wananchi hawana mbadala wa kuipachikia CCM ila ukweli ni kuwa hawaitaki tena. Sio wazee wala vijana.
Tozo, ufisadi upendeleo umekithiri ndani ya CCM huku raia wakiwa hoi kimaisha.
ACT Wazalendo ni mamluki waganga njaa. Hawapo kwaa ajili ya kumsaidia mwananchi aondokane na utawala usiofaa wa...
Kiukweli huku Bara hawana vichwa kabisa na hata huko Tanzania Visiwani wanatembelea nyota ya maalim Seif (RIP). Nani anawapa nguvu ya kufurukuta hawa ACT Wazalendo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.