act wazalendo

Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. Suley2019

    Janeth Rithe ajitosa Uenyekiti Ngome ya Wanawake ACT Wazalendo

    Janeth Rithe amechukua fomu ya kugombea uenyekiti wa ngome ya wanawake ya chama cha ACT- Wazalendo, huku akianika vipaumbele vyake 10 atakavyovitekeleza endapo atafanikiwa kuchaguliwa Machi 2, 2024. Miongoni mwa vipaumbele hivyo ni kuhakikisha ngome ya wanawake inakuwa muundo nchi nzima kwa...
  2. Roving Journalist

    Dorothy Semu: Nimekivusha Chama cha ACT Wazalendo kwenye mawimbi ya ukandamizaji wa Demokrasia

    HOTUBA YA NDUGU DOROTHY-MANKA JONAS SEMU WAKATI KUCHUKUA FOMU YA KUWANIA NAFASI YA KUWA KIONGOZI WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO Ndugu watanzania Ndugu viongozi, wanachama, wapenzi na wafuasi wa ACT Wazalendo kipekee wote mlionisindikiza kutoka kila kona kujumuika nami hapa katika tukio hili la...
  3. K

    ACT Wazalendo badilisheni jina la chama chenu kiwe na tafsiri cha Kiswahili

    Kirefu cha ACT WAZALENDO ni neno la kiingereza. Sisi Watanzania ni waswahili ni wakati muafaka Chama chenu kiwe kama CCM (CHAMA CHA MAPINDUZI) au CHADEMA(CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO). Jifunzeni kutoka kwa Vyama hivyo viwili. Sisi siyo Waingereza. Lini mtu wa Kibondo atajua maana ya...
  4. DodomaTZ

    Mhandisi Ndolezi Petro atangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti Ngome ya Vijana ACT Wazalendo Taifa

    Hili hapa andiko la Mhandisi Ndolezi Petro ambaye ametangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti Ngome ya Vijana ACT Wazalendo Taifa katika uchaguzi utakaofanyika tarehe 29 Februari, 2024: UONGOZI NI VIJITI VYA KUPOKEZANA NAMI NAJIANDAA KWENDA KUCHUKUA KIJITI Mhandisi Ndolezi Petro, Waziri...
  5. BARD AI

    ACT Wazalendo waitaka Serikali kusitisha Nauli mpya za Mabasi na Daladala, kushusha bei ya Sukari

    Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali kupunguza mzigo wa gharama za maisha kwa Wananchi kwa kusitisha Nauli Mpya za Daladala na Mabasi zilizoanza kutumika Desemba 2023 pamoja na kushusha Bei ya Sukari inayolalamikiwa Nchi nzima. Kupitia taarifa yake, ACT Wazalendo kimesema kitendo cha...
  6. ACT Wazalendo

    Pre GE2025 Mwenyekiti ACT Wazalendo Dodoma asimamishwa uongozi. Alitoa kauli kuyapinga maandamano ya CHADEMA

    Chama cha ACT Wazalendo kinafuatilia kwa karibu mwenendo wa mambo katika mjadala wa kitaifa unaoendelea kuhusu Miswada ya Sheria ya Tume ya Uchaguzi, Sheria ya Vyama vya Siasa na Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani. Ikumbukwe kuwa msimamo wa ACT Wazalendo ambao unatokana na azimio...
  7. R

    Pre GE2025 Nimeshtushwa na taarifa kwamba ACT Wazalendo wameungana na CCM kupinga maandamano ya CHADEMA

    Nikitafakari namna ACT Wazalendo wanavyofanya siasa na malengo waliyonayo kisiasa kwa siku za mbeleni naona wanakosa mikakati sahihi. Sometimes kuna kukaa kimya kwenye baadhi ya mambo na ukafanikiwa kufikisha ujumbe na kuna kuamua kutoka adharani. ACT siyo chama cha kutoka adharani kikiongozwa...
  8. Roving Journalist

    Pre GE2025 ACT Wazalendo yasisitiza Miswada ya Uchaguzi kuboreshwa

    Chama cha ACT Wazalendo kimeendelea kuisisitiza Serikali kuhakikisha Miswada mitatu iliyopelekwa bungeni kuakisi maoni na mapendekezo ya wadau wa demokrasia nchini. Miswada hiyo ni pamoja na Muswada wa Tume ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na mMdiwani, Muswada wa Sheria wa Vyama vya Siasa pamoja na...
  9. Idugunde

    Taifa linahitaji mbadala wa CCM lakini sio hawa matapeli wa siasa Chadema,Cuf na Act wazalendo

    Kiuhalisia CCM haijawatendea haki watanzania , maendeleo yaliyopo hayalandani na rasilimali zilizopo. Leo hii tu maji, umeme na tiba zimekuwa za kupatikana kwa tabu? Miaka 60 ya uhuru? Madini Lukuki. Mbadala wa kuig'oa CCM anahitajika lakini sio hawa waganga njaa.
  10. Kamanda Asiyechoka

    ACT Wazalendo wana busara kuliko CHADEMA. Walimpisha Rais mafuriko ya Hanang

    TULIMPISHA RAIS SAMIA. "Nilifika Manyara jana, lakini, kwa kutambua Mh. Rais ana ratiba Katesh, hekima ilitutuma kusogeza mbele ratiba yetu ili kumpisha kisha sisi tuje leo kuona athari ya mafuriko, kuwaona wahanga na kutoa mchango wetu," Ado Shaibu, Katibu Mkuu ACT Wazalendo Katibu Mkuu wa...
  11. M

    Kwa ruzuku na pesa wanazopata ACT Wazalendo nilitegemea hawa wanachama wao walio na umasikini mkubwa wajengewe nyumba

    Huu ni umasikini uliokithiri
  12. M

    Zitto Kabwe: ACT Wazalendo imehujumiwa wazi uchaguzi wa Mtambwe

    Hii ni kali. 👇 "Tumeshuhudia hujuma za wazi Uchaguzi wa Mtambwe; tena katika wakati ambao nchi ipo kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa(SUK), wananchi wametulia na ipo Kamati ya Maridhiano ya Vyama vinavyounda SUK. Haikutarajiwa uhuni huu katika zama hizi."
  13. B

    CCM Waangukia pua uchaguzi mdogo jimbo la Mtambwe Pemba, na kukubali ushindi ACT Wazalendo

    28 October 2023 Pemba, Zanzibar MATOKEO YA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA MTAMBWE PEMBA, ACT-WAZALENDO WAIBUKA KIDEDEA Picha: Dr. Mohamed Ali Suleiman wa ACT-Wazalendo akizungumza wakati wa kampeni. Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Mtambwe Pemba Zanzibar , leo tarehe 28 oktoba 2023 amtangaza Dr...
  14. Roving Journalist

    ACT Wazalendo: Serikali iwafute machozi wananchi dhidi ya kadhia ya Tembo nchini

    Chama cha ACT Wazalendo hakiliridhishwi na kasi ya Serikali katika kushughulikia matukio ya tembo kuvamia makazi, kuharibu mali (mazao) na kutishia usalama wa wananchi nchini. Tangu mwaka 2021 vilio vya wananchi wanaoishi pembezoni au maeneo yanayozunguka hifadhi au mbuga za wanyama kama vile...
  15. Roving Journalist

    ACT Wazalendo: Serikali imewatenga Wanawake wa Vijijini

    SERIKALI IMEWATENGA WANAWAKE WA VIJIJINI Leo dunia inapoadhimisha siku ya wanawake vijijini, hapa nchini Tanzania hali ya wanawake, hasa wa vijijini bado ipo duni. Sensa ya 2022 inaonyesha kati ya wanawake milioni 31.6, wanaoishi mjini ni milioni 11.2 na waliosalia wote wanaishi vijijini wengi...
  16. ACT Wazalendo

    Macheyeki: Zuio la TCRA Matumizi ya VPN linakandamiza uhuru wa habari Nchini

    Zuio la TCRA Matumizi ya VPN linakandamiza uhuru wa habari Nchini. Chama cha ACT Wazalendo kupitia Wizara Kivuli ya Habari na Mawasiliano tunapinga vikali taarifa ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania -TCRA ya kukataza matumizi ya Mtandao binafsi maarufu kama VPN (Virtual Private Network)...
  17. Roving Journalist

    ACT Wazalendo: Mashauri ya ukatili wa Watoto na Wanawake yaendeshwe ndani ya miezi miwili

    Katika kuadhimisha ya Siku ya Mtoto wa Kike Duniani ambayo inaadhimishwa Oktoba 11 kila Mwaka, Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali kusimamia kupunguzwa kwa muda wa kuendesha mashauri ya ukatili dhidi ya Watoto na Wanawake. Chama hicho kupitia taarifa yao iliyotolewa na Janeth Joel Rithe...
  18. ACT Wazalendo

    ACT Wazalendo statement on exacerbation of the Israel-Palestine conflict

    ACT Wazalendo’ Government Oversight Committee (Shadow Cabinet) express our concerns on escalating tensions between Israel and Palestine that has had devastating effects on the lives of people in the region for the past 75 years. We reiterate the AU statement recalling that denial of the...
  19. M

    Sasa kama bandari ya Ujiji hairidhishi sisi nyie kama sehemu ya CCM si muifanye iridhishe. Poor Act Wazalendo

  20. Roving Journalist

    ACT Wazalendo kimepokea malalamiko ya Watumiaji wa Bandari ya Malindi Zanzibar kuhusu kupanda kwa gharama za utoaji mizigo

    ALLIANCE FOR CHANGE AND TRANSPARENCY (ACT WAZALENDO) OFISI YA KATIBU MKUU (Party’sSecretaryGeneralOffice) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Chama Cha ACT Wazalendo kimepokea kwa uzito wake malalamiko ya Watumiaji wa Bandari ya Malindi Zanzibar kuhusu kupanda kwa gharama za utoaji mizigo mara tu...
Back
Top Bottom