Unapataje AFYA ya Akili, ili Hali unadaiwa namna hii?
Kanisani.
1. Unadaiwa Fungu la kumi
2. Ujenzi wa Kanisa.
3. Kumnunulia gari Mtumishi.
4. Ujenzi nyumba ya Pastor.
5. Mchango kwa wasiojiweza.
Serikalini.
1. TRA
2: TOZO.
3: Leseni ya biashara.
4: Bill ya MAJI
5: Bill ya umeme
6:Tozo ya...
Kawaida yetu watanzania ni fitina, chuki, husda na unafiki.
Leo najitia katika sifa hizo. Simba mmeonesha kitu ambacho Yanga tunapaswa pia kuiga. Najua Yanga wenzangu hili litawakera. Acha mi niseme. Sipendi kuwa mnafiki na kwenda kusemea chooni Mfalme ana masikio ya punda.
Yanga tunawekeza...
Muda ni mchache kwa wazazi kujiandaa na ada na mengineyo. Huwezi kulipoa ada kabla ya kujua fate ya mtoto. NACTEVET toeni matokeo ya mitihani maana vyuo vinafunguliwa tarehe 17/10/2022. Muda umeisha!
Wakuu naomba msaada kwa anayeifahamu shule nzuri ya secondary yenye ada nafuu kwa hapa DARESALAAM.
Mtoto ni wa kiume Mkinitajia na gharama zake ntashukuru zaidi.
Ahsante
Kwa jinsi ilivyo kwa sasa, huwenda nawakilisha wananchi wengi mamilioni kwa mamilioni wenye swali kama hili
Maisha yamekuwa ghali sana kushinda vipato vyetu,
Wengi wetu, vipato vyetu haviruhusu kucheza mbali na kula tuu, na hapo ni kwa kukatisha Milo, kama mtu kwa kipato hikihiki ambacho...
1. Harvard University (US)
Chuo Kikuu cha Harvard ni chuo kikuu cha utafiti cha Ivy League cha kibinafsi huko Cambridge, Massachusetts. kilianzishwa mwaka wa 1636 kama Chuo cha Harvard na kutajwa kwa mfadhili wake wa kwanza, kasisi wa Puritan John Harvard
2. Stanford University (US)
3...
Serikali haina budi kufanya lolote liwezekanalo kufanya Shule hizi za private zisipandishe ada kiholela. Zinaweza zikapunguziwa gharama za uendeshaji ili ziwe na nafuu kwa malipo huko serikali.
Baadhi ya Shule vikao vishaanza. Kuna ongezeko la ada la kutisha na wanajiamulia wenyewe kwa utetezi...
Habari za mchana wana JF,
Moja kwa moja. Ninavyojua tokea elimu ilivyoanza rasmi kutolewa hakuna ada yeyote inayolipwa mpaka mwanafunzi anafanya mtihani na kumaliza kila kitu bure kasoro kidato cha tano na cha sita sasa kilichofutwa leo ni kipi?
#UziTayari
Taarifa iliyotolewa na Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) imesema watahiniwa wa Darasa la 7, Kidato cha 4 na 6 kutoka shule za Serikali hawatolipa ada hizo kuanzia sasa.
Hata hivyo Baraza limesema ada hizo zitaendelea kulipwa na wanafunzi wa shule za binafsi.
Habari wana jamvi, ni Chuo gani hapa kwetu chenye unafuu wa Ada kwa level ya Masters, hasahasa Masters of Business Administration.
Na kwa wenye uzoefu kozi hii inaugumu wowote katika usomaji kama kwenye Degree ulisoma kozi ingime tofauti na hii.
Nawasilisha kwa mrejesho zaidi.
Kwema Wakuu!
Huwaga najiuliza ikiwa Ada ya kusomea Udaktari kwa mwaka ni zaidi ya Milioni Sita bila ya mkopo. Ukipewa Mkopo 100% yadaiwa Serikali itakulipia nusu yaani sio zaidi ya milioni tatu. Inamaana mwanafunzi atalipa sio pungufu ya Tsh. Milioni 3. Kwa miaka mifano hiyo ni zaidi ya Tsh...
Maisha ni safari ndefu, kuna milima na mabonde. Ndivyo unavyoweza kumwelezea Lightness Shirima, ambaye amepitia changamoto nyingi za maisha katika umri mdogo.
Katika kuhakikisha anatimiza ndoto zake za elimu, Lightness amekuwa akitafuta msaada wa hapa na pale ili kufikia malengo, licha ya...
Serikali imekuwa ikitangaza kila wakati kuwa shule za kata ni bure na hakuna malipo yoyote.
Hali ni tofauti kabisa
Mkoani Kilimanjaro kwani shule hizo zimekuwa zikilipisha wazazi hela ya ada kiasi cha shilingi elf 70 kwa kila mtoto, pamoja na mchango wa mahindi na maharage kila mwaka.
Baadhi...
Mzazi wa huyu dogo ndie mzazi mjanja kuliko wote. Hela anazoo za kutosha tu..
jumba zuri la ghorofa na magari kibao. Ila Watoto wake wanasoma kayumba kuanzia msingi mpaka A level. Na bado watoto wake wanapata A zotee hakuna kufeli.
Yaani ada sisimizi ila matokeo temboo
Mtoto ukimsimamia...
Mimi ni mwana-Simba na nilivutiwa sana kuona Simba ikizidi kusonga kidigitali ila hii digitali yao imelala nyuma kama kawaida yetu suala la ICT linakuwa tofauti na kulizika kabisa na mifumo yao.
Hii App ya Simba tulitarajia mengi mfano ukilinganisha na app za club nyingine app zao unaweza kuwa...
Wakuu
Serikali haijatatua tatizo!
Tatizo sio malipo ya Ada bali mhitimu atafanya nini Baada ya kumaliza elimu yake!
Je, anaweza KUTUMIA elimu yake kujiajiri!!?kufanya jambo jipya lenye soko nchini!!!?
Mhitimu huyu aliemaliza kidato cha nne au sita Anaweza kujiajiri na kukuza kipato chake KWA...
Bajeti yapendekeza Elimu ya kidato cha tano na sita kutolewa bure. Wanafunzi 90000 wa kidato cha tano na wanafunzi 50000 wa kidato cha sita. Ili kupunguza adha wanazokumbana nazo ada za watu hao imefutwa.
Hivyo elimu bila ada itakuwa kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha sita. Pia inaangaliwa...
Kwema Wakuu!
Serikali inapaswa iirejeshe Ada kwa wanafunzi wanaosoma shule, nchi yetu bado hatujafikia nyakati za kutoa vitu bure,
Shule ya Msingi ndio iwe Bure lakini sekondari, wanafunzi watoe pesa,
Isiwe pesa kubwa Sana, iwe Tsh 20,000/= Kwa familia yenye watoto watano ni 100,000/= Kwa...
Katika moja ya mambo ambayo huumiza kichwa ni mzazi kufanya maamuzi ya shule ipi binafsi apeleke mwanae kwa masomo ya O level na A level.
Tuweke taarifa au swali kuhusu ada na ubora wa shule na pia michango.
Naanza kuuliza shule ya Kaizirege, Cannosa na Marian Boys
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.