Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.
Hatua hiyo inafuatia Ukaguzi uliofanywa na CAG kubaini hasara ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), imeongezeka kutoka Tsh. Bilioni 104 mwaka 2020/21 hadi kufikia Tsh. Bilioni 205 mwaka 2021/22.
ACT imependekeza Mifuko hiyo ya Hifadhi ya Jamii iwe na Fao la Matibabu ambapo 20% ya Michango...
Inaweza kuwa sahihi, Basi Bwana ACT Wazalendo alete ushahidi usio na mashaka kama payment voucher, cheque iliyolipa hizo hela, acceptance by Chadema official, bank statements and the like! Siyo nembo ya Bwana ACT Wazalendo na maandishi! Erythrocyte
Habib Mohammed Ali, Mwakilishi wa Jimbo la Mtambwe, Mkoa wa Kaskazini Pemba amefariki Dunia wakati akiendelea na matibabu katika Hospitali ya SAIFEE Jijini Dar es Salaam.
Katibu wa Habari, Uenezi, Mawasiliano na Umma wa Chama cha ACT-Wazalendo, Salim Bimani amesema taarifa za mazishi zitatolewa...
Jana Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi ameongea jambo zito sana kuhusu ACT Wazalendo, kwamba ni wapigaji tu walioifilisi Bandari.
Nategemea Godbless Lema atafafanua namna alivyopata Ukimbizi.
Wednesday, Ubarikiwe sana!
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Masoud Othman amesema Chama chake cha ACT Wazalendo kinataka Muungano utakaoitambua Zanzibar yenye Mamlaka kamili
Masoud amesema hayo kwenye mkutano wa Chama chake huko Nungwi
Chanzo: ITV habari
KIONGOZI wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema dhamira yake kubwa ya kuwa kwenye ulingo wa siasa ni kuwa Rais wa Tanzania atakayeibadilisha nchi pale ilipo na kupiga hatua kubwa kimaendeleo.
Zitto alitoa kauli hiyo jana Dar es Salaam alipohojiwa katika kipindi cha Super Breakfast...
Gazeti la Raia Mwema linaandika, aliyekuwa mwanachama wa Chadema na Mwenyekiti wa BAWACHA na wenzake 18 wanatarajia kujiunga na ACT Wazalendo muda wowote kuanzaia sasa na watazunguka Tanzania nzima kukinadi.
Yeye asema, Kwa hiyo tukitambua jambo jema linalofanywa na wenzetu, ni ‘kuinyatia’...
ACT wanaishi katika mkumbo mkubwa sana na wala hawatafika popote kwa maana hawana dila za mbele badala yake wanaangalia nyuma.
Kitendo cha ACT Wazalendo kumruhusu kiongozi wake kupambana na marehemu kwenye ziara zake za mikoa minne kwa kisingizio cha kuing'oa CCM hakiwezi kufanikiwa.
Hakuna...
Vita ya kugombea maridhiano imekuwa kubwa sana hapa Tanzania as if wananchi wanataka hayo maridhiano zaidi ya chakula.
Baada ya mbowe kufoka kule mwanza kwamba wao ndio vinara wa kupigania uhuru wa mikutano chini ya maridhiano alipoitwa Ikulu na Rais Samia jana ACT Wazalendo nao wameibuka na...
Bado wanauswahiba na zito na bado Halima Mdee ananguvu kisiasa hasa kwa upande wa kina mama hapa nchini hususani Kawe.
Yeye na kundi lake wakiibukia wazalendo na wakamomaa wanaweza kuwa chama chenye nguvu zaidi hapa Tanzania maana huyu atahama na Bulaya,matiko na wengine wengi, CHADEMA wanalo...
Zitto ametoa tuhuma nyingi dhidi ya Hayati Magufuli na utawala wake.
Mojawapo ni hiyo ya ndege 6 alizonunua Hayati Magufuli kuwa grounded wakati tuliambiwa ni ndege mpya.
Nasubiri kusikia kama Serikali au ATCL watakanusha tuhuma hizi.
Majibu ya ATCL, soma ATCL: Ndege mbili zina shida ya...
Baada ya Ujio wa Samia Suluhu Hassan kuwa rais wa Tanzania, kiongozi mkuu wa ACT wazalendo ndugu Zitto Kabwe akautangazia umma kuwa tusimtegemee kuikosoa serikali ya Samia kama tulivyozoea kumuona akikosoa serikali zilizopita(Hasa serikali ya Magufuli).
Na kweli ndugu Zitto ameacha kabisa...
Hiki chama hakieleweki kinataka nini na kinapigania nini.
Kimekaa kiunjanja unjanja tu.
Kimekaa kitabaka (Udini).
Mikutano yake imekaa kijanja janja tu.
Zitto kiongozi wao mwandamizi haeleweki anapigania nini.
Chama hakina sera kabisa.
Eti hiki chama nacho kinataka madaraka ya kuongoza...
Siku moja baada ya CHADEMA kuzindua mikutano ya hadhara jijini Mwanza, Chama cha ACT Wazalendo nacho kimetangaza kuanza mikutano yake Februari 19, 2023 jijini Dar es Salaam.
Akisoma maamizio ya kamati kuu ya chama hicho iliyoketi jana Dar es Salaam, katibu mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu...
Chama cha ACT Wazalendo kimeshinda kesi dhidi ya CUF visiwani Zanzibar. Ni kesi iliyohusu madai ya CUF kuwa baadhi ya majengo yanayotumiwa na ACT Wazalendo ni mali ya CUF.
Mahakama Kuu yaweka bayana kuwa CUF haina ushahidi wa nyaraka wa kuonesha wanayamiliki.
Msimamo wa Zitto Kabwe na ACT Wazalendo ni kuanza na Mchakato wa Tume Huru ya Uchaguzi halafu Katiba Mpya ipatikane baadae
Cha ajabu jana Zitto Kabwe kakimbilia Tunduru nchini Tanganyika na kuwataka Wananchi waamue kama ACT iendelee na SUK au ijitoe
Sasa unajiuliza SUK na Tunduru wapi na wapi...
Kauli ya Zitto imetokana Rais Mwinyi kumteua Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), ambapo chama hicho kinapinga kwa madai alihsika kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.
Kiongozi huyo wa ACT Wazalendo, amesema kabla ya kuingia Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) walienda kwa wanachama na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.