Kichwa cha habari kinajieleza, team ni ball papwatu papara papatu. Mbele haichezi katikati hainyumbuliki nyuma inqyumba na pembeni haijai.
Yaani bora liende na kubaki kubahatisha tu magori na mashambulizi ya alhamudulilahi,
Wachezaji wanaitwa kwa kuona leo kafanya nini ila hakuna consistence...
Mshambuliaji kinda mzoefu wa miaka 20, Clement Mzize, ameonekana kuwa hatari katika kikosi cha Yanga, akionyesha kiwango bora katika mechi za kirafiki na mashindano.
Sifa zake za uchezaji zimemfanya kuwa mchezaji wa kutegemewa, na sasa matumaini ya Tanzania kufuzu Michuano ya Mataifa ya Afrika...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro amesisitiza kuwa ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa Arusha utakamilika kwa wakati kama ilivyopangwa na kuwa tayari kwa michuano ya AFCON 2027.
Akizungumza katika ziara ya kukagua maendeleo ya uwanja huo leo Agosti 29, 2024 Dkt...
ARUSHA
Katibu Mkuu wzara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga amekakagua eneo la Mradi wa Samia Arusha AFCON City (SAAC).
Eneo hilo lenye ukubwa wa ekari 4,555.5 lipo Kata ya Olmot na Olasiti katika Jiji la Arusha na limepakana na miradi miwili ya viwanja...
Kaimu Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Hemed Suleiman akitaja Kikosi kitakachoingia kambini Agosti 28, 2024 kujiandaa na michezo ya kufuzu AFCON 2025 dhidi ya Ethiopia na Guinea itakayochezwa Septemba 4 na Septemba 10, 2024.
Kocha Morocco amewacha Mbwana Samatta na Saimon Msuva katika Kikosi hicho...
Ujenzi wa uwanja wa arusha kwa ajili ya afcon ni fursa adhimu kwa waandaji kwa maana kwamba africa iko mikononi wa east africa 2027
Nimekuwa nikufuatilia mijadala ya wadau wa michezo na wanamichezo kuhusua maandalizi yenyewe kila mmoja anatoa mawazo ya namna maandalizi haya yafanyikie.
Arusha...
Najiuliza tu, kama kweli kuna umakini katika hili, mbali na katibu mkuu wa wizara kukesha gym na mitandaoni, sioni alichokifanya katika Wizara, ni mambo ya status quo ante.
Arusha na Dodoma, tuliambiwa watajenga viwanja, kuna dalili?.
Naona Rwanda anakarabati na kujenga viwanja kama vile kuna...
Nimesikitika sana kuona nchi ambayo kwa siku za karibuni haijashiriki wala haina perfomance nzuri katika michuano ya soka kimataifa kupewa kipaumbele mbele ya Tanzania ambayo miaka ya karibuni imefanya vizuri kimataifa, hususan barani Afrika.
Je, viongozi wetu wamelala tu wala hawahangaiki au...
Waziri wa Michezo wa Kenya amedai kwamba Kenya ndio imechaguliwa kuwa Mwenyeji wa mechi za Ufunguzi na Fainali za AFCON ya mwaka 2027 pamoja na mechi zingine.
Sasa naomba ieleweke kwamba mechi za ufungyna Fainali ndio hufuatiliwa zaidi na ndio Zina faida kiuchumi,Sasa iweje mechi zote 2...
Motsepe na genge lake bado hawana uhakika wa kuwa na Afcon msimu wa 2025 kwa sababu inaingiliana na ratiba mpya ya vilabu duniani.
Wakati huo huo msimu huu inaonekana kabisa Euro inaenda kuwa na ushindani mkubwa na mvuto usiomithirika kiasi kwamba watu hata hawaongelei Copa America.
Namshauri...
Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limeahirisha rasmi michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 na badala yake itafanyika Januari 2026.
Uamuzi huu umefanywa ili kuepusha mgongano wa ratiba na Kombe la Dunia la Vilabu la FIFA, linalotarajiwa kuanza Juni 15 hadi Julai 13, 2025...
Mzee Hamis held the worn photograph, the vibrant colors dulled by time, a flag Gold-edged black diagonal band, divided diagonally from the lower hoist-side corner, with a green upper triangle and light blue lower triangle. It was him, younger, joyous, celebrating Tanzania's AFCON bid victory...
Septemba 27, 2023 huko Cairo, Misri katika Kikao cha Kamati ya Utendaji ya CAF walitangaza kuwa Tanzania, Kenya pamoja na Uganda watakuwa wenyeji wa michuano ya Afcon 2027. Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika ya 2027, ambayo pia inajulikana kama AFCON 2027 au CAN 2027, imeratibiwa kuwa ni...
Wakati serikali ikiendelea na ujenzi wa uwanja wa mpira jijini Arusha kwa ajili ya Afcon 2027,
Sio vibaya Arusha iwe na timu ligi kuu kwa lengo la kuufanya mji uwe busy na pilika za kimichezo.
Hata kama mpaka kufikia muda huo hili litashindikana basi TFF waangalie namna ya kupanga mechi...
Nikiwa kama mdau wa michezo hasa Mipira wa Miguu, nashauri Serikali kufanya haya ili kuboresha kiwango cha mpira nchini, na hata ushiriki wetu kwenye mashindano yajayo ya AFCON,2027 yatakayo fanyika nchini kwa kushirikiana na wenzetu wa Kenya na Uganda.
1. Tutafute Kocha wa daraja la juu...
Mchezaji mfupi kuliko wote nchini akiwqzidi madifenda wa zamani akina George Magere Masatu au Paulo John Masanja Dickson, Dickson Job ameachwa katika kikosi cha stars kwa madai ya kugomea kucheza beki wa kulia kwenye mchezo dhidi ya DRC.
Huyu bila kupepesa macho wala kuleta ushabiki, ingekuwa...
Wakenya wanataka fainali ya AFCON 2027 ifanyikiwe kwao. Rais Ruto ameliagiza Jeshi pamoja na Wizara ya Michezo wajenge uwanja wenye hadhi ya Kimataifa unaobeba watu 60,000 jijini Nairobi tena Ukamilike ndani ya Miaka 2 tu. Tanzania inabidi tuchangamke, fainali ichezewe kwa Mkapa.
Sisi wabongo...
Ni chini ya miaka mitatu sasa kabla ya AFCON 2027 kufanyika na tunajua Tanzania, Kenya na Uganda watakuwa wenyeji wa mashindano hayo maarufu barani Africa.
Tuliambiwa Tanzania itajenga viwanja vipya vya mpira Arush na Dodoma.
Ujenzi wa viwanja vizuri na vikubwa vya kimataifa huchukua muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.