adhabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jerlamarel

    Usidhani hii ni "Nasty Paiting", huyu mzee alipewa adhabu ya "Kifo kwa Nja"

    "Upendo wa Kirumi" ni kisa cha kielelezo cha mwanamke, Pero, ambaye alimnyonyesha baba yake, Cimon, kwa siri baada ya kufungwa na kuhukumiwa kifo kwa njaa. Picha hii ya mwanamke akimnyonyesha mzee ndani ya Selo aliyokuwa amefungwa iliuzwa kwa Euro 30 Milioni sawa na Bilioni 69.5 Fedha ya TZ...
  2. kavulata

    Kodi nyingi na tozo nyingi kwa wananchi bila adhabu kubwa kwa viongozi wala kodi na tozo ni bure kabisa

    Wenzetu wanatoza kodi na tozo kwenye kila kitu, lakini wanamnyonga kila mla kodi na tozo hizo za wananchi. Lakini hapa kwetu sio hivyo, wala rushwa, kodi na tozo wanafahamika lakini hakuna lolote.
  3. F

    SoC02 Wanafunzi wa kike wa miaka (15-18)wanaopata ujauzito kutoka kwa wanafunzi wenzao wa kiume wenye miaka inayoendana wapewe adhabu pia

    Wanafunzi wa kike au mabinti wenye umri kati ya miaka kumi na tano mpaka miaka kumi na nane wanaopewa ujauzito au kufanya ngono na wanafunzi wenzao au vijana wenye umri unaoendana na wao wapewe adhabu ya muda mfupi kisha warudishwe masomoni chini ya uangalizi wa wazazi. Imezoeleka kwamba watoto...
  4. JanguKamaJangu

    Bodi ya Ligi yatoa adhabu kwa Yanga, Polisi Tanzania, imani za kishirikina zatawala

  5. Raphael Thedomiri

    Adhabu mbadala wa viboko kwa watoto na wanafunzi wetu

    Hoja ya kutowacharaza watoto na hata wanafunzi mashuleni sio mpya, lakini je ni upi unaweza kuwa mbadala?! Nimejaribu kuwashirikisha njia mbadala niliyojifunza mahali fulani. Adhabu ya viboko ni ya muda mrefu sana duniani, ni ya karne na karne. Ikikita mizizi zaidi katika bara letu la Afrika...
  6. JanguKamaJangu

    Kupiga picha miili ya Watu waliokufa ni kosa, adhabu yake ni kifungo mwaka

    Kwa mujibu wa kifungu namba 162 cha Sheria ya Kanuni za Adhabu kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2019 ni kosa kisheria kwa mtu yeyote kupiga picha maiti, watu waliokufa au waathirika wa uhalifu au matukio mabaya kama vile ajali bila kuwa na kibali cha polisi au chombo chenye mamlaka...
  7. ilapfasha

    SoC02 Adhabu za viboko na athari zake

    Ni kwa muda sasa adhabu za viboko zimekuwa zikitumika mashuleni kama njia ya kuwa-adabisha wanafunzi, huku ikiaminika kuwa kupitia kuwa adhibu watoto kwa kuwachapa fimbo husaidia kuongeza utii mashuleni hali inayofanya makosa ya utovu wa nidhamu kupungua na kuongezeka kwa nidhamu darasani. Jambo...
  8. sifi leo

    Haiwezi kutokea mtoto wa kumzaa mimi afanye kosa halafu nishindwe kumuadhibu

    Niwapongeze wanaume wa Kanda ya ziwa ama hakika Mungu alituumba vilivyo na kutubaliki. Sina maana vidume wa mikoa mingine ni Walegevu ila kiukweli mwanaume wa Kanda ya ziwa hawezi fananishwa na mikoa mingine. Najua mtanisi ila kwetu sisi ni jambo la aibu kubwa sana mtoto wangu niliyemzalisha...
  9. The Boss

    TFF iachane na adhabu za kishamba

    Wakati Jose Mournho anaenda EPL ilikuwa inajulikana sifa yake ya kuongea ovyo ..wakati Fulani walimpa jina la "the mouth"...Mourinho alikuwa anafanya "mind games". Akiwashambulia marefa kabla ya mechi ili waogope kuzigusa timu zake wachezaji wake wakicheza faulo....walichofanya EPL ilikuwa...
  10. JanguKamaJangu

    Hizi ndio adhabu kama Donald Trump akikutwa na hatia ya kuhifadhi nyaraka za hisi

    Mara baada ya Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump kupekuliwa na maofisa wa FBI katika nyumba yake ya Florida na kudaiwa kukutwa na nyaraka za siri za Serikali kama akikutwa na hatia anaweza kuhukumiwa kwenda jela. Kuna sheria tatu kuhusu makosa ya aina hiyo; Sheria ya 793 iliyopo ndani ya...
  11. Mwamuzi wa Tanzania

    TFF na CAF waipe adhabu Yanga kwa kumchezesha Mayele ambaye kiwango chake ni cha kuchezea timu kama PSG, Barcelona, Real Madrid, Manchester

    Huu mpira anaoupiga Mayele sio wa Afrika hii. Kuna namna Yanga wamefanya. Haiwezekani mchezaji hatari kama Mayele achezee timu hizi za Kitanzania. CAF na TFF waimulike Yanga na ikiwezekana waiadhibu . Mayele analeta imbalance uwanjani.
  12. M

    Wallace Karia anaiendesha TFF kihuni, adhabu za vifungo na faini za kibabe zinawaumiza wanamichezo. Karia hafai kwa ustawi wa soka letu

    Hivi karibuni sakata la kufungiwa kwa Msemaji wa klabu ya Yanga, Haji Sande Manara "Bugati" limeshika kasi katika tasnia ya michezo nchini, lakini mtiriko wa matukio ya kuichafua tasnia ya soka kutoka kwa Shirikisho la Soka Nchini (TFF) na Rais wake, Wallace Karia umeongezeka kwa kasi. Hebu...
  13. The bump

    Msaada wa Namba za Simu za Askari wa Kituo cha Stakishari au kituo kizuri kwa adhabu Mwili

    Nina jambo limenipata nina mwizi wangu ambae nina vithibitisho kwa 98% lakini kutokana na maeneo nilipo na yeye alipo nikimuweka ndani kwenye vituo hivi atapata Dhamana haraka. Naomba msaada wa namba za simu wa askari wa kituo cha stakishari ili nikafungulie kesi yangu kule au namba za simu za...
  14. E

    Adhabu ya Haji Manara iwe fundisho kwa wote wenye Tabia kama zake

    Kwenye Maisha kuna kitu kinaitwa kiongozi na Mamlaka ya kiongozi ,kila kiongozi huwa kuna maamuzi ambayo anaweza kuamua kutokana na Mamlaka aliyo nayo. Kwa upande wa Haji Manara kama inavyonunukuliwa alichokisema kwa kiongozi wa TFF "Wewe unanifatafata sana, hii ni mara ya tatu, sikuogopi kwa...
  15. kavulata

    Rais Karia adhabu hii ya Manara imejumlisha na utani wetu?

    Hakuna ubishi kuwa Karia ni mwana Simba na mwana coastal Union. Lakini hakuna ubishi Manara amezikera sana Simba na coastal Union msimu huu kwa matukio tofauti. Adhabu aliyopewa Haji Manara ya kufungiwa miaka 2 na kulipa 20,000,000 ni sehemu ya ukweli huu wa Simba, coastal Union, Yanga, Karia na...
  16. GENTAMYCINE

    Ikitokea Askari MP wa JWTZ na wa Magereza 'wamekubananisha' katika '18' zao utachagua nani ndiyo wakupe Adhabu?

    Nijibuni haraka kwani kuna safari ( chocho ) ninataka kupita na najua nitakamatwa na Mmoja wao je, nani anisulubishe?
  17. S

    Kunahitajika Adhabu kali; hali ni tete Tanzania

    Sina haja ya kubwabwaja sana, matendo na vitendo vinavyotendwa katika hujma mbalimbali humu Tanzania ni vya kusikitisha na kuhuzunisha sana. Mauaji ya ovyo ovyo, watu kukatwa mapanga mchana kweupe usiku ndio usiseme, na yote hayo hufanywa na watu wa rika mbali mbali na wakati mwengine au...
  18. Zakaria Maseke

    Aina za Adhabu Ambazo Hutolewa Mahakamani

    Utaratibu ni kwamba, mtuhumiwa akishatiwa hatiani, kipengele kinachofuata (after mitigation) ni kupewa adhabu. Sasa adhabu ziko nyingi; inaweza kuwa kifungo gerezani, kulipa faini, kutaifisha mali/kitu, kuchapwa viboko, kuhukumiwa kifo au kulipa fidia, n.k Kwa Tanzania, adhabu za makosa...
  19. Kichuguu

    Adhabu kwa Walimu wanaofanya mapenzi na wanafunzi wao Vyuo Vikuu

    Adhabu hii aliyopewa professor wa Princeton ni kwa kosa alilofanya miaka 15 iliyopita. Tanzania tukitoa adhabu kama hizi kwa waalimu wa vyuo vyetu waliojihusisha kimapenzi na wanafunzi wao ndani ya miaka 15 iliyopita tunaweza kubaki na waalimu wachache sana. Lakini ni adhabu ambayo inabidi tuwe...
  20. kavulata

    Adhabu ya TFF/bodi ya ligi kwa Mbwana Makata, sio kila gari ni Ambulance.

    Makata kudai ambulance kuwepo uwanjani ni suala la kikanuni na Ambulance haikuwepo uwanjani bila kujali kuwa ilikwenda wapi kufanya nini. Ambulance ni gari maalumu lenye miundombinu inayoweza kuokoa maisha ya mgonjwa mwenye afya mbaya wakati anakimbizwa kuwahi matibabu kamili ya hospitali. Sio...
Back
Top Bottom