Ulimwengu wa Filamubza Nigeria 'Nollywood' umempoteza nyota wao wa filamu hasa za Vichekesho, John Okafor maarufu kwa jina la Mr Ibu (62) chanzo kikitajwa ni kupata Mshtuko wa Moyo ikiwa ni baada ya kuwa mgonjwa kwa muda mrefu.
Mr Ibu aliyeigiza zaidi ya filamu 200 amefariki wakati alipokuwa...
He died after fighting leg amputation.
Mwigizaji wa Nigeria, John Okafor maarufu kama Mr Ibu (62) amefariki dunia leo Machi 2, 2024 wakati akiendelea kupatiwa matibabu hospitalini.
Kulingana na ripoti kutoka kwa vyanzo vya karibu vya mwigizaji huyo vimeripoti kuwa amefariki akiwa katika...
MAREKANI: Mwili wa Mtanzania Abraham Mgowano aliyekuwa akiishi na kufanya kazi katika Kampuni ya Google kama Mhandisi wa Programu Endeshi (Software Engineer) umepatikana ukielea katika Mto Miami jijini Florida baada ya kuanguka kwenye 'Boti'.
Abraham aliripotiwa kupata ajali Februari 24, 2024...
Hassan Wakasuvi enzi za uhai wake
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa taarifa ya kifo cha Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora na Mjumbe wa Kamati Kuu Ndugu Hassan Wakasuvi kilichotokea Leo tarehe 22 Februari, 2024 Mkoani Tabora.
Chama Cha Mapinduzi kitamkumbuka...
Mamlaka zimesema kuwa kiongozi wa upinzani nchini Urusi, Alexei Navalny, amefariki ndani ya gerezani la Arctic.
Akionekana kama mkosoaji mkubwa wa Rais Vladimir Putin, Navalny alikuwa akitumikia kifungo cha miaka 19 kwa makosa yanayochukuliwa kwa kiasi kikubwa kuwa ya kisiasa.
Alihamishiwa...
Dr. Ibrahim Msabah(72) amefariki muda mfupi uliopita Muhimbili alipopelekwa baada ya kuzidiwa nyumbani kwake, Masaki Dar es Salaam. Katika uhai wake, Msabaha alishawahi kuongoza wizara ya nishati na madini mwaka 2006 mpaka 2007 kama waziri.
Dkt. Msabaha alikuwa rafiki wa karibu wa Hayati Edward...
Balozi Dkt. Diodorus Buberwa Kamala (26 November 1968 - 12 Feb 2024)
--
Balozi Mstaafu na Waziri wa zamani wa Afrika Mashariki, Dkt. Deodorus Buberwa Kamala amefariki dunia akiwa anapatiwa matibabu hospitali ya Mzena Jijini Dar es Salaam
Dkt. Buberwa amewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Nkenge...
Mwanariadha Kelvin Kiptum aliyevunja rekodi ya mbio za Marathon duniani hivi karibuni mwaka jana 2023, afariki dunia kwa ajali ya gari.
R.I.P
World marathon record holder and London Marathon winner Kelvin Kiptum and his coach have died in a car crash, Kenya's former prime minister has said...
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Yanga SC, Imani Madega amefariki dunia leo nyumbani kwake Chalinze, Mkoa wa Pwani.
Madega anatarajiwa kuzikwa kesho Chalinze nyumbani kwake. Kiongozi huyo atakumbukwa na Wanachama wa Yanga SC kama moja ya viongozi majabali na kuacha kiasi cha Sh. Mil 200 katika...
Namibia imempoteza Rais wake, Hage Geingob ambaye amefariki Dunia wakati akiendelea na matibabu ya Saratani hospitalini katika Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Windhoek.
Taarifa ya Makamu wa Rais wa Namibia, Nangolo Mbumba imeeleza kuwa msiba huo umetokea usiku wa kuamkia leo Februari 4, 2024.
Geingob...
Carl Weathers, ambaye shughuli zake za utafutaji wa ugali zili anzia kwenye mchezo wa nfl Hadi uigizaji.
Ana kumbukwa kutokana na uigizaji wake nzuri, kwenye filamu kama Creed, na Predator.
Taarifa kutoka kwa familia ina sema ni hali ya kawaida na si tatizo jingine.
Rest well legend!
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob John Nkunda ametangaza Kifo cha Luteni Jenerali Mstaafu Balozi Martin Mwakalindile kilichoteka Januari 28, 2024 nchini India alikokuwa akitibiwa.
Aliyekuwa mlinzi mkuu wa Rais Kikwete, Hamis Lukindo amefariki leo Januari 29, 2024 katika Hospitali ya Mloganzila, Dar es Salaam, maziko yanatarajiwa kufanyika Januari 31, 2024, Same.
Mwana harakati mahiri wa kutetea haki za watu weusi wajitambue na warudi kwenye asili yao Kissendi Nyanda Ntalima Mpandagoya amefariki dunia huko Sengerema mkoani Geita 🇸🇪.
Kissendi aliugua muda mfupi kabla ya kufariki kwake. Mipango ya mazishi inaendelea.
Bado wana familia hawajaweka wazi ni...
Mwanamke wa Uingereza aitwaye Demi Agoglia (26) amefariki dunia siku chache baada ya kufanya upasuaji wa kuongeza shepu (BBL) nchini Uturuki, Magazeti ya Uingereza yameripoti.
Demi ambaye alikua Mkazi kutoka Jiji la Manchester alipata mshtuko wa moyo saa chache kabla ya kuanza safari yake ya...
Imeandikwa katika kurasa za mitandao za Mhe Rais Samia Suluhu Hassan
"Nimesikitishwa na kifo cha Ndugu Joseph Sebastian Pande, aliyekuwa akitumikia nchi yetu katika nafasi ya Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka. Nawapa pole Mkurugenzi wa Mashtaka, Ndugu Sylvester Mwakitalu, familia, wakuu wa divisheni...
Director maarufu wa video mbalimbali ikiwemo za Wasanii wa Bongofleva ambaye pia ni Mtoto wa kwanza wa Muhubiri maarufu wa Arusha wa Kanisa la Ngurumo ya Upako Dr. GeorDavie, Nic Davie maarufu Nisher amefariki saa nane na dakika tisa usiku wa kuamkia leo December 12,2023.
Familia ya Dr...
Habari ya kwanza niliyokutana nayo leo kwenye mitandao ya kijamii inahusu kifo cha mwanadada Mwimbaji Bulelwa Makutukana ( Zahara) kilicho tokea jana huko Johanesburg baada ya kuugua ini kwa muda mfupi.
Zahara amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 35.
Binafsi nitamkumbuka sana Zahara kwa...
Daudi, mtoto wa pili wa Makongoro Nyerere, RC wa Rukwa amefariki dunia.
We will update this.
Habari zenyewe ni hivi: not for the faint- hearted.
Amekufa kwa ajali ya gari Arusha, mchana huu, kama saa saba hivi.
Alikuwa anaendesha gari, akaligonga lori kwa nyuma.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.