act wazalendo

Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Utabiri: Halima Mdee na Wenzake 18 watahamia ACT Wazalendo au Umoja Party kama sio kuteuliwa Serikalini

    Huu ndio utabiri wangu kwa wale wabunge waliovuliwa uanachama na Baraza Kuu la CHADEMA. Hata hivyo, Mama kupitia washauri wake, anaweza kuwapa baadhi yao nafaai za uteuzi serikalini hasa Mdee wakiamini kufanya hivyo ni kuwakomoa CHADEMA wakati ni kuwamaliza kabisa kisiasa wanawake hawa. Muda...
  2. Nyankurungu2020

    Kanda ya Ziwa hawamtaki Zitto na ACT-Wazalendo, anapoteza muda

    Nimefuatilia Ziara zao hao Act Wazalendo hawana sapoti kabisa. Hata vijiwe vyote muhimu hapa Mwanza wanamponda na kumuona kibaraka wa mafisadi aliyajaa unafiki. Watu wa kanda ya ziwa hawamtaki Zitto kabisa. Angalia hata ziara zao hazina mvuto Zitto anapoteza Muda kabisa. 👇
  3. ACT Wazalendo

    ACT Wazalendo na Miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    TAARIFA YA MIAKA 58 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR. 1. UTANGULIZI Ni historia ya kupigiwa mfano kwa Taifa letu kwamba tunaadhimisha miaka 58 ya Muungano wetu. ambapo nchi mbili huru, Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, ziliungana rasmi siku ya tarehe 26-04-1964...
  4. Elitwege

    Uchumi wa kati tulifikaje? Bora kuwa na nidhamu ya uoga kuliko kutokuwa na nidhamu kabisa

    Mwaka 2019 bank ya dunia ilitangaza Tanzania kuingia uchumi wa kati miaka mitano mapema zaidi kinyume na ilivyokuwa imetabiriwa kwamba itachukua miaka kumi. Je, kuwahi huku kuingia uchumi wa kati ilikuwa ni matunda ya nidhamu ya uoga? Kama nidhamu ya uoga ina matunda kiasi hiki kwa nini...
  5. Leak

    Nini kimemkuta Bernard Membe hadi kubadili msimamo wake mpaka kuomba msamaha mara tatu?

    Kipindi cha sakata la Membe,Makamba na Mzee Kinana kuhojiwa na kamati kuu Mh Membe pekee ndiye aliyegoma kuomba radhi kwa chama na viongozi kwa madai kuwa hakuna kosa alilofanya na alisema yuko radhi kufukuzwa lakini kamwe hatoomba msamha! Na kweli Membe alifukuzwa chamani na kukimbilia ACT...
  6. J

    Dkt. Shoo ni Mkuu wa KKKT au ni Askofu mkuu wa KKKT? Maana kuna tofauti hapo!

    Kwa mfano Kanisa Katoliki wao Mkuu wa Kanisa ni Papa na kila Dayosisi inajitegemea chini ya askofu wake aliyeteuliwa na Papa. Ila kuna Rais wa baraza la maaskofu (TEC) yeye hutokana miongoni mwa maaskofu lakini hana nguvu kwenye shughuli za kila Dayosisi. Anglican wao Askofu mkuu anaingia hadi...
  7. NTIGAHELA

    Zitto Kabwe aliwafanyia kitu gani CHADEMA?

    Tatizo katika nchi hii Kuna kundi linajiona Lina hatimiliki ya upinzani kwenye siasa za Tanzania, wanawaona wapinzani wote ni mamluki wa watawala isipokuwa wao tu ni wazi kabisa kwa sasa hivi kwamba CHADEMA wameshindwa kufanya siasa bila kumtaja mwamba Zitto. Tokea miaka ya 2009 Chadema...
  8. Q

    Mwanza: ACT Wazalendo wanyang’anywa ofisi na Wafuasi wa CUF

    Iliyokuwa Ofisi ya CUF Mwanza baadaye ikageuzwa kuwa Ofisi ya ACT Wazalendo Mkoa, leo wenyewe CUF wameirudisha. ===== Maandalizi Ya Kuibadilisha Iliyokuwa Ofisi Ya ACT Mkoa Wa Mwanza, Ilemela, Baada Ya Viongozi Na Wanachama Hao Kujiondoa Act Na Kurudi CUF.
  9. S

    ACT Wazalendo yazidi kuiteka Tanzania

    Kwa kweli hiki chama kimekaa kama cha kichawi kila kinapokwenda maelfu ya watu wanakiunga mkono na sasa kipo mbali sana ,inakuwa ni ile hadithi ya mpiga filimbi, kwa kweli sasa ACT Wazalendo ni tishio kubwa kwa CCM na vyama vidogo vidogo vilivyobakia, tunajua Chama kilichokuwa namba mbili badala...
  10. J

    Mzee Duni: Kwani CHADEMA ilipotaka maridhiano na hayati Magufuli ilikuwa CCM B? Kwanini ACT Wazalendo kuwemo katika SUK iwe nongwa?

    Mwenyekiti wa ACT Wazalendo mzee Juma Duni Haji amesema mzee Mandela alisema hakuna fursa nzuri ya kisiasa kama ile ya kukaa na mpinzani wako na kumueleza ukweli huku unamuangalia machoni. Hivyo hao wanaopayuka kuwa ACT Wazalendo ni CCM B hawatusumbui kwani Chadema walipoomba maridhiano na...
  11. John Haramba

    Profesa Lipumba awapokea wanachama 50 kutoka ACT Wazalendo

    Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, leo Jumapili Februari 20, 2022 ameongoza mapokezi ya wanachama takribani 50 wanaorejea kwenye Chama hicho akiwemo Masoud Hamad Masoud kutoka Chama Cha ACT- Wazalendo. Masoud aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa ACT katika...
  12. Roving Journalist

    ACT-Wazalendo: Mkataba wa Mashirikiano ya kibiashara na Jumuiya ya Ulaya (EPA), unaruhusu upotevu mkubwa wa Mapato

    Utangulizi: Mkataba wa Mashirikiano/Muungano wa Kiuchumi (European Partnership Agreement-EPA) ni makubaliano ya kiuchumi yanayolenga kuunda eneo huru la biashara (Free Trade Area) kati ya nchi za umoja wa Ulaya (EU) na mataifa ya Afrika. Makubaliano haya yanajadiliwa na kuingiwa kupitia...
  13. Sky Eclat

    Mwenyekiti wa tawi la ACT wazalendo Tandale pamoja na wanachama wote watangaza kujitoa katika chama hicho

    Mwenyekiti wa Tawi la ACT Wazalendo la CMILICAN Kata ya Tandale, Said Omary Tengeneza, Kinondoni, pamoja na wanachama wake wote wamejiondoa rasmi ndani ya Chama hicho kupitia kikao Cha pamoja baada ya kufanya tathimini ya mwenendo wa viongozi wakuu wa Chama hicho
  14. 5

    Pemba: Mwenyekiti mpya ACT Wazalendo apokewa rasmi leo

    Ndio habari ya mjini kwa sasa mrithi wa gwiji la siasa za Tanzania Maalim Seif Sharif Hamad sasa ni Juma Duni Haji ambaye anavaa rasmi viatu vyake Wanampokea kule kisiwani Pemba na uongozi wa juu kabisa Ndugu Zitto Kabwe
  15. Return Of Undertaker

    Anderson Ndambo: Zitto ni mamluki wa CCM anaitumia ACT na Zanzibar kwa malengo binafsi

    Kwanini zitto ametumia mtutu kumbeba Babu Duni. 1. Kulipa fadhila kwa Babu. Baada ya Maalim Seif Kufariki, Kikatiba ya Zanzibar, ilitakiwa ndani ya wiki mbili lipatikane jina la Mrithi wa Makamo wa kwanza wa Rais Zanzibar. Zitto akamfuata Babu na kumuuliza juu ya nani Ambae Maalim alikusudia...
  16. Mohamed Said

    Namkumbuka: Juma "Babu" Duni Haji 1995

    MWENYEKITI WA TAIFA ACT WAZALENDO JUMA ‘’BABU’’ DUNI HAJI: NINAVYOMKUMBUKA Kuna kitu katika haiba nzima ya wanasiasa walio katika upinzani Zanzibar ambacho ni tabu kukieleza kwa maneno haya yetu ya kawaida. Kuna picha kila nikiiangalia machozi yananilenga. Ismail Jussa yuko kwenye...
  17. Fundi Madirisha

    Zitto ataiua ACT-Wazalendo

    Kwa jicho la kawaida sana nakiona hiki hakina maisha marefu. Kina mtaji mkubwa wa wanachama kule Zanzibar lakini kwa siasa anazofanya kiongozi wake mkuu, sioni kabisa maisha marefu ya chama hiki. Anataka kutumia usanii katika kukiendesha chama hawezi kufika mbali. Huwezi kuwa mstaarabu kwa...
  18. Erythrocyte

    Mzee Juma Duni Haji, wanaotaka Mbowe asote gerezani ni Washirika wa Chama Chako

    Mzee Juma Duni Haji kwanza Shikamoo , waendeleaje na hali yako mzee wangu ? Nimekusikia Mzee ukizungumzia sakata la Freeman Mbowe , umesema ukipata nafasi ya kusaidia Mbowe kutoka gerezani utafanya hivyo bila kujali kama UTATUKANWA , na ukaenda mbali kwa kudai kwamba wanaotaka Mbowe aendelee...
  19. Makonyeza

    Kuhusu ACT - Wazalendo kuunga mkono Serikali, acha leo niteme nyongo

    (Tunafanya Siasa tusiyoijua) Nimeona na kusoma sehemu kadhaa makada na mashabiki wa chama cha Chadema wakilaani taarifa inayokinasibu chama cha ACT wazalendo kuunga mkono juhudi za serikali katika miradi mbalimbali ya kimaendeleo. Na niliiona nongwa hii tangu siku ya sherehe za mapinduzi...
  20. Roving Journalist

    ACT Wazalendo: Wanachama 11 wametia nia kugombea nafasi tatu zilizotangazwa kuwa wazi, ikiwemo ya Mwenyekiti

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Mnamo tarehe 17/2/2020 Chama chetu kiliondokewa na aliyekuwa Mwenyekiti wake wa Taifa hayati Maalim Seif Sharif Hamad. Kwa mujibu wa ibara za 84(4) na116(4) za Katiba ya ACT Wazalendo (Toleo la 2020) nafasi hiyo inapaswa kujazwa ndani ya miezi kumi na mbili (12)...
Back
Top Bottom