adhabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Intelligent businessman

    Zifahamu adhabu za kikatili zilizotolewa na wafalme wa zamani

    Salaam wakuu, Leo katika historia nimeamua niwafahamishe baadhi ya adhabu za kikatili zilizotolewa na wafalme wa enzi hizo. Brazen bull; hii ni adhabu ambayo ilivumbuliwa na bwana mmoja aliyeitwa perilaus kutoka katika nchi ya wagirikiadhabu hii ilihusisha kifaa kilichokuwa kimetengenezwa...
  2. sammosses

    Ukosoaji kwa serikali na majibu ya adhabu ya wakosoaji una tija katika misingi ya utawala bora!

    Tanzania inapitia kipindi kigumu cha mpito katika dhana ya uwajibikaji unao chagizwa na ukosoaji wa serikali na malipo ya wakosoaji toka serikalini. Ibara ya 8 ya katiba ya JMT kwa ujumla wake imetoa uhalali wa madraka ya serikali yatatokana na mamlaka ya wananchi na serikali msingi wake mkuu...
  3. Balqior

    Adhabu ya kuchomeka milele kwenye ziwa la moto, mbona naona ni kubwa sana kuliko? Majini mliopo humu mnaionaje?

    Najiuliza sana hili fundisho lililopo Kwenye uislamu na ukristo la wenye dhambi kuchomwa milele kwenye moto wa jehanum, logically haliingii akilini. Kwasababu 1)Mungu anajua kila kitu, kama kabla ya kutuumba alijua kuwa baadhi ya binadamu na viumbe ntakaoumba wataniasi na ntawapeleka kwenye...
  4. BARD AI

    Ripoti: Hali ya Utekelezaji wa Adhabu ya Kifo Barani Afrika

    Nchi 13 za Afrika (24%) Bado zinatekeleza Hukumu ya Kifo katika Sheria zake na Utendaji wake wakati Nchi 25 sawa na (46%) zimemeifuta kabisa. Nchi 15 za Afrika (28%) ikiwemo Tanzania zinaruhusu Adhabu ya Kifo kwa uhalifu wa kawaida, lakini hazijaitumia kwa zaidi ya miaka 10 na baadhi zimeanza...
  5. BARD AI

    Rais Hakainde Hichilema afuta rasmi Adhabu ya Kifo Zambia

    #JFDATA: Kati ya mwaka 2015 hadi Desemba 2021, Watu 28,670 Walihukumiwa Kifo duniani kote kwa njia ya Kunyongwa, Kupigwa Risasi, Kukatwa Kichwa na Kuchomwa Sindano ya Sumu. Mwaka 2021 pekee Watu 2052 Walipewa Adhabu ya Kifo kwenye Nchi 56 ikiwa ni Ongezeko la 39% na 579 kati yao Wameshauawa...
  6. OKW BOBAN SUNZU

    Kuwa na uwezo kutoka koo masikini ni adhabu

    Mwanzoni mwa 2019 niliuguliwa sana mdogo wangu. Nililazimika kufa naye kwa sababu nilianza kuishi naye akiwa form 1 wakati mimi nimeanza maisha. Aliumwa takribani mwaka mzima,gharama za matibabu zilikuwa kubwa sana lakini nikakomaa mpaka akapata afadhali kubwa. Kabla ya hapo nilikuwa mstari wa...
  7. BARD AI

    FIFA yaiondoa rasmi Kenya kifungoni

    Kwa mujibu wa barua ya Katibu Mkuu wa FIFA, Fatma Samoura, Shirikisho la Soka Duniani limeondoa pia adhabu ya kifungo kwa Shirikisho la Soka nchini humo (FKF). Baada ya hatua hiyo, wawakilishi kutoka FIFA na Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) watatumwa nchini Kenya kwa ajili ya mazungumzo na...
  8. NetMaster

    Tunaisubiri kamati ya masaa 72 kutoa adhabu kali kwa mtindo waliotumia wachezaji wa Mbeya City kushangilia

    Tadadhalini kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi katika kikao chenu mnapopitia taarifa mbalimbali za mechi za Ligi Kuu tunaombeni mliwekee uzito hili jambo la mtindo wa ovyo waliyotumia Mbeya city kushangilia bao la kusawazisha. Ni mtindo ambao ipo kinyume na maadili wazi wazi, hapo...
  9. BARD AI

    Zimbabwe: Serikali yapitisha sheria ya kuwaadhibu 'wasio wazalendo' kwa nchi

    Serikali ya Rais Emmerson Mnangagwa imeidhinisha sheria iliyolalamikiwa kuwa inalenga kuwanyamazisha wakosoaji wake na kuwabana wanaoshawishi mataifa ya nje kuiwekea vikwazo Serikali yake. Pia, Sheria hiyo iliyopewa jina la Sheria ya Uzalendo, imeharamisha raia wasioidhinishwa kufanya...
  10. R

    Adhabu ya kunyongwa hadi kufa ina maana gani?

    Hii adhabu tunayoisikia kila uchwao ya kunyongwa hadi kufa ina maana ya kumtundika mtuhumiwa kwenye kamba au hutekelezwa pia kwa njia zingine kama kiti cha umeme au sindando ya sumu hapa kwetu?
  11. GENTAMYCINE

    Naombeni aina ya adhabu kali za kumpa Mtoto Mtukutu baada ya viboko kumfanya awe sugu kabisa

    Nazisubiri kutoka Kwenu Usiku huu ili ikiwezekana kwa Hasira za Liverpool FC yangu kutopata Matokeo kwa Westham United hadi sasa niamke nazo na nimnyooshe vizuri ili akae sawa.
  12. Notorious thug

    Rais Samia Hassan Suluhu wapunguzie adhabu Wafugwa hawa

    Poleni na majukumu ya kila siku wana jukwaa. Wiki mbili zilizopita nilikua Kanda ya Kaskazini mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Tanga nilipata bahati ya kutembelea Magereza ya Karanga(Kilimanjaro-Moshi) Kisongo(Arusha) na Maweni(Tanga) niliona vijana wadogo umri miaka 19-23 wakiwa gereza...
  13. D

    Anaelawiti watoto adhabu iwe kuhasiwa, viboko 180 na abandikwe mhuri wa moto kwenye paji la uso

    Adhabu ni kuchagua! Tunajaza wafungwa wa bure magerezani! Nashauri adhabu kwa yeyote anaelawiti watoto wadogo! Awe mwalimu, shekhe, mchungaji, padri,dereva, mjomba, kaka, baba, bodaboda au jirani. IKITHIBITIKA Kalawiti au kubaka ADHABU IWE NI KUHASIWA, na viboko 6 kila siku mfululizo ndani ya...
  14. NetMaster

    Mwanaume unapotoa pesa za maelezi hakikisha watoto wanajua lasivyo hawataona umuhimu wako na kudhani mama yao ndie anaekamilisha kila kitu

    Walengwa: 1. baba alietengana na mzazi mwenzake ila anaendelea kutuma pesa ya matumizi ya mtoto 2. Baba ambae anaishi nyumba moja na familia yake lakini anampa mke wake pesa ya chakula cha familia , mavazi, elimu, n.k bila watoto kujua. aliotengana na ambao wanakuwa nje ya nyumba kikazi kwa...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    Je, ni adhabu gani uliyoifanya shuleni ambayo hutoisahau?

    Kwema Wakuu! Nimesoma Uzi wa member mmoja humu kuhusu adhabu za matofali wapewazo wanafunzi nikakumbuka miaka nikiwa nasoma. Shule bila adhabu inakuwa ya kiduwanzi kichizi. Yaani inakuwa ya kimama. Raha ya shule iwe na hekaheka bhana! Yaani shule Kama ipo na Kuku WA broiler. Shule gani haina...
  16. Roving Journalist

    Bunge lapitisha adhabu ya kifungo cha maisha kwa kosa la usafirishaji haramu wa binadamu

    Wabunge wamebariki watuhumiwa watakaokamatwa na kutiwa hatiani kwa kosa la usafirishaji wa binadamu, kufungwa jela maisha ili kuimarisha jitihada za serikali za kupambana na ongezeko la uhalifu wa usafirishaji wa binadamu. Aidha, watakaotiwa hatiani watakabiliwa na adhabu ya kulipa faini ya Sh...
  17. Lupweko

    Je, ni sahihi adhabu za faini kwa kila kosa kutoka katika makosa mawili kwenda sambamba?

    Mwenyekiti wa Kamati ya Rufaa ya Maadili ya TFF, Richard Mbaruku akisoma uamuzi wa Kamati yake katika Rufaa aliyokata aliyekuwa msemaji wa Yanga, Haji Manara, amesema mtuhumiwa alikuwa na makosa mawili na uamuzi wa rufaa kwa kila kosa umebaki hivyo hivyo kama ifuatavyo: 1) Offensive behavior -...
  18. Chachasteven

    Haji Manara amepunguziwa adhabu ya Faini kutoka milioni 20 hadi milioni 10

    Kamati imetangaza mapema leo kwamba Haji Manara atapunguziwa adhabu yake aliyopewa awali. Kwenye suala la hela imeshuka kutoka ilipokuwa awali milioni 20 hadi milioni 10 na azilipe ndani ya siku 30, ila miaka miwili ipo palepale. Full story: --- Picha: Haji Sunday Ramadhan Manara Msemaji wa...
  19. tax_expert

    Je, unataka kuepuka faini na adhabu zinazohusiana kodi?

    Je una changamoto ya kuandaa mahesabu? Je unapata shida ya kuwasilisha kodi kwa wakati? Fatilia huu Mkasa John alikua mfanyabiashara maeneo ya kariakoo alikua na tatizo la jinsi ya kuandaa mahesabu na kuwasilisha kodi kwawakati. Alitafuta msaada bila mafanikio. Hilo tatizo lilipelekea...
  20. M

    SoC02 Dhana ya adhabu kwenye mfumo wetu wa elimu

    Ndugu wasomaji, salaamu. Elimu ni zana muhimu sana katika kupigana na adui ujinga. Elimu inatupatia maarifa ambayo hasa ndicho kila mtu hukitafuta. Elimu inapatikana katika mifumo rasmi na ile isiyo rasmi. Mifumo rasmi ni kwa maana ya shule ambako kunakuwa na mihutasari na miongozo mbalimbali...
Back
Top Bottom