Tumeshuhudia timu kubwa barani Afrika kama Al ahly, Wydad AC nk. zikiwatoza faini wachezaji wake na wengine kunyimwa mishahara pindi wanapofanya vibaya hususan katika michezo ambayo ilikuwa ndani ya uwezo wao. Mfano baada ya CR Belouizdad kupoteza kwa mabao 4 - 0 dhidi ya Yanga, wachezaji wote...
Kumekuwa na wimbi kubwa sana la uanzishaji wa vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini jambo ambalo ni zuri sana.
Ila kutokana na jinsi vyombo hivi vingi vya habari haswa redio na TV zinavyofanya kazi zake nyingi hazina tija katika jamii.
Redio na TV nyingi zimekuwa ni wakala wa kuharibu jamii...
Naomba ufafanuzi hukumu huwa ni kunyongwa hadi kufa au kunyongwa tu. Je, mtu akihukumiwa kunyongwa kuna uwezekano wa kupona tofauti na aliyehukumiwa kunyongwa hadi kufa?
Na huzikwaje?
Najua humu ndani pia wapo makauzu waliovurugwa na wenye stress zao juu ya ugumu wa maisha hasa ukizingatia kama magari aina ya mashangingi, ma cruiser, na ma fortuna STN Yananunuliwa kila uchwao... ni wale ambao wanapopita karibu na taasisi za umma mida ya 18:00 jioni huwa hawana habari hata...
Hakuna Nchi ambayo hakuna wasaliti na Tunaishi nao na kila nchi ina namna ya kudeal nayo .
CDM mnapendekeza adhabu ? Maana nyie ndio watu ambao huwa hamfikirishi ubongo ni kulaumu tu
Kosa langu ilikuwa ni kupita dirishani kuingia bwenini kutoa jembe langu nililokuwa nimetunza chini ya kitanda changu
Adhabu niliyopewa nikiwa darasa ka saba na miaka 13
1. Kulima shamba la miti (kutifua) masaa 12.
2. Kuchapwa viboko 30
3. Kufukuzwa shule
MUNGU NI WETU SOTE
Haiwezekani timu ikawa na kila kitu lakini wachezaji wanacheza utadhani wamefungiwa matofali miguuni,
Timu ina miundombinu ya kisasa kabisa kama vile uwanja mzuri, Gym nk
Wachezaji wanalipwa mishahara na bonus kwa wakati,
Ikiwezekana wachezaji wapewe adhabu ya kulima matikiti ,viboko mujarabu...
Matendo Na. 4 ya 1998 7A : 19 ya 2007 131A.-
(1) Pale ambapo kosa la ubakaji limetendwa na mtu mmoja au zaidi katika kundi la watu, kila mtu katika kikundi ambaye anatenda au kuunga mkono kutenda kosa hilo ataadhibiwa kwa kosa la ubakaji wa genge.
(2) Kwa kuzingatia masharti ya kifungu kidogo...
Kiongozi wa Hizbullah Nasrallah:
Kusubiri wiki moja kwa Israeli shambulio la Iran ni sehemu ya adhabu
Israeli hana ubabe tena ni mwoga na hajui atafanya nini endapo US ataacha kumpa msaada
Kumekuwa na tabia ya kushabikia, kuona inastahili au kuchukulia jambo la kawaida tu kile kinachoitwa "kupakwa mafuta" kwa wanaume na wanaotembea na wake za watu wengine. Huu ni upuuzi mkubwa sana hasa kwa jamii inayojinasibu kwa sehemu kubwa kama ya kidini na inayopinga ushoga. Hata kama mtu...
Ujio wa kipa mpya kutoka Guinea, Moussa Camara 'Spider' umemfanya winga wa Simba, Willy Onana kung'oka Msimbazi baada ya taarifa kuvuja kuwa yeye ndiye anayempisha kipa huyo aliyetua kuziba nafasi ya Ayoub Lakred aliyeumia kambini Misri.
Taarifa ambazo Mwananchi tangu awali ilishazidokeza...
Taifa linahitaji vijana wasomi na wenye elimu na maarifa ya kutosha, sasa inakuaje tena kunakuwa na adhabu ya kuwafukuza shule vijana hawa ambao ndio taifa la kesho pale wanapokutwa na makosa ya utovu wa nidhamu wakiwa shule wakitafuta elimu ambayo ndio mkombozi wao wa baadae?
Unamfukuza shule...
Kuna maneno na minongong'ono mingi sana vijiweni, kufuatia adhabu inayodhaniwa kuwa ya uonevu iliyotolewa na spika kwa Mpina.
Wapo wanaodai spika ana unasaba ama "amewekwa sawa" na wafanyabiashara (mafisadi), lkn wapo wanaodai kuwa hii ni vita ya chini kwa chini kati ya ccm ya watoto wa mjini...
Siku zote huwa nawaonea huruma sana wafungwa wanaponyongwa ila kwa hili la mtoto albino aliyeuawa na kukatwa viungo huruma imenitoka. Mheshimiwa Rais wakithibitika mahakamani ukiletewa karatasi weka saini wanyongwe.
Kama sehemu tu ya huruma yangu naomba wasinyongwe kwa kamba. Kiti cha umeme...
Naomba majibu yenu ya haraka kwani kuna Mpuuzi Mmoja ( Demu wa Njje ) naona anataka kulazimisha nimwache mazima leo baada ya Kuniponza tena kwa Makusudi. Hata kama Wanaume tuna Mahawara zetu Nje ( Nje Cup ) ila kuna muda huwa tunapenda Kucheza pia Mechi zetu za Kawaida na Kimashindano na Heshima...
Ripoti mpya ya Shirika la Amnesty International imeonesha Uhai wa Watu 1,153 ulikatishwa mwaka 2023 kutokana na kuhukumiwa adhabu ya Kifo ikiwa ni ongezeko la Watu 270 (31%) kutoka Watu 883 waliouawa mwaka 2022
Kwa mujibu wa Ripoti, idadi hiyo ni kubwa zaidi kwa kipindi cha takriban miaka 8...
Rushwa kwa askari wa usalama barabarani ni tatizo kubwa ambalo linaweza kuwa na sababu mbalimbali, ikiwa ni pamoja na ukosefu wa uwazi na uhakika katika utekelezaji wa adhabu. Kuna mambo kadhaa yanayoweza kuchangia rushwa kwa askari wa usalama barabarani:
1. Adhabu Zisizoeleweka: Kama adhabu...
Utangulizi
Tanzania ni nchi iliyo barikiwa ecologia na bainuai nyingi ikiwemo ardhi yenye rutuba,Mito mkubwa kama Rufiji,Maziwa pekee ziwa Victoria ,mabonde misitu ya asili kama msitu wa asili wa Amani Tanga pamoja na bahari ya hindi na mengine mengi.Tunategemea mazingira yetu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.