Mahakama Nchini Qatar imebadili hukumu ya adhabu ya kifo kwa Maafisa 8 za wamani wa Jeshi la Maji la India ambao walikuwa Wafanyakazi wa Kampuni ya Al Dahra baada ya kukutwa na hatia ya kufanya ujasusi.
Wizara ya Mambo ya Nje ya India imesema adhabu imepunguzwa lakini haijfafanua imepunguzwa...
Nimepita pale mahakamani jana nikamuona yule mama Analia,nikauliza,"Huyu analia nini?". Najua jambo kama lile siyo ajabu, lakini bado nikauliza,"Huyu analia nini?" Nikaambiwa,unajua, hii ni mahakama na yule mama ukimuona analia, basi, labda itakuwa mtoto wake amehukumiwa kifungo.
Wakamwambia...
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeiondolea Yanga adhabu ya kufungiwa kusajili wachezaji baada ya kukamilisha malipo ya aliyekuwa mchezaji wake Gael Bigirimana.
Awali mchezaji huyo alifungua kesi FIFA dhidi ya klabu hiyo ya Ligi Kuu ya NBC kwa kushindwa kumlipa baada ya...
MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO MJINI ALAANI VIKALI UKATILI ULIOFANYWA DHIDI YA MAMA MJASILIAMALI.
Mhe. Abdulaziz M. Abood Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini mapema hii leo amefika wodini Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro alipolazwa Mama Bi Aziza Juma Mjasiliamali ndogondogo mara baada ya...
Sijui hii ilitokea wapi hasa.
Ila jamaa wanaongea Kisukuma. Hivyo huenda ni huko Usukumani.
Ni adhabu ya kipumbavu sana.
Kama shida ni uzinzi, walioshiriki ni wawili [kikawaida].
Sasa iweje adhabu apate mmoja tu?
Halafu huyo ‘mzinzi’ naye ni bwege tu.
Ni bora kufa unapigania heshima yako...
Wanabodi,
Salaam!
Leo nimeona clip moja ya mbunge kijana akitoa hoja bungeni Dodoma kuhusu umuhimu wa uwepo wa adhabu ya kunyongwa mpk kufa kwa watu watakaopatikana na hatia ya wizi.
Mchango wa Mbunge huyu siukatai wala kuukubali - nilichojiuliza kwa haraka ni iwapo miongoni mwetu watanzania...
Siku ya jana Azam imecheza dhidi ya Namungo, Fei alikuwemo kwenye kikosi.
Yanga dhidi ya Singida, Mudathir alikuwemo kwenye kikosi.
Mudathir na Fei walipewq adhabu ya kufungiwa mechi tatu baada ya tukio la wao kuchelewa kuingia uwanjani.
Adhabu ipo ?
Serikali ya Halmashauri ya Wilaya ya Momba imetoa onyo na tahadhari kwa Vijana ambao watashindwa kulima kilimo cha korosho na ufuta kwamba watakamatwa na Serikali za Vijiji vyao na watapewa adhabu ya kwenda kulima kwenye mashamba ya wenzao waliolima ufuta na korosho, bila kulipwa chochote...
Baba bora ni nani? Baba bora ni yule anae wapenda, watunza na kuwajali watoto wake.
Mume bora ni nani? Mume bora ni yule anae mpenda na kumjali mke wake na familia yake kwa ujumla.
Je dunia inampenda baba bora/mume bora?
The evidence says NO.
Experience inaonyesha kwamba mwanaume ukijaribu...
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Pindi Chana amesema Serikali inaendelea kufanyia kazi maoni ya baadhi ya Wadau kuhusu kuondoa adhabu ya kifo.
Akizungumza Oktoba 10, 2023 kwenye Kongamano la kujali adhabu ya kifo lililoandaliwa na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwa kushirikiana na wadau...
Wanabodi,
https://www.youtube.com/live/clOESBBmMmI?si=WZKqn4KF5vTxrtGR
Leo Tarehe 10 October ni Siku ya Kimataifa ya Kupinga Adhabu ya Kifo. Niko hapa jengo la Wakili House kuwaletea live mjadala kuipinga adhabu ya kifo nchini, ulioandaliwa na Chama cha Mawakili Tanganyika, TLS.
Kiukweli TLS...
Umewahi kuona muuaji ambaye polisi wanamlilia, wanahabari wanalia, watu wanakusanyika wakimuombea msamaha, na nchi nzima inalia, lakini pamoja na yote hayo hukumu ya kifo ikatekelezwa? Tukio hili la kusikitisha sana la mauaji ya kukatwa kichwa kwa upanga lililotekelezwa tarehe 20 Septemba mwaka...
(Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Brigedia Jenerali Nicodemus Mwangela Mapema akiwachapa viboko wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Oswe)
Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu imeiamuru Tanzania kuondoa adhabu ya viboko kwenye sheria zake ili ziendane na Mkataba ulioanzisha mahakama...
kuna kila dalili kwamba mikataba mingi mibovu huwa inaingiwa sio kwa bahati mbaya, bali kwa makusudi kabisa, ili akija Rais mwingine au wananchi wakapiga sana kelele, basi mkataba unavunjwa halafu tunapelekwa ICSID.
Kule sasa wanatumwa magoigoi au vibaraka kama akina mkono enzi zike, tunalimwa...
Inasemekana huko mitandaoni kuwa Serikali ya China imepitisha Sheria ya kupinga Mapenzi ya Jinsia Moja(ushoga), na Adhabu kali kwa yeyote atakaye jihusisha na na Mapenzi ya Jinsia Moja ndani ya nchi hiyo.
Kwa mara nyingine Tena, Mahakama ya Africa ya Haki za Binaadamu (African Union Court of Human and People's Rights) imetoa tamko juu ya adhabu ya kifo iliyopo kwenye sheria za makosa ya jinai ya Tanzania. Tamko hili limetolewa June 2023 wakati wakifanya mapitio ya kesi ya Bwana Thomas Mwingira...
Uhaini ni kosa la jinai analofanya mtu dhidi nchi yake na mtu anyefanya kosa hili anajulikana kama msaliti.Kwa mujibu wa sheria ya Tanzania, mtu akifanya yafuatayo huhesabiwa kama amefanya kosa la jinai la uhaini. kifungu 39 ( 1 ) cha kanuni za adhabu kinasema kuwa mtu yeyote ambaye yumo...
Kwa mujibu wa sheria ya Tanzania, mtu akifanya yafuatayo huhesabiwa kama amefanya kosa la jinai la uhaini hivyo huadhibiwa kulingana na ukubwa wa kosa hilo.
Kifungu cha 39 (1) cha kanuni za adhabu kinasema kuwa mtu yeyote ambaye yumo ndani ya Jamhuri ya Muungano au popote, kujaribu kumuua...
Kwa mujibu wa Kanuni za Kanisa la Waadventista Wasabato, yapo mambo 13 ambayo ikibainika bila shaka kuwa umeyafanya, adhabu yake ni KUFUTWA USHIRIKA au kupewa karipio ( inategemea na situation).
Kitendo cha KUVUNJA SABATO ni miongoni mwa mambo hayo. Kanisa la Waadventista Wasabato linaamini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.