PreGE2025 Naghenjwa Kaboyoka wa CHADEMA atimkia ACT Wazalendo

PreGE2025 Naghenjwa Kaboyoka wa CHADEMA atimkia ACT Wazalendo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Parabolic

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
2,922
Reaction score
3,252
Screenshot_20250628_133351_Instagram.jpg

Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Naghenjwa Kaboyoka amejiunga na chama cha ACT Wazalendo leo Juni 28 Dar es Salaam.

Kaboyoka aliyewahi kuwa Mbunge wa Same Mashariki 2015-2020 amepokelewa leo na Kiongozi wa chama hicho Dorothy Semu kwenye ofisi za makao makuu Magomeni.

Mwaka 2020 Kaboyoka alikuwa miongoni mwa makada 19 waliofukuzwa Chadema baada ya kwemda kuapishwa kuwa wabunge wa viti maalum
 
Back
Top Bottom