Habari wana JamiiForums...
Naomba maoni na ufafanuzi kwa wale wenye kufaham hili swala ada za shule. Namaanisha hivi mtoto anapokuwa shule mzazi analipa ada kwa awamu au installment sasa inapotokea mzazi amechelewa kulipa ada mara nyingi tunaona mtoto anarudishwa nyumban. Lakin kwa fikra zangu...
Habari wakuu!
Leo nimekaa nikakumbuka matukio kipindi nipo o level,jinsi nilivyoharibikiwa kwa kujiingiza kwenye makundi ya wahuni shulen na nilivyoweza kuCHANGE fasta nakufanya vizuri kwenye matokeo yangu ya 4m 4 necta
Kwanza ilianza nikiwa form 2 nikiwa shule ambayo ipo njee kidogo ya...
Akizungumza kwenye kongamano la kuenzi falsafa ya hayati Magufuli ya tanzania ya viwanda, ndugu Shibuda amesema siku moja alipata nafasi ya kumtembelea rais Magufuli ikulu.
Anasema siku hiyo Magufuli alimkaribisha ikulu na kumuuliza vipi watoto hawajambo? Akajibu hawajambo akamwambia nataka...
Habari wana jf.
Mimi ni mzazi na nategemea mwanangu kuhitimu daresay la 7 mwaka huu hivyo kujiunga na kidato cha kwanza mwakani mwaka 2023.
Ningependa kujua makadirio ya Ada katika shule hizi mbili za St. Mary's ile ya ULETE IRINGA na MARY GOLETH YA MOSHI
Ahsanteni
@bavicha_taifa wameongoza wananchi waliofika mahakamani kufuatilia kesi ya Mhe. Mbowe na wenzake kumchangia ada na vifaa vya shule mtoto Mariam Mohamed Ling'wenya, mtoto wa mshitakiwa Mohamed Ling'wenya. Aliyefika mahakamani kufuatilia kesi ya baba yake. Imechangwa sh. 545,000.
Kwenu makamanda watukuka mnaoyaweka matumaini yetu ya kesho bora kuendelea kuwa hai.
Kwa mara nyingine, pamoja na kutotegemea dodo kwenye mnazi, wale tutakaoweza tukutane mahakamani "Law School of Tanzania," kesho.
Ikumbukwe mheshimiwa Jaji Tiganga ikimpendeza, analo angalizo letu la wazi...
Sikuona sababu yoyote kumuachia malaika wa watu na vijana waende shule hadi kidato cha nne Bure.
Nchi yetu tangu uhuru tunaijenga. Wazee wetu walijenga nchi kwa nguvu nyingi wakiendelea kutangukia mbele ya haki. Sisi tusome Bure Bure bila hata senti kwa keki ipi tuliyohangaika nanyo...
Kwanza nishukuru Serikali kwa kuongeza mzunguko wa pesa mikoa mbalimbali kwa kuwakopesha wanafunzi pesa za chakula na malazi kwenye vyuo vilivyoko nchi nzima.
Pesa hizo wakizipata watazitumia huko wanakoenda kwa kulipia malazi, chakula nk hivyo kuongeza mzunguko wa pesa eneo husika kwa hela...
10 September 2021
Kigali, Rwanda
Tanzania imeshindwa kulipia ada ya dola za kimarekani US$ 1,000 zilizotakiwa kulipwa kabla ya kuruhusiwa kushiriki mashindano makubwa ya Afrika ya mchezo wa volleyball.
Pia nchi ya Tanzania ilishindwa kulipia US$ 50 kwa kila mtu aliyetarajiwa kuwepo ktk msafara...
Si mnajifanya mnafichaficha huku mkitumia muda mwingi Kuvihonga Vyombo vya Habari nchini viiseme vibaya Simba SC na nyie viwe vinawapamba tu?
Haya Waambieni sasa akina Bumbuli na Manara waje wawape Ufafanuzi na Ukweli uliopo juu ya hawa Wachezaji wenu Watatu niliowataja katika Headline yangu...
Ni haki kwa wamiliki wa shule kuwasimamisha masomo wanafunzi ambao hawajalipa ada kulingana na ratiba ya muhula (kabla mwaka haujaisha)?
Mfano:
Mtoto alitakiwa alipiwe 3,000,000 Tshs jumla kwa utaratibu huu: Muhula wa kwanza: 1,200,000, Muhula wa pili: 1,000,000 na Muhula wa tatu: 800,000...
Wanadamu wachokozi,
wazandiki na makuhani tena wanahiyana una kifua gani cha kuhoji unywaji wangu,kisa wewe hunywi.
Majukumu yangu yooote huyaoni bia mbili tatu kesi
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu, amepiga marufuku wakuu wa shule zote za serikali kutoza michango ya kujiunga na kidato cha tano zaidi ya Sh. 188,000.
Amesema mkuu yeyote wa shule atakayebainika kukiuka agizo hilo, hatua kali...
Mwanafunzi wa Kidato cha tatu katika shule ya Sekondari Ainamoi iliyoko Kaunti ya Kericho, Kenya anatafutwa na polisi kwa kumpigilia msurmali wa inchi nne Mkuu wake wa shule.
Mwanafunzi huyo alizuiwa kuingia darasani akitakiwa kwanza alipe ada aliyokuwa anadaiwa ambayo ni takribani Tsh...
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, David Silinde amesema serikali inatoa elimu bila ada sio elimu bure hivyo wazazi washiriki katika kutoa michango mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya shule.
Aidha Waziri wa Elimu, Joyce Ndalichako amesema waraka wa serikali namba 3 wa 2016 ulieleza...
Kuna barua imesambaa mitandaoni ikionyesha mkuu wa chuo cha sauti akishinikiza Wanaoshindwa kulipa ADA kupigwa penalty
Sio Jambo JEMA na la busara kulikalia kimya WAPO WATOTO WENYE shida je anachelewa kulipa ada UNAHISI hio penalty anapata wapi
Imenisikitisha Sana
Tunaomba wazirii HUSIKA...
Leo kutokana na hizi mvua pamoja na kuwahisha pesa kwenye akaunti nikaona nihamishe Tsh 80,000 kutoka Tigopesa kwenda akaunti yangu ya benki, Equity Bank. Mweeeeeee...! Nakuta ada ni Tsh 5,000 kwa hako ka muamala.
Hivi mbona ni kama hatuko serious na mapinduzi ya kiteknolojia? Moja kati ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.