Étraire de la Dui (also known simply as Étraire) is a red French wine grape variety that was historically grown in the Rhone and Savoy wine regions. Its numbers were hit hard following the phylloxera epidemic and now only a few plantings remain in Savoy and the southeast fringes of the Rhone valley. According to wine expert Jancis Robinson, the grape produces a wine similar in style to Persan and can produce wine with aging potential.
Hili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti.
Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia au kwa kebehi au kejeli, ni swali la ukweli kabisa.
Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote...
Wapinzani wanatumia ujinga wa watu kujieneza. Wanatambua nchi hii wenye uelewa wa mambo ni wachache na hao wachache wapo kimya Kwa sababu hawataki kuonekana ni wanasiasa.
Kuhusu hili la bandari, ni uthibitisho tosha kundi la wasio na uelewa linaburuzwa na kukokotwa bila kujijua. Wanatumia mbinu...
NDEGE ya Jeshi imeanguka Ziwa Victoria mapema leo Julai 20,2023 karibu na Uwanja wa Ndege wa Bukoba.
Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Blasia Chatanda amesema ndege hiyo ya jeshi yenye namba JW 9127, imeanguka wakati marubani wake wawili walipokuwa kwenye mazoezi ya...
Naam, nimefuatilia miaka mingi kuona utendaji wa vyama tawala Afrika ni kama vimejisahau vinafanya mambo kijinga kabisa. Hii mara nyingi husababishwa na kutafuta fedha kwaajili ya uchaguzi ili kuhonga wapiga kura. Kilicho fanywa na serikali ya CCM Tanzania ni mfano wa mawazo ya hovyo kabisa...
Pengine unamsikia tu shetani juu juu, humfahamu vizuri na unasema ni adui yako.
Unawezaje kupambana na adui usiyeijua nguvu yake?
Anafafanua kwa ufupi Mwl . Makungu m.s
0743781910
Kamwe Usimfananishe shetani na majini , mapepo , mizimu wachawi n.k. Ambao una uwezo wa kufanya nao vita kirahisi...
Pengine unamsikia tu shetani juu juu, humfahamu vizuri na unasema ni adui yako.
Unawezaje kupambana na adui usiyeijua nguvu yake?
Anafafanua kwa ufupi Mwl . Makungu m.s
0743781910
Kamwe Usimfananishe shetani na majini , mapepo , mizimu wachawi n.k. Ambao una uwezo wa kufanya nao vita kirahisi...
Kutojiamini inajionesha kwenye tabia yako.
Hata kama ulijificha lakini matendo yako yataonesha tu hujiamini. Na kama ulipata mwanamke anaweza kukuacha au kukusaliti. Sababu unaonesha tabia za kutojiamini.
Kwanini wanawake wanawaacha watu wasio jiamini? Kwanini kutojiamini ni adui yako mkubwa...
Katika WAZO LA SIKU lililotangulia, tuliona umuhimu wa kuitafuta Furaha, na kuwajali wengine kama malengo muhimu sana kwa Mwaka unaoanza.
Kwavile furaha ni muhimu katika maisha yetu, kamwe tusiifurahie huzuni ya wengine hata ya Adui zetu.
Kama unavyoihitaji FURAHA, basi JALI na furaha ya...
Habarini wakuu.Nahitaji msaada.
Mwaka huu mwezi wa kwanza,nikiwa nimetulia katika mgahawa fulani ulio na lodge kwa pembeni huku nikishushia msosi wa jioni,kuna jamaa alinifuata kwenye meza yangu.Huyu jamaa kwa makadirio ana umri wa miaka 37-40, basi nikiwa sina hili wala lile jamaa akanipa hai...
Utamaduni wa Mtanzania umebomoka nani asimame mahali pale palipobomoka na kupajenga tena,nimeona maridhiano kwa watu fulani lakini maridhiano hayajafika kwenye dhihaka,kashfa na shutuma kwa wapendwa wetu waliokufa,tuliozaliwa mwaka 1980 tulikuta utamaduni mzuri wa Watanzania,tulishirikiana...
Habari ya kila movie watu wema kushinda inakera sana wakati mwingine. Maisha hayako hivyo kabisa. Na sometimes unakuta adui anapambania dili lake lifanikishe mara anatokea "mtu mwema" na kumuharibia.
Inakata sana stimu. Kwanza kwenye maisha halisi watu wabaya wanashinda kuliko wema.
Hii movie...
Rais mmoja wa Marekani wakati wa mradi wa Tenesee Dam Construction aliwahi kukumbwa na upingwaji mkubwa sana na watu mbalimbali juu ya mradi ule, lakini wengi ya walio ukosoa ilikuwa ni uwoga tu.
Akasema "The only thing to fear it's fear itself". Ni kweli na kila Marekani anajua umuhimu wa...
Nawasalimu ndugu zangu, nimekuwa kama msomaji wa hili jukwaa kwa miaka kumi Sasa, na Leo nikaona Bora niwe mwanachama, namimi walau kwa uchache wa uelewa wangu nitoe mchango wangu.
Mwanafalsafa mmoja aliwahi kusema “we become adapted to the lack of use of our basic human resources as a results...
Mzee RAO anamuangamiza kiuchumi Rais Ruto na makamu wake Gachagua kupitia maandamano.
Meli ya kitalii iitwayo MV Seabourn Sojourn, iliyopo njiani kwenda nchi mbalimbali duniani, ambapo kwa afrika mashariki ilikuwa isimame kwa siku 6 kwenye bandari ya Mombasa, sasa imebadiri uelekeo hadi...
Wazungu wana msemo wao unaosema adui yako mnunulie pikipiki itampa adhabu inayomstahili. Wakimaanisha kuwa mwendesha bodaboda lazima tu litamkuta jambo baya sana, kama sio leo basi kesho na kesho kutwa.
Madhara wanayopata waendesha bodaboda ni makubwa sana kuliko hela wanayoipata. Pesa nyingi...
Adui zetu wakubwa barabarani sio Polisi bali ni Madereva wenzetu.
Kusema kweli adui zetu wakubwa barabarani ni madereva wenzetu kuliko hata hao Polisi tunaowaona maadui. Dereva anatumia nguvu nyingi kuchukua tahadhari dhidi ya Polisi kuliko hata dereva mwenzake. Kwa nini Polisi baadhi yetu...
Simba timu yangu msipoacha uchawi hakika mtazidi kupata aibu ! Tabia yenu ya kumtegemea huyo sangoma wa kike hapo klabuni niyakipumbavu sana ! Mbaya zaidi mnampa na pesa kabisa awasaidie kuloga mechi hayo mambo niyakipuuzi sana na hamtafanikiwa kamwe!! Aliwaaminisha wachezaji ameshamaliza kazi...
Kuendelea kuwa na hasira juu ya wasiokuwepo ni ujinga na kupoteza muda!
Muda hausubiri bali tukitaka muda utusubiri ni kufanya tulimbikize mambo mengi yatupasayo kufanya sasa!
Dunia iko mbaali sana kuliko mahali sisi tulipo! Tuna matatizo ya kiuchumi na umasikini wa watu uliokithiri
Tunakaa...
Za ndani nilizozipata kutoka kwa Chawa Wako zinasema leo Jioni utakutana nao mahala na Mzinywe na Wale sana kwani Mtu aliyekuwa akikunyima Usingizi Wakili Albert Msando aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Morogoro uliyoko amehamishwa na Mkeka mpya wa Mama.
Ila kwa DC Msando alivyowekeza hapo Wilayani...
Naomba nizungumzie kiujumla, licha ya kwamba kati yetu binafsi, wapo ambao wako tofauti na walio wengi.
Watanzania wengi ni wajinga [wasiozijua haki zao] na ni waoga sana.
Mchanganyiko wa hizo sifa mbili ni kikwazo kikubwa sana katika maendeleo ya jamii.
Huwezi kupata maendeleo yoyote yale ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.