afande

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Ushauri kwa CDF Jenerali Mkunda na Serikali kuhusu uendeshaji wa Shule za Jeshi

    Awali ya yote nampongeza sana Mhe. Rais wetu, mpendwa wetu Mama SAMIA SULUHU HASSANI kwa kazi nzuri anayoifanya na wasaidizi wake. Pia nampongeza sana aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya ulinzi mstaafu kwa kazi kubwa aliyoifanya na nampongeza sana Mkuu mpya mteule wa majeshi ya ulinzi kwa uteuzi wake...
  2. Mr Dudumizi

    Kwa usalama wa nchi yetu, huyu afande anafaa kuwa IGP ajaye

    Habari za asubuhi wana JF wenzangu. Ndugu zang baada ya kufuatilia kwa makini utendaji wa kazi unaofanywa na jeshi la polisi, pamoja na mbinu mbalimbali zinazotumiwa na makanda wa jeshi hilo katika jitihada za kupambana na uhalifu nchini, hasa kwa mkoa wenye uhalifu mwingi kama Dar es...
  3. S

    RPC Shinyanga anafanya kazi kwa weledi

    Leo nimeona taarifa ya Habari Itv afande ameyakamata na kuyapiga faini mabasi yote yanayotoka Mwanza kwenda Dar kwa kuzidisha Mwendo , vilevile amewakamata madereva 4 na kuwapeleka mahakamani kujibu mashitaka ya kuzidisha Mwendo kupindukia. Vilevile amewapa abiria elimu ya usalama barabarani...
  4. figganigga

    Afande Veronica yupo barabarani kukusanya hela au kufilisi Raia?

    Salaam Wakuu, Polisi wana mbinu nyingi za kutengeneza mazingira ya Rushwa na kukupiga faini. Huwezi pona kwenye 18 zao, watatafuta kosa hadi walipate. Sitaki kusema Chuo cha Polisi Moshi (CCP) hawafundishi ila nadhani wanatakiwa kubadili Mitaala yao. Kuna vitu wanavifanya Polisi wetu hadi...
  5. OKW BOBAN SUNZU

    Video: Afande IGP Sirro anamjibu nani hapa?!

    Najaribu kuwaza, hapa Afande IGP anamjibu nani? Nikifiria zaidi nahisi kama anamjibu mama. Msikilize mama hapa 👇 https://www.jamiiforums.com/threads/nikisema-jeshi-la-polisi-halifanyi-kazi-vizuri-najibiwa.1967071/
  6. The Sheriff

    Yaliyojiri kesi inayomkabili Mbowe na wenzake leo Februari 4, 2022. Kesi imeahirishwa. Shahidi wa 13 kuendelea kutoa ushahidi Februari 7, 2022

    Habari Wakuu, Leo 04/ 02/ 2022 shahidi wa 13 anatarajiwa kuanza kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri kesi ya Mbowe 01/02/2022. Luteni Denis Urio amaliza kutoa ushahidi wake. Shahidi wa 13 kuanza 04/02/2022...
  7. N

    Shahidi wa michongo Afande Jumanne kuja na jipya lipi leo?

    Tunaona kila kitu kinavyoenda na kwa kweli sio mbaya kabisa kwani Mbowe akifungwa itakuwa ni chachu Zaidi ya mapambano kwani very soon we will see the right light! Leo Shahidi wa michongo Afande Jumanne anakuja kuendelea kutoa ushahidi wake wakati hata yeye anajua fika kuwa yeye ni Shahidi wa...
  8. barcelonista

    Jay Moe vs Afande sele

    Wakuu kwema? tukutane hapa kidogo... Jay Moe(juma mchopanga) Pamoja na Afande Sele....Hivi hawa wote wakiwa kwenye kilele cha ubora wao nani hatari zaidi?.. NB: Hasa nyakati zile za Ulimwengu ndio Mama na Mkuki Moyoni... Nani zaidi Jay Moe vs Afande Sele. #Forgive Me
  9. Prof Koboko

    IGP Sirro achana na ukaguzi wa mafunzo ya kidini, staafu kwa fahari

    Bado naendelea kushtushwa na kitendo cha IGP kusema kua wana mpango wa kukagua mafunzo yalotolewayo na na taasisi za kidini humu nchini, watuambie kua Polisi huo ujuzi wameutoa wapi na wanaruhusiwa na sheria ipi kuingilia imani za watu? Afande Sirro mzee wangu unataka kufika mbali sana, staafu...
  10. Mzalendo Uchwara

    IGP Sirro viatu vimekupwaya mno, omba kupumzika

    Kulikuwa na haja gani ya kusema kuwa Polisi wataanza kukagua shule za dini zaidi ya kuleta taharuki na kuzalisha chuki? Kama Polisi inadhani kuna matatizo huko kwenye shule za dini, je mbinu sahihi haikuwa kuchunguza kimyakimya na kwa siri? Alafu bila aibu anasema eti amejifunza Rwanda! Kitu...
  11. The Palm Tree

    Tundu Lissu: Polisi wote huni - treat with respect kila walipotumwa kunikamata isipokuwa baadhi kama afande Cammilius Wambura, Sirro na Kigaigai...

    Tunaendelea kupata simulizi za kusisimua toka kwa Tundu Lissu ikiwa ni sehemu ya kumbuizi ya miaka 4 tangu kufanyika kwa jaribio baya lililoshindwa la kutaka kumuua kwa risasi za kivita lakini likimwacha nusu mfu tarehe 7/9/2017.... Shukrani kwa madaktari wa hospitali ya mkoa wa Dodoma...
  12. R

    IGP Sirro, hakuna anayekuunga Mkono

    Kwa matamshi yako ya juzi na ulivyolishughulikia suala la marehemu Hamza, hakuna anayekuunga mkono. Kila mtanzania mwenye akili, mpenda haki, ukiacha wanaojikomba wapate mlo wao (wanafiki), watu wema, wapenda haki wanakulaani kwa matamshi yako. Unaonekana kuwatetea mapolisi pamoja na kuwa...
  13. Pdidy

    Askari wa Kituo cha Polisi Mabwepande wadaiwa kuwapora vijana wa bodaboda pesa

    Nilichokiona jana na leo hapa Boko Magengeni ni aibu kabisa. Askari walikuja na defender wakashuka na kuwavamia vijana waliopaki pikipiki zao za biashara. Mara tukasikia wanauliza “we una sh. ngapi??” Abiria wote tuliokuwa pale tulishangaa. Yaani inashangaza, hadi buku 3 askari anachukua. Kama...
  14. Shujaa Mwendazake

    Afande Sele: Awamu ya tano Zitto Alikuwa anapinga kila Kitu, leo yupo Kimya

    "Awamu ya tano Zito Kabwe alikuwa anapinga kila kitu hata yaliyokuwa ndani ya Ilani ya Chama chake,leo yupo kimya pamoja na maswahibu yote yanayowapata wananchi kwenye Kodi za umauti za Miamala ya simu pamoja na viongozi wenzake wa kisiasa kama Freeman Mbowe " Afande Sele
  15. Ferruccio Lamborghini

    Afande Bageni akwama tena; Ombi: Asinyongwe

    Jaribio la pili la aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi Wilaya ya Kinondoni (OC-CID), Christopher Bageni kujinasua na adhabu ya kunyongwa, baada ya kutiwa hatiani kwa kuwaua wafanyabiashara watatu wa madini na dereva teksi, limekwama katika Mahakama ya Rufani juzi. Mahakama hiyo ya juu kabisa nchini...
  16. R

    Nani alishagonga afande humu?

    Katika mazingira gani? Mi nilipataga trafiki mmoja Kibaha pale Maili moja. Alinikamata kwenye ile zebra crossing. Nikalipa faini kiroho safi halafu nikampa business card yangu. Ndiyo ikawa hivyo.
Back
Top Bottom