Na hapa ndiyo utajua kuwa Watanzania hatujui tunataka nini na huenda Watawala wameshatujua Udhaifu wetu na wala hawana kabisa wasiwasi na Sisi huku wakitufanyia wanachokitaka pale wanapojisikia.
Wakuu Salaam,
Mtakuwa mmekutana na vijembe kvya Bashe na Mpina, tena naye kaanza kutumia vichambo kibasaaa, na Millard eti kaweka kaweka kichwa cha kimbea, soma hapa - Hussein Bashe: Luhaga Mpina uwe na shukrani kwa serikali, chezea sekta nyingine sio kilimo
Hapa anajua lazima Watanzania...
Fatma Kigondo anayedaiwa kuwatuma watuhumiwa wa kosa la kubaka kwa kundi ametii wito wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma iliyomtaka kufika mahakamani hapo leo Septemba 5, 2024.
Mahakama hiyo Agosti 23 ilitoa wito wa kufika mahakamani (samansi) kwa Fatma baada ya ile ya awali iliyomtaka...
Angalia mahojiano kati ya Manara Tv na mwanasiasa na wakili wa kujitegemea ambaye pia ni mfanyabiashara wa magari ndugu Hashim Spunda Rungwe, kuanzia dakika ya 35:09 anaulizwa kuhusiana na aliyetuma wale vijana wahovyo kufanya ubakaji.
Majibu yake ni kuwa aliyewatuma ni aliyekuwa RPC wa Dodoma...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imepanga Septemba 5, 2024 kutoa hati ya ukamatwaji kwa mtu anayetambulika kama Afande, Fatmah Kigondo anayedaiwa kuratibu tukio la ubakwaji na ulawiti wa Binti wa Yombo Dar es Salaam endapo kama hatofika mahakamani.
Hatua hiyo inakuja baada ya Mlalamikaji ambaye...
Kesi ya jinai iliyofunguliwa na wakili Paul Kisabo dhidi ya afisa wa polisi ASP. Fatma Kigondo anayetajwa kama "afande Kesi ya jinai ilifunguliwa na Wakilin Paul Kisabo dhidi ya Afisa wa polisi, ASPNFatma Kigondo anayetajwa kama "afande" inasubiri wito wa kupangiwa tarehe ya kusikilizwa ambapo...
DODOMA: Kesi iliyofunguliwa na Wakili Paul Kisabo dhidi ya Afisa wa Polisi ASP Fatma Kigondo anayetajwa kama 'Afande', inasubiri wito wa kupangiwa tarehe ya kusikilizwa ambapo tayari imepangwa mbele ya Hakimu Francis Kishenyi.
Afisa huyo ameshtakiwa kwa kusaidia genge la Watu Watano...
Familia ya Kamishna Msaidizi wa Polisi (SSP), Fatuma Kigondo imesema inafikiria kufungua mashtaka dhidi ya wote waliosambaza kwenye mitandao ya kijamii kuwa ndugu yao amehusika kutuma vijana kufanya ukatili kwa binti anayedaiwa kuwa mkazi wa Yombo Dovya, Dar es Salaam.
Akiandika katika ukurasa...
MTAZAMO WANGU WA KISHERIA BAADA YA KUWEPO MAWAKILI WA UTETEZI WA KESI YA UBAKAJI NA ULAWITI KWA BINTI WA YOMBO DOVYA. ITAKUWA KESI NGUMU KWA JAMHURI KUTHIBITISHA BILA SHAKA YOYOTE ILI WASHITAKIWA WATIWE HATIANI:-
1. Je, binti aliyebakwa na kulawitiwa anawatambua washitakiwa wote wanne...
Wakuu mpo salama? Jana (August 19) tulishuhudia mengi back to back, huku RPC akahamishwa nkule watuhumiwa wakafikishwa mahakamani, lakini kwaini watuhumiwa wanne?
Walikuwa 6 ikiwemo na yule aliyetambulishwa kama 'afande' pamoja na mtu wa 5, ambako kwenye video watano wote walionekana. Sasa huyu...
VISA na MIKASA
SIKU P FUNK alipomchapa Makofi AFANDE SELE…
Turudi nyuma kidogo,
Miaka zaidi ya 18 iliyopita na Ilikuwa ni kipindi kifupi tangu P funk aanze kufanya kazi na Afande. P anasema miezi kama miwili nyuma ya siku hiyo ya tukio alikuwa na Sele, alimpatia wimbo mmoja na sele akaahidi...
AFANDE WA MOROGORO MFALME WA TANZANIA.
Toka mwaka 2002 mpaka sasa 2022 ni miaka 20 imepita toka album ya "mkuki moyoni" toka kwa Afande Sele izame sokoni. Mwaka 2004 hii album kwa uzito wa nyimo zake ilitosha kabisa kumtangaza mfalme wa rhymes ni Afande Sele.
Mkuki moyoni ni miongoni mwa...
Huyu askari mstaafu Kimaro a.k.a Saba Sita, anafukuzana na kivuli chake cha mauti.
Siyo rahisi kwa mila za kiafrika, kukikaribisha kifo kwa bashasha na kimipango kama huyu Saba Sita anavyofanya.
Mauti yake yamemkaa akilini kisawasawa na hafikirii kitu kingine cha maendeleo.
Huyu Saba Sita...
Aliua Kawe Dar es Salaam tarehe 25 Oktoba, 2023 na Kakamatwa rasmi Juzi tarehe 29 Desemba, 2023 huko Mkoani Ruvuma.
Na ili kuonyesha kuwa Intelijensia ya Jeshi la Polisi nchini ni Kali ni kwamba ndani ya Miezi hii Miwili Muuaji Rakesh Kato Mayele ( alias ) Rasta Kato au Rasta Mayele ( Dereva...
Kuna vurugu CCM Mara ambazo zinasababishwa na watu kukitafuta kiti cha ubunge cha 2025. Kwa hiyo inatokea hali kwamba watu wanatukana,pia hawasiti kushambuliana kwa silaha.
Ni jambo baya. Kama alivyokuwa anasema Mhe.Kiboye,"Sisi wore ni CCM,kwa nini tunagombana.?"
Nawaomba hawa watu watanzue...
Sheikh Kipozeo amshukia Afande Sele kuhusu kifo cha Magufuli.
Sitii langu hapa kwa sasa, jionee mwenyewe:
Chanzo: https://youtu.be/_rImiIvDHnI?si=jVvGaHv0PVX-7CeH
Afande ( Luteni Kanali ) aliyeuawa jana Kawe Jirani na Baa maarufu ya Bombardier anaitwa Muna.
Marehemu ni Mkazi wa Mkoa wa Singida.
Marehemu Afande Luteni Kanali Muna alikuwa kapandishwa Cheo na alikuwa anaenda kuwa Mkuu wa Kikosi Mkoani Arusha na leo Ijumaa ndiyo alikuwa anatakiwa Kuripoti...
Kwenye LET IT BE, Kuna line SONGA anachana anasema ''Sele atabaki afande mfalme Hashimu Dogo''
Kweli Hashim Dogo unaweza kumuweka mzani mmoja na AFANDE SELE? Au SONGA Alimaanisha nini???
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.