act wazalendo

Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    LGE2024 ACT Wazalendo kufungua kesi Mahakamani kupinga Wagombea wao kuenguliwa, ili uchaguzi urudiwe

  2. mwanamwana

    LGE2024 Lema: CCM wanakaa vikao na ACT Wazalendo ili kukifanya kuwa Chama Kikuu cha Upinzani nchini na kuondoa hadhi yetu

    Lema akizungumza katika Mkutano na waandishi wa habari leo Novemba 13 amesema CCM wanakaa vikao na ACT Wazalendo ili kukifanya kuwa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Lema amesema kuwa CHADEMA imenasa vikao ambavyo CCM wanafanya chama cha siasa ambacho wana ushirika wa karibu wa kuwawekea wagombea...
  3. Roving Journalist

    LGE2024 ACT Wazalendo: Wagombea wetu wote warejeshwe, tuendeshe mambo kwa misingi ya haki

    Tumepokea taarifa ya Waziri wa Nchi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kuongeza muda wa rufani za wagombea na kuelekeza wagombea wetu walioondolewa kwa sababu ya ngazi ya udhamini warejeshwe. Ikumbukwe kuwa mnamo tarehe 09 Novemba, 2024 Kiongozi wa Chama chetu alitoa rai kwa Rais wa Jamhuri ya...
  4. Waufukweni

    Polisi Wazuia Mikutano ya ACT Wazalendo, Same kwa Maagizo ya Serikali

    Jeshi la Polisi Wilaya ya Same limetangaza kusitisha mikutano ya hadhara ya Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu, ambayo ilitarajiwa kuanza Novemba 13, 2024. Hatua hii inakuja kufuatia maagizo kutoka kwa ofisi ya serikali ya mkoa inayozuia mikutano ya hadhara kabla ya tarehe rasmi...
  5. Roving Journalist

    LGE2024 ACT Wazalendo: Wagombea wetu 51,423 wameenguliwa katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Chama cha ACT Wazalendo kinatoa Taarifa kwa Umma kuwa wagombea wake 51423 katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji wameenguliwa kwa sababu ya udhamini wa chama ngazi ya Kata. Wagombea wetu waliogongewa mihuri ya Kata ambayo ndio ngazi ya udhamini ya ACT Wazalendo wameenguliwa...
  6. Roving Journalist

    ACT WAZALENDO: Serikali iweke wazi ni matengenezo ya aina gani na gharama gani yatakayofanyika katika viwanja vya Amani na Gombani

    TAARIFA KWA UMMA SMZ iweke hadharani gharama zote za matengenezo ya Viwanja vya Amani na Gombani ACT Wazalendo tumepokea kwa mshangao mkubwa taarifa ya Zanzibar Footbal Fideration (ZFF) iliyotolewa tarehe 01/11/2024, juu ya kufungwa kwa Viwanja vya Amaan Stadium (uliobadilishwa jina na sasa na...
  7. T

    LGE2024 ACT wazalendo: Wagombea wetu Kigogo, Dar es salaam hawajateuliwa

    Soma: Arumeru: Wagombea wa ACT Wazalendo Kata ya Seela Sing’isi waenguliwa kwa kuto dhaminiwa na kutokujiandikisha orodha ya Wapiga Kura
  8. Cute Wife

    LGE2024 Bukoba: Wagombea ACT Wazalendo takriban 150 waenguliwa sababu ikitajwa ni makosa kipengele cha udhamini wa chama cha siasa

    Wakuu, Ameandika haya Mwanaisha Mndeme wa ACT Wazalendo kupitia ukurasa wake wa X; "Wagombea wa ACT Wazalendo Kata ya Katoro Bukoba takribani 150 wameenguliwa kwa sababu ya udhamini wa chama cha siasa. Kupata taarifa za kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa bofya hapa: LGE2024 - Special...
  9. Waufukweni

    LGE2024 Arumeru: Wagombea wa ACT Wazalendo Kata ya Seela Sing’isi waenguliwa kwa kuto dhaminiwa na kutokujiandikisha orodha ya Wapiga Kura

    Wakuu Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma na Naibu Waziri kivuli wa Fedha, Mipango na Hifadhi ya Jamii wa ACT Wazalendo kupitia ukurasa wake wa X ameanika taarifa hii kutoka huko Mkoani wa Arusha "Arumeru Mashariki Wagombea wa ACT Wazalendo katika Kata ya Seela Sing’isi...
  10. Cute Wife

    LGE2024 Zitto ataka wagombea wa ACT Wazalendo walioenguliwa Uchaguzi Serikali za Mitaa warejeshwe

    Wakuu, Moto unazidi kufuka. ==== "Kwa miaka mitatu, tangu Januari 2022, tumekuwa Mitaani na Vijijini kuimarisha chama chetu ACT Wazalendo. "Tumehakikisha kuwa tumepata wanachama wengi wazuri ambao wamegombea katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji. HATUTAKUBALI kamwe...
  11. JanguKamaJangu

    LGE2024 ACT Wazalendo: Kuna hujuma kubwa imepangwa dhidi ya wagombea wetu

    Chama cha ACT Wazalendo kimejiandaa kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji kwa kuhakikisha tuna wagombea wa kutosha. Taarifa tunazozipokea zinaonesha kuna hujuma kubwa imepangwa dhidi ya wagombea wetu. ACT Wazalendo tunapenda kumtahadharisha Waziri wa Tawala za Mikoa na...
  12. Waufukweni

    TANZIA Kigogo ACT Wazalendo afariki dunia

    Mwenyekiti wa Ngome ya Wazee Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo, Yasin Mohamed Gumsani amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumatatu Novemba 4, 2024 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Taarifa ya kifo chake imetolewa na mwenyekiti wa chama hicho, Othman Masoud Othman, imeeleza kuwa Gumsani...
  13. Cute Wife

    Pre GE2025 CCM Zanzibar washerekea Miaka 4 ya Rais Mwinyi na kuzindua kampeni ya Kijana na Kijani Pemba

    Wakuu, CCM Zanzibar jana Nov 2, 2024 walisherekea miaka 4 ya uongozi wa Rais Mwinyi pamoja na kuzindua kampeni ya Kijana na Kijani Pemba katika Uwanja wa Gombani, kampeni ambayo inalenga kuhamasisha vijana kupitia CCM kushiriki katika uchaguzi na nafasi mbalimbali za uongozi. Kampeni hii...
  14. Cute Wife

    Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT Wazalendo wakiachana na chama hicho

    Wakuu, Tunaendelea na maigizo tupo kwenye episode ya 2000. Hivi ACT bado wanatumia kadi hizi za makaratasi? ==== Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT wazalendo uwanja wa Gombani, Pemba
  15. Cute Wife

  16. Cute Wife

  17. Cute Wife

  18. Cute Wife

  19. Cute Wife

  20. Cute Wife

Back
Top Bottom