adhabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BAKIIF Islamic

    Hili ndio ombi maalumu la Mussa kwa binadamu kuondolea adhabu ya moto wa Jahannam

    Naam, Siku moja Nabii Mussa (a.s) alimueleza MUNGU yakwamba; Ewe Mwenyezi MUNGU nina maombi nataka nikuombe. Mungu akamjibu, omba ombi lako lolote Mussa, mimi nitakujibu. Mussa akamueleza Mwenyezi Mungu Ewe mwenyezi Mungu, ninakuomba hizi habari za kuwachoma watu kwenye moto siku ya mwisho...
  2. Mtemi mpambalioto

    WAALIMU mliopitia JKT acheni kuwapigisha adhabu za kijeshi wanafunzi. ndio maana mnaua!

    Ukiangalia vifo vingi vya wanafunzi ambavyo vinasababishwa na waalimu vinatokana na kupewa adhabu au kipigo nje ya utaratibu wa kawaida wa fimbo. nawatahadharisha tu walimu kuwa maeneo yaha ambayo nayataja hapa ni hatari sana kupiga hasa kwa watoto wadogo 1. kupiga NGWALA, hii inapelekea mtoto...
  3. Eli Cohen

    Adhabu ya Lingchi, kutoa kiungo kimoja kimoja hadi kifo

    Lingchi (凌遲), ilikuwa mfumo wa mateso na adhabu ya kifo iliokuwa ikitekelezwa huko China kutokea miaka ya ya 900 hadi kupigwa marufuku 1905. Katika adhabu hii kisu kilitumika kuchumoa kiungo kimoja kimoja hadi pale mtu atapokuwa amekufa ndio hatua inakuwa imeisha. Na hawa watekelezaji wa...
  4. BARD AI

    Tume ya Haki Jinai: Rais asipoidhinisha Adhabu ya Kifo baada ya Miaka 3, Mfungwa apewe Kifungo cha Maisha

    Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Mstaafu Othman Chande amependekeza kuwa endapo itapita miaka 3 bila Rais kutoa Idhini katika Adhabu ya Kifo, Wafungwa wenye Hukumu hiyo waweze kubadilishiwa adhabu kuwa Kifungo cha Maisha. Hata hivyo, Tume imesema kuna malalamiko kuhusu Adhabu ya Kifungo cha Maisha...
  5. BARD AI

    Mbeya: Mwalimu wa Shule ya Loleza Girls afunga Bweni na kuwalaza Darasani Wanafunzi

    Katika hali isiyo ya kawaida wanafunzi wa Kidato cha sita katika Shule ya Sekondari ya wasichana Loleza (Kombi ya HGL) usiku wa kuamkia Julai 11, 2023 walilazimika kulala darasani ikidaiwa kuwa ni baada ya mwalimu wa bwenini kuondoka na funguo za bwenini kwao. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera...
  6. M

    Adhabu aliyopewa Kocha wa Makipa wa Mashujaa ni utani mkubwa sana

    Nimeona taarifa ya TFF kuwa Kocha wa Makipa wa Timu ya Mashujaa aliyempiga ngumi ya usoni Kocha wa Mbeya City kuwa amefungiwa mwaka Mmoja na Faini ya Milioni 2. Niseme tu kuwa, natamani siku karia au kiongozi yeyote wa TFF apigwe ngumi ya pua na mchezaji au kiongozi wa timu. Kama tu Haji...
  7. benzemah

    Kukopesha bila kuwa na leseni adhabu faini milioni 20, jela miaka miwili

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imepiga marufuku kwa taasisi, kampuni na watu binafsi kufanya biashara ya kukopesha fedha bila kuwa na leseni ya BoT au taasisi zilizokasimishwa majukumu hayo. Wasiotii sheria inayowataka kuwa na leseni watakabiliwa na kifungo jela kisichozidi miaka miwili au kulipa...
  8. Chachu Ombara

    Adhabu kali ziwekwe kwa wanaotapisha vyoo kipindi cha mvua

    Kumekuwa na tabia ya wananchi wasiostaarabika kufungulia chemba za vyoo(Kutapisha Vyoo) kipindi cha mvua zinaponyesha. Hii tabia ya kishenzi ipo hasa Dar es Salaam mitaa ambayo miundombinu ya gari la kunyonya majitaka ni mibovu kiasi kwamba hapafikiki kwa urahisi. Pia wengine wenye tabia hiyo...
  9. The Sheriff

    Adhabu ya kifo ni adhabu ya kikatili inayokiuka Haki ya Mtu ya kuishi

    Tanzania imekuwa na sheria za adhabu, katika Tanzania Bara na Zanzibar, ambazo zinajumuisha hukumu ya kifo kama moja ya adhabu kwa uhalifu, ikiwa ni pamoja na mauaji. Hata hivyo, Tanzania bado ni moja ya nchi ambazo zimefuta adhabu ya kifo katika vitendo, kwani utekelezaji wa mwisho uliorekodiwa...
  10. GENTAMYCINE

    Kuna Vibaka nawaona kabisa wanakula Rada Dirisha la Gheto langu, tafadhalini nichagulieni Adhabu ya kuwapa ambayo hawatoisahau Milele

    Je, 1. Wakija Kuniibia nimsaidie Kazi Israeli ili wakayaanze Maisha yao mapya Kinondoni au Kisutu? 2. Wakija Kuniibia niwe tu Mpole wachukue watakacho 3. Wakija Kuniibia nivizie wa Kwanza kuingiza / kupenyeza Kichwa chake Dirishani Kwangu na nikitenganishe Kichwa chake na Kiwiliwili? 4...
  11. IamBrianLeeSnr

    Nipo huru sasa, nimeachiliwa na kurudi uraiani tena, nimemaliza adhabu niliyopewa na Mods (ban)

    Habari wanajamii.... Natumai wote ni buheri wa afya njema sana... Nielekee kwenye hoja halisi moja kwa moja...Leo nimefunguliwa kutokana na adhabu niliyopewa hapo majuzijuzi na mods baada ya kupigwa ban shauri ya uchokozi nilioufanya baada ya kumfungulia uzi kijana alikua anasababisha taharuki...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    Mpokea Rushwa ndiye anatakiwa kupewa adhabu. Hiyo ndio namna Bora ya kupambana na Rushwa

    Habari zenu Wakuu, Nafikiri tuwe Serious kidogo kama tumedhamiria kupambana na Rushwa. Ili Rushwa iondoke lazima mmoja kati ya Mla Rushwa na Mtoa Rushwa mmoja wapo ndiye apewe adhabu huku mwingine akiachwa salama. Hii itasaidia Kwa kiwango kikubwa kukabiliana na tatizo la Rushwa. Huwezi...
  13. BARD AI

    Nchi za Afrika zilizofuta Adhabu ya Kifo kwa Makosa yote

    1981 - Cape Verde 1990 - Msumbiji, Namibia, Sao Tome 1992 - Angola 1993 - Guinea-Bissau, Seychelles 1995 - Djibouti, Mauritius 1997 - Afrika Kusini 2000 - Ivory Coast 2004 - Senegal 2007 - Rwanda 2009 - Burundi, Togo 2010 - Gabon 2015 - Congo-Brazzaville, Madagascar 2016 - Benin 2017 - Guinea...
  14. S

    BoT, toeni matangazo kabla ya taarifa ya habari kuhusu adhabu za kukiuka Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha na kanuni zake ya mwaka 2018

    Muda mfupi uliopita kupitia kipindi cha "Ijue BOT" kinachorushwa na Azam tv, nimemsikia Afisa Mwandamizi wa BOT, Bwana Deogratias Mnyamani akitoa maelezo kuhusu Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha ya mwaka 2018 na kanuni zake ya mwaka 2019. Katika maelezo yake akihojwa na Mtangazi wa kipindi hicho...
  15. L

    Nafikiria adhabu za jela miaka 30 zipunguwe muda wake

    Mtu anafungwa jela miaka 30, sisi tunakatwa Kodi zetu kulisha watu wa namna hii Kwa muda wa miaka 30? Sitetei uhalifu ila inabidi tutafute namna nyingine, wastani wa mtu anayefungwa hiyo miaka 30 wa kuishi ni miaka walau 55 na anaelekea huko akiwa na miaka 25 Sasa hii Ina maana Gani? Ni lini...
  16. Pang Fung Mi

    Uislamu na Adhabu ya kifo ni ubatili wa Imani ya haki

    Hello JF, Hivi asili ya watu wanaomriwa kuuwa au kunyongwa baada ya kukutwa na makosa ya yanauoadhibiwa na nguzo za kidini je, wapo wa Royal family au ndio wale makabwela wale wenye African origin? Mwenye history ya hukumu hizo aweke bayana kama hizo Adhabu hazikuwa kwa wenye asili ya Africa...
  17. M

    Nasubiria kusikia Adhabu Kali kutoka TFF kwa Mshambuliaji Mayele na Kocha Nabi

    Mayele alidhamiria kwenda Kumpiga Mchezaji Muzamir Yasini kabla hajazuiliwa na Mchezaji wa Simba SC Saido Ntibanzonkiza jambo ambalo Kikanuni ni Kosa Kubwa. Najua kuna Mazuzu ( Majuha ) watamtetea kuwa hakufanya hilo Tukio ila Kisheria siyo lazime mpaka awe ametenda hicho Kitendo ila...
  18. Poppy Hatonn

    Ulawiti adhabu yake ni miaka 30 jela bado Spika anasema anataka hiyo irekebishwe

    Eti irekebishwe iwe kali zaidi. Hayo sasa ni masihara. Ile sheria ni kali sana kwa vitendo vya ulawiti. Ile sheria inapinga hata mwanamke kulawitiwa. That is how mean that law is. Sasa unataka kuifanyia marekebisho gani? Kwa sababu ukianza kusema unataka sheria iwe taiti zaidi ndio utawaibua...
  19. BigTall

    Je, Wajua kumiliki laini ya simu zaidi ya moja ni kosa na adhabu ni kifungo zaidi ya mwaka mmoja jela?

    Huwa nawaambia kila siku kuwa jambo mpaka likukute ndo utajua kuwa lipo. Na nyote si mnajua kuwa kutokujua sheria sio kinga/hoja/udhuru. Hautafikishwa Mahakamani ukasema nilikuwa sijui, halipo hilo. Kanuni ya 37 ya GN. No.60/2023 Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta Kuhusu Usajili wa...
  20. Zacht

    Je, ni kweli muislamu akibadilisha dini adhabu yake ni kifo?

    Wakuu Sallam Siku chache zilizo pita Kuna mdau iliweka thread humu JF aliuliza kumbe ukitoka kwenye uislamu unahukumiwa kifo,mada ambayo imezua mjadala mkubwa sana wachangiaji wengi wameonekana wakitoa maoni hasi juu ya uislamu kupita mada hio, wengi wanaizungumzia vibaya uislamu kuwa dini ya...
Back
Top Bottom