afcon

The CAF Africa Cup of Nations, officially CAN (French: Coupe d'Afrique des Nations), also referred to as AFCON, or Total Africa Cup of Nations after its headline sponsor, is the main international men's association football competition in Africa. It is sanctioned by the Confederation of African Football (CAF) and was first held in 1957. Since 1968 it has been held every two years, switching to odd-numbered years in 2013.
In the first edition in 1957 there were only three participating nations: Egypt, Sudan and Ethiopia. South Africa was originally scheduled to compete, but was disqualified due to the apartheid policies of the government then in power. Since then the tournament has grown greatly, making it necessary to hold a qualifying tournament. The number of participants in the final tournament reached 16 in 1998 (16 teams were to compete in 1996 but Nigeria withdrew, reducing the field to 15, and the same happened with Togo's withdrawal in 2010), and until 2017, the format had been unchanged, with the sixteen teams being drawn into four groups of four teams each, with the top two teams of each group advancing to a "knock-out" stage. On 20 July 2017, the Africa Cup of Nations was moved from January to June and expanded from 16 to 24 teams.Egypt is the most successful nation in the cup's history, winning the tournament a record of seven times (including when Egypt was known as the United Arab Republic between 1958 and 1961). Three different trophies have been awarded during the tournament's history, with Ghana and Cameroon winning the first two versions to keep after each of them won a tournament three times. The current trophy was first awarded in 2002 and with Egypt winning it indefinitely after winning their unprecedented third consecutive title in 2010.
In 2013, the tournament format was switched to being held in odd-numbered years so as not to clash with the FIFA World Cup.

View More On Wikipedia.org
  1. Wanaofurahi chasambi kujifunga je wamesahau mzize kama tutakosa Afcon ni goli alilojifunga!

    Manara alisema wenye akili yanga ni wawili tu ila hata yeye hana akili pia aliy komwe hana akili na wengineo....akili zao kama za kuku wameprint jezi jina la chasambi kisa tu kujifunga ni upuuzi wa hali ya juu wamesahau mechi ya kongo mzize ndio aliyetuangusha hakuna aliyeprint jezi mimi nasema...
  2. A

    CAF wekeni interval ya miaka mitatu mitatu Afcon moja kwenda nyingine.

    Hii airisha-airisha imekuwa too much..Na ni aibu pia kwa shirikisho. Ili kurejesha msisimko wa Afcon, CAF kwanini wasipanue vipindi vya miaka 3 kati ya tournament moja kwenda nyingine ili nchi inayo-host ipate muda wa kutosha kuandaa miundombinu. Inaitwa AFCON 2025-Morocco...halafu mashindano...
  3. Makundi AFCON 2025, Tanzania yapangwa Kundi C dhidi ya Nigeria, Tunisia na Uganda

    Kwasasa nchini Morocco kuna hafla ya upangaji wa makundi kwaajili ya michuano ya AFCON 2025. Ungana nami kujua Tanzania tutapangwa na nani? Tukio lipo mubashara Azamtv na DStv =================================
  4. Je ni mbinu ya kimkakati kuwapa uraia wachezaji wa kigeni kwa maandalizi ya CHAN na AFCON?

    Wakuu nadhani siyo jambo la kawaida uraia kutolewa kwa wachechezaji wa kigeni,ilianza kwa Singinda Big Stars sasa nasikia Simba nao wachezaji 9 wanaomba uraia. Nimewaza tu je huu sio mpango kweli kwa mechi za kimataifa kama CHAN na AFCON ili tuwe na kikosi imara cha Taifa Stars? Tusishangae...
  5. M

    David Kafulila: AFCON na CHAN zitumiwe na sekta binafsi na ile ya Umma kutengeneza ajira tujenge Viwanja vidogo vya mazoezi na Migahawa tutapa pesa

    ==== Kuelekea mashindano ya Mpira wa Miguu ya Kimataifa ya CHAN Mkurugenzi wa PPPC Bwana David Kafulila ameitaka sekta binafsi na ile ya Umma PPP kushirikiana na kuhakikisha wanaitumia kwa usahihi fursa hii pekee iliyopatikana kwa ushawishi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Kafulila anasema...
  6. Tanzania Inapaswa Kujiondoa kama mwenyeji wa Afcon 2027

    Mwaka 2027, Tanzania, Uganda, na Kenya zitakuwa nchi mwenyeji wa Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon). Hata hivyo, maandalizi ya mashindano haya bado ni hafifu, na hadi sasa hakuna viwanja vya kiwango cha kimataifa vya kutosha kwa ajili ya mashindano makubwa haya. Katika hali hii, Shirikisho la...
  7. Vitu vya kuzalisha(Vyakula) kwa ajili ya Afcon mwaka 2027, nikujiandaa kuanzia sasa

    AFCON ya mwaka 2027 inapigwa Tanzania, Kenya, na Uganda. Sasa basi Afcon itakuwa na nyomi ya watu kutoka mataifa tofauti watao kuja kupiga kambi huku na kikubwa ni watakula, watakunywa. Sasa kwa muda ulio bakia kuna vitu vinaweza kuwa na demand kubwa sana kipindi cha AFCON ila ni vizuri...
  8. AFCON 2027 NI kutengeneza pesa!

    Wenye akili wameanza kujenga apartments, restaurants na sehemu za starehe (night clubs etc.). Wengine huko Lindi na Mtwara muendelee kulaumu tu
  9. Vurugu mechi ya Simba ni hujuma ya kukwamisha AFCON Tanzania

    Maoni haya ni alert kwa vyombo vyetu vya usalama na diplomasia. Hakuna cha maana kinachoweza kuelezea vurugu hizi bali ni hujuma ya kimkakati ili kuonesha kuwa Tanzania na mashabiki wake wa soka ni wakorofi ili tu AFCON isifanyikie kwetu. Provocation ya mashabiki wa Yanga kule kongo ni tukio...
  10. Mradi wa AFCON City Arusha wapigwa na wajanja, viongozi na vigogo watajwa

    Juzi tumeona maendeleo ya ujenzi wa kiwanja cha mpira cha AFCON kule arusha. Lakini, huwezi kuamini, hadi sasa serikali imeshindwa kuhitimisha michoro ya AFCON City kuuzunguka uwanja. Sababu zinatajwa, vigogo wanang'ang'ania maeneo yao yapangiwe vivutio vizuri zaidi tofauti na wataalaumu wa...
  11. F

    Afcon 2027

    Hivi kweli kuwa kenya wamenyang'anywa nafasi ya kuandaa hayo mashindano?
  12. Picha: Mwonekano mradi wa ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa Arusha, utakaotumika kwenye michuano ya AFCON 2027

    Matukio mbalimbali katika picha wakati Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Methusela Ntonda alipokwenda kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa Arusha, wakati wa kikao kazi cha mwezi cha maendeleo ya mradi huo. Ntonda alikuwa ameambatana na...
  13. Ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Arusha utakaotumika kwenye Fainali za AFCON 2027 wafikia 11%

    UJENZI WA UWANJA WA AFCON ARUSHA WAFIKIA 11% Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Gerson Msigwa amesema anaridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Arusha unaotarajiwa kutumika kwa ajili ya Fainali za AFCON 2027 ambao hadi sasa umefikia 11% za ujenzi. Msigwa...
  14. Kwanini Micky Jnr anachochea sana moto Tanzania wapokonywe nafasi yao AFCON apewe guinea?

    I salute you kinsmen. Huyu jamaa kwa sasa amezidi kututibua nyongo watanzania kwa kiasi kikubwa sana Inasemekana kuwa Tanzania wanaweza kupokonywa nafasi yao kushiriki Afcon na akapewa Guinea sababu hasa ni kuwa jamaa wameandika barua CAF kuwa. Haya yote ni nonsense kabisa Guinea wanatapa...
  15. Tetesi: Tanzania hatarini kuondolewa AFCON 2025 baada ya kukiuka kanuni za Shirikisho la Soka la Afrika (CAF)

    Wakuu, Mwandishi wa habari za michezo wa Ghana, Micky Jr ameripoti kuwa, Tanzania inaweza kuondolewa kushiriki michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 nchini Morocco licha ya kufuzu, baada ya kukiuka kanuni za Shirikisho la Soka la Afrika (CAF). Pia, Soma: Full Time: Tanzania 1 -...
  16. Hemed Morocco hatoshi kuwa Coach wa Taifa stars AFCON

    Najua Watanzania ni watu wa matukio Hapa tumefuzu Kwa mbinde na coach Morocco anaonekana shujaa, ila ana mbinu duni akikutana na timu ngumu atapigwa kama ngoma Tumefuzu lakini Kwa kubahatisha tu Huko AFCON tunaenda kutia aibu Tutafungwa magoli si chini ya 5 kila mechi Timu yetu inacheza kama...
  17. Ahmed Ally: Simba SC tunajivunia pakubwa, makocha wote walioipeleka Taifa Stars AFCON wanadamu ya Simba SC

    Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, ametoa pongezi kubwa kwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia pamoja na timu ya Taifa Stars kwa mafanikio makubwa ya kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Pia, Soma: Simba SC yazindua rasmi uzi mpya wa michuano ya...
  18. Hizi milioni 700 za Rais Samia kwa Taifa Stars, zinawahusu wachezaji walioitwa mara ya mwisho kufuzu AFCON 2025 au mgao ukoje?

    Wakuu Jana Rais Samia kutoa milioni 700 kwa Taifa Stars baada ya kufuzu AFCON 2025 kama pongezi kwa kuliheshimisha taifa kufuzi mara ya nne katika fainali hizo. Je, zawadi hii inawahusu wachezaji waliocheza mechi za mwisho dhidi ya Ethiopia na Guinea pekee, au inajumuisha wachezaji wote...
  19. AFCON inayokuja Mzize asiitwe timu ya Taifa kwa utovu wa nidhamu

    Ni utovu wa nidhamu kugoma kufanyiwa sub,wengine wanasema kocha alidhani amepata injury,lakini utaona kocha akikasirika na kuongea kwa Mzize kugoma kutoka. Hamna mchezaji mkubwa zaidi ya timu hata Samata na Msuva hawajafanya alichofanya Mzize leo.
  20. Rais Samia aipa Taifa Stars Milioni 700 kufuzu AFCON

    Wakuu, Kama lilivyotolewa gari kule Arusha kwa sheikh 'akafanyie shughuli zake', sasa ni zimetoka kwa stars, sasa hivi kura zinanunuliwa kwa hela tu, hakuna purukushani za kukamatwa wakikimbia na mabox! Pia soma: Siasa kuingia kwenye michezo na wanamichezo kutumika kisiasa hatujali kuibomoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…