adhabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Expensive life

    Tariq Kipemba amewakosea nini wanadamu mpaka wameamua kumpa adhabu kali namna hii?

    Nimeiona hii habari kupitia Millard ayo nikaona ni vyema niilete humu jamvini huenda akapata chochote. Kijana Tariq Kipemba amemwagiwa kitu kinachohisika kuwa ni tindikali huko mkoani Kilimanjaro wakati akiwa katika matembezi ya kawaida. Tukio hili limempa majeraha makali mwilini mwake na...
  2. B

    Faini, Polisi au adhabu kali barabarani hazipunguzi ajali

    Kuna hali ngumu ya maisha itokanayo na mfumuko mkubwa wa bei ambao serikali imechagua kujiweka pembeni kiaina: Kama vile haitoshi kuna usumbufu mkubwa barabarani. Zinatakiwa pesa, mengine kama kawaida yetu ni usumbufu tu. Bahati mbaya ni kuwa ajali zinazotokea wala hazisababishwi na...
  3. sky soldier

    Uke wenza: Ni adhabu ipi inamstahili mwanamke anayechukia ama kujaribu kukwamisha mpango wa mume wake kuongeza mke mwengine?

    Imeshaandikwa katika vitabu vitakatifu mwanaume anaweza kuwa mpaka na wake wanne kwa mpigo, maana kwa jinsi mwanaume alivyoumbwa kaumbwa kuweza hili. (hata kwenye Biblia kuna manabii wengi sana walikuwa na wake wengi) Sababu za kuomgeza mke inaweza kuwa mke wako ni tasa na mmejaribu sana ila...
  4. Kindeena

    Kariakoo, Dar: Wafanyabiashara wadogo wanatozwa kati ya elfu 50 hadi laki 3 kama adhabu

    Baadhi ya viongozi wa Wafanyabiashara wadogo katika Soko la Kariakoo, Dar es Salaam, kwa kushirikiana na askari wa Jiji wanadaiwa kuwatesa na kuwanyanyasa Wafanyabiashara wadogo, na kuwatoza Wafanyabiashara hao faini kubwa kati ya Tshs 50,000/= hadi 300,000/= kama adhabu ya "makosa" mbalimbali...
  5. M

    Hivi hawa wanawake wanaowasingizia kesi za ubakaji waume zao wanapata adhabu gani?

    Habarini, mifano ni mingi tu. Ni vizuri na ni jambo la kheri kumuwezesha mwanamke, yaani kumpa nguvu dhidi ya uonevu wa wanaume. Si malengo ya mtoaji nguvu kwa wao kuzitumia kuumiza na kutesa wasio na hatia. Hivi je, ikigundulika mume aliyefanyiwa vigisu za ubakaji na mkewe na akafungwa...
  6. John Haramba

    Ukitumia ugonjwa kuombaomba fedha mtaani, adhabu ni jela miaka 3 au faini Milioni 5

    Machi 7, 2022 niliweka uzi hapa kuhusu watoto kuhusika katika biashara ya kuombaomba mitaani hasa kwenye miji mikubwa. Justine Kaleb ambaye ni Wakili wa Kujitegemea na Mwandishi wa Vitabu vya Sheria, kutoka Kampuni ya Mawakili ya Moriah Law Chambers alifafanua kwa undani kuhusu hatua...
  7. John Haramba

    Wanafunzi wachoma moto pikipiki ya mwalimu, wafyeka shamba kisa adhabu ya kukutwa na simu shuleni

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linawashikilia wanafunzi sita wa Shule ya Sekondari Mwenge iliyopo Kata ya Majengo Wilaya ya Singida kwa tuhuma za kuchoma moto pikipiki ya mwalimu yenye namba za usajili MC 653 BFS pamoja na kufyeka mahindi yaliyooteshwa katika shamba la mwalimu huyo lenye...
  8. Dr Restart

    Swali: Kama Mbowe na wenzake wamekutwa na kesi ya kujibu, nafasi ya kujitetea ni kuomba adhabu ipunguzwe?

    Hili ni swali ambalo bila shaka sisi tusio na uelewa wa sheria kwa mapana yake tunajiuliza. Katika hukumu iliyosomwa na Jaji Tiganga, mahakama imewakuta na kesi ya kujibu watuhumiwa wanne. Maana yake ni kuwa hatia imeonekana. Je, wanapaswa kujitetea adhabu ipunguzwe ama wafutiwe makosa? Je...
  9. N

    Massau Bwire anasubiri adhabu ya TFF kwa waropokaji wa utopolo sc

    Kazi kwenu Tff piga faini malopolopo hayo ya utopwinyo
  10. kipara kipya

    Waziri wa Elimu, kuna shule zinawachapa viboko wanafunzi kwa kukosa mahitaji ya shule, watoto wanahusikaje?

    Waziri wa elimu hebu litupie macho hili la walimu kuwaadhibu wanafunzi kukosa michango na mahitaji ya shule,kama hao watoto ndio watafutaji wa hayo mahitaji. Kwanini usimuite mzazi ukamuadhibu kwa hilo kosa la kutomtimizia mtoto wake mahitaji, unamchapa viboko mtoto ana kosa gani? Pili hiyo...
  11. Notorious thug

    Kuna haja ya kuwepo kwa adhabu ya kifo

    Kumekua na matukio mengi sana kwa watu kuuliwa maeneo mbali mbali nchini kuanzia mwishoni mwa mwaka 2021 hadi leo hii kila siku yanaibuka mauaji sababu zikiwa wivu wa mapenzi,dhuluma,tamaa ya mali na hasira. Binafsi naona kwa hali ilivyo sasa uhai wa binadamu umekua kitu cha kuchezea kama...
  12. lwambof07

    Ni upi umri sahihi wa kuacha kumuadhibu mtoto?

    Hello hello, Kulea ni jambo zito sana sio jepesi hata kidogo, katika kulea wazazi hukutana na changamoto nyingi sana ambapo kuna wakat hadi wanajiuliza kwa nini nilimzaa huyu mtoto hasa pale mtoto anapokuwa haambiliki hasikii, hapo kiboko hutumika sana kujaribu kumuweka sawa. Hivi ni wakati...
  13. kavulata

    Adhabu ya kunyongwa hadi kufa ndio Siri ya uchumi mkubwa duniani

    Mataifa ambayo uchumi wao uko juu sana duniani wana adhabu katili sana kwa watu wao wanaobainika kuhujumu uchumi kunakosababisha mtu afikirie mara mbili kabla ya kuiba mali ya umma. Hapa kwetu adhabu ya kumtia mimba mtoto wa shule ni kubwa kuliko aliyeiba hela za umma kwa mabilioni. Nani...
  14. Chizi Maarifa

    Sasa uhakika simba anapigwa leo hawezi kukwepa

    Tulikuwa Zanzibar na tumekuja na Mtaalamu mwingine na kukutana Katikati ya Jiji. Hii matches uhakika wa kushinda ni Asilimi 101. Wanayanga ondoeni shaka. Ushirikiano na Viongozi ulikuwa mzuri na hawa wenzetu wanajidai wao wanajiamini na team yao. Watapatwa na kitu Kibaya sana siku ya Leo...
  15. BabaMorgan

    Nini hukumu ya mtu anayeshindwa kurudi kwao kushiriki katika shughuli za kifamilia kama sherehe au misiba?

    Katika hali ya utafutaji imesababisha watu kutoka katika mikoa yao ya asili na kwenda mikoa ya mbali au hata nchi tofauti na walikozaliwa na kama ilivyo kwenye kutafuta wapo waliofanikisha kupata huku wengine wakiwa bado wanatafuta. Kwa mtu ambaye yupo mbali na kwao panapotokea msiba au sherehe...
  16. MsemajiUkweli

    Wananchi wawashambulia wabunge kufuatia adhabu kwa Askofu Gwajima na Silaa

    Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa wananchi wengi hawakubaliani na serikali kwenye suala la chanjo za korona. Huhitaji kufanya utafiti wa kina kujua ukweli wake kwa sababu utapata maoni ya wananchi kwenye video za YouTube katika channel kama Millard Ayo ambazo hazifungamani kisiasa katika...
  17. tpaul

    Uchambuzi: Adhabu kwa wabunge Silaa na Gwajima ni funzo kubwa kwa watanzania

    Kwema wakuu? Naingia kwenye hoja moja kwa moja bila kupindisha maneno. Leo tarehe 31/08/2021 bunge la JMT limetoa adhabu ndogo kwa wabunge wawili wa CCM – ndugu Jerry Silaa wa Ukonga na ndugu Josephat Gwajima wa Kawe. Bunge limetoa azimio la kuwasimamisha mikutano miwili ya Bunge. Wengi...
  18. Analogia Malenga

    Spika Ndugai: Gwajima akirudia tutamuita Waziri wa Mambo ya Ndani na kumhoji

    Spika Job Ndugai amesema vyombo vingine vya serikali na chama vinapaswa kumuwajibisha Josephat Gwajima kutokana na kauli zake Amesema kama hatowajibiswa na akarudia makosa aliyokutwa nayo kwenye Kamati ya Maadili ya Bunge watalazimika kuitwa wao Amesema Waziri wa Mambo ya Ndani atapaswa...
  19. Chendembe

    Bodaboda: Furaha za punguzo la adhabu ya makosa ya barabara imepotea?

    Tulishuhudia na kusikia shangwe za wabunge, Bodaboda na wamiliki wa pikipiki wakati bajeti inasomwa na mheshmiwa Wazili Mche. Naomba kufahamu, hali ya sasa katika Hilo nchini kwakuwa, nimeona idadai ya pikipiki inaongezeka katika vituo vya polisi. Mbaya zaidi, nimeona askali wetu wakizisaka...
  20. Pdidy

    Vyama viwe na msemaji mmoja tu kwa ajili ya kukanya ama kutangaza adhabu

    Hivi karibuni kumezuka mjadala mzito vyamani pale anapokosea mheshimiwa yoyote Tumeona timu ya G19 ilioyoshambuliwa na kila kiongozi wa chady kwa kuingia mjengoni.. Sasa imekuwa taharuki akisimama mbunge kusema kitu. Unasikia, amemwonya, Ghafla Ameonya Unawaza ni vyama vuwili tofauti ama Lah...
Back
Top Bottom