Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wakuu
Vyama vya siasa ACT Wazalendo, CHAUMMA, na wengine ambao mnashiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, mmesikia kauli ya Rais Samia?
Rais Samia wakati wa kuhitimisha shughuli za bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ijumaa Juni 27, 2025 alihimiza Vyama vyote vya Siasa nchini kutoa fursa zakutosha kwa Wagombea Wanawake, Vijana na Wenye Ulemavu.
"Nitumie fursa hii kuhimiza Vyama vyote vya Siasa kutoa fursa zakutosha kwa Wagombea Wanawake, Vijana na Wenye Ulemavu kugombea nafasi tofauti za uwakilishi."
Je, mko tayari kutekeleza wito huu kwa vitendo? na hali ikoje kwa wale waliokuwa wamepewa dhamana kwenye awamu hii ya Sita?