afcon

  1. Erythrocyte

    Aliyekataliwa kusimamia timu Ligi ya Mabingwa kwa kukosa vyeti, leo anasimamia Timu ya Taifa kwenye AFCON

    Hii ndio Africa bhana! Da Rosa alipokuwa Simba alikataliwa kufundisha timu hiyo kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa kwa madai kwamba hajakidhi vigezo vya Elimu anayotakiwa kuwa nayo kocha anayesimamia timu kwenye michuano hiyo Bali leo ameonekana alisimamia timu ya Taifa inayoshiriki michuano...
  2. N

    Afcon 2022 mbovu sijapata ona

    Nimeangalia baadhi ya michezo ya afcon ikiwa ni pamoja na ule wa ufunguzi, wa Senegal na saiv naufatilia huu wa Morocco na Ghana. Nachokiona ni soka bovu, nguvu ikitawala huku soka likichezwa taratibu sana Yan mtu mpaka unaboreka. Michuano mikubwa lakin hakuna mashabiki Yani...
  3. Da Gladiator

    AFCON 2021| Fixtures, venues, full schedule and kick-off times. Tournament - CAMERON

    Bonjour wakuu, Michuano ya TotalEnergies African Cup of Nations 2021, inategemewa kuanza leo Jumapili 09, Januari 2022. Michuano hii ilitakiwa ifanyike mwaka jana 2021 ila ilihairishwa kutokana na gonjwa la UVIKO-19 Ila sio wale waliopo bungeni 😂 unaosababishwa na virusi vya Corona. Hivyo CAF...
  4. Greatest Of All Time

    2021 AFCON Special Thread

    Michuano ya Afcon imefika, ni hapo kesho ndio inatarajiwa kuzinduliwa. Itafanyika kuanzia kesho Januari 9 mpaka Februari 6 mwaka huu. Michuano hii ilibidi ifanyike mwaka jana 2021 ila kwasababu ya Covid-19 ikahairishwa. Hivyo inafanyika mwaka huu ila ina jina la mwaka jana. Mwenyeji wa...
  5. Greatest Of All Time

    Greatest Afcon XI, nani kasahaulika?

    Mtandao wa GiveMeSport wametoa kikosi bora cha wachezaji ambao wamewahi kucheza Afcon mbalimbali. Je unaungana nao au unapingana nao? Kama unapingana nao, tuambie ni mchezaji gani amekosekana kikosini?
  6. Greatest Of All Time

    Azam Tv kutoonyesha Michuano ya Afcon 2022

    Kuna tetesi kuwa AzamTv hawana haki ya kuonyesha michuano ya Afcon 2022 itakyofanyika mapema mwakani! Kama ni kweli basi, AzamTv watakuwa wamefeli pakubwa sana, maana wanashindwa kuonesha michuano mikubwa na yenye mvuto na hii inapelekea kuwashushia uweledi!
  7. Kasomi

    Mtanzania kuchezesha AFCON

    Mtanzania kuchezesha AFCON. Mwamuzi wa Tanzania Frank Komba ameteuliwa na CAF kuwa miongoni mwa waamuzi watakao chezesha michuano ya AFCON Inayo tarajiwa kuanza mwezi January
  8. C

    Ac Milan, Liverpool and Napoli are the only teams in Europe that are still unbeaten till now and how AFCON will destruct them?

    AC Milan, Liverpool & Napoli are The Three of The Four Clubs in Europe's Top Five Leagues to Remain UNBEATEN in Their Respective League So Far. 😎🔥 But Things Don't Look Good for Them in the early 2022.. The Africa Cup of Nations will be Played from 9th January to 6th February 2022.. And the...
  9. M

    Tanzania kwenda Afcon tena

    Inawezekana Tanzania ikaenda tena Afcon endapo tu chama cha soka cha Equatorial Guinea kitashindwa kulipa faini waliopigwa shirikisho la mpira FIFA ndani ya siku 30. Equatorial Guinea 🇬🇶 walipigwa faini ya kiasi €644,000 baada ya kushindwa kuwalipa makocha waliopita wa timu ya taifa ya wanaume...
  10. K

    Salaaam kwenu wajumbe wa uchaguzi

    Niwambie tu kwamba mnyonge m yongeni lakini haki yake mpeni. Hivi Nani asiyejua kuwa kwenye utawala wa karia timu ya taifa ilifika Afcon? Nani asiyejua timu ya vijana na wanawake zimepanda chati? Sasa hivi mashindano ya azam federation yanafika kila Kona ya Tanzania. Tunataka nini cha ziada...
Back
Top Bottom