afcon

The CAF Africa Cup of Nations, officially CAN (French: Coupe d'Afrique des Nations), also referred to as AFCON, or Total Africa Cup of Nations after its headline sponsor, is the main international men's association football competition in Africa. It is sanctioned by the Confederation of African Football (CAF) and was first held in 1957. Since 1968 it has been held every two years, switching to odd-numbered years in 2013.
In the first edition in 1957 there were only three participating nations: Egypt, Sudan and Ethiopia. South Africa was originally scheduled to compete, but was disqualified due to the apartheid policies of the government then in power. Since then the tournament has grown greatly, making it necessary to hold a qualifying tournament. The number of participants in the final tournament reached 16 in 1998 (16 teams were to compete in 1996 but Nigeria withdrew, reducing the field to 15, and the same happened with Togo's withdrawal in 2010), and until 2017, the format had been unchanged, with the sixteen teams being drawn into four groups of four teams each, with the top two teams of each group advancing to a "knock-out" stage. On 20 July 2017, the Africa Cup of Nations was moved from January to June and expanded from 16 to 24 teams.Egypt is the most successful nation in the cup's history, winning the tournament a record of seven times (including when Egypt was known as the United Arab Republic between 1958 and 1961). Three different trophies have been awarded during the tournament's history, with Ghana and Cameroon winning the first two versions to keep after each of them won a tournament three times. The current trophy was first awarded in 2002 and with Egypt winning it indefinitely after winning their unprecedented third consecutive title in 2010.
In 2013, the tournament format was switched to being held in odd-numbered years so as not to clash with the FIFA World Cup.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Hongera Mama Samia, Kwa kuwezesha Kutinga Afcon

    Kiukweli ushindi wa Leo bila mashabiki ungekuwa mgumu sana, wachezaji wamejitoa baada ya watanzania wengi kuingia uwanjani. Naishukuru sana serikali ya CCM ikiongozwa na Dk. Samia Suluhu Kwa kutuwezesha watanzania masikini kuweza kuingia uwanjani na kuwapa saport wachezaji wetu. Lastly...
  2. Wala nisiwe Mnafiki leo ninataka CCM Taifa Stars ifungwe na isishiriki 2025 AFCON na ninajua itakuwa tu AMEN

    Unafiki Kwangu ni mwiko kutokana na hii Timu kuwa ni ya Kisiasa zaidi naiombea Mabaya leo na isiende 2025 AFCON.
  3. Full Time: Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024

    Its match day!! Ni Tanzania Vs Guinea katika dimba la Benjamin Mkapa kuanzia Saa 10:00 Jioni. Ni mchezo wa kufuzu AFCON ya mwaka 2025 pale Morocco ambapo kundi H Taifa Stars inahitaji ushindi wa namna yoyote ili ifuzu wakati Guinea wao wakihitaji ushindi au droo ili waweze kufuzu. Saa 10:00...
  4. Kila la kheri Stars inakwenda Afcon Morroco kwa ushindi wa 2-1 leo!

    Niliwacha kuishangilia stars tangu siku ya mechi ya stars dhidi ya bukina faso walipoitungua 2-1 nafikiri 2007 kama sikosei niliipuza baada ya kuingia siasa za maricio maximo na baadhi ya wachezaji nikawaacha na stars yao, Lakini kwa kiwango chajuzi kipindi cha kwanza kama bacca,Samatta...
  5. CAF hawawezi kukubali Taifa stars kufuzu Afcon

    Mpira ni biashara Timu letu Bado ni bovu Stars umeenda Afcon mara mbili mfululizo ila haijawahi kushinda wala kutoa sare Timu letu kila likienda linapigwa na kututia aibu. Me Mtanganyika ila sitaki timu letu lifuzu Yaani tumeikosa Ghana, tena tuikose Guinea, iyo Afcon itakuwa kama ndondo cup...
  6. FT: Ethiopia 0 - 2 Tanzania | AFCON QUALIFICATION | Stade des Martyrs - DRC | 16-11-2024

    Match Day. KIKOSI CHA TANZANIA KINACHOANZA LEO Mpira ndio unaanza sasa. Updates Game on 05' Tanzania wanafanya mashambulizi hafifu kidogo kwenye lango la Ethiopia. Tanzania wanatawala game. 06' Msuva anakosa goli la wazi kabisa hapa, Amepata assist nzuri sana toka kwa Samatha. Namna gani...
  7. Kufuzu AFCON 2025: Libya yasema itachukua hatua za kisheria dhidi ya Timu ya Taifa ya Nigeria

    Shirikisho la Soka la Lipya (LFF) limekosoa kitendo cha Nigeria kugomea kucheza mchezo dhidi ya Taifa hilo katika Kuwania Kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika 2025 uliopangwa kuchezwa Jijini Benghazi, jana Oktoba 15, 2024. Taarifa ya LFF imesema wanalaani kitendo cha Shirikisho0 la Soka la Nigeria...
  8. Msigwa: Tutafanya kila kitu kinachohitajika kufuzu AFCON. Watanzania wasiikatie tamaa Taifa Stars

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo, Gerson Msigwa amesema Serikali iko tayari kufanya kila linalohitajika ili kuwezesha Taifa Stars kufuzu michuano ya AFCON 2025. Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo, Gerson Msigwa ameomba Watanzania kutoikatia tamaa timu ya Taifa (Taifa Stars) kwenye michezo...
  9. Tanzania ni nchi 2 zinazoshindwa kutoa wachezaji 11 bora AFCON

    Tanganyika na Zanzibar tunashindwa nini kuunda timu Moja imara ya kushinda makombe Africa na duniani. Shida ni vipaji hakuna, makocha hakuna, mashabiki haukuna na uongozi wa nchi? tumerogwa?
  10. Nigeria kususia mechi ya kufuzu Afcon 2025 nchini Libya

    Timu ya Taifa ya Nigeria “Super Eagles” imesema haitacheza mchezo wake dhidi ya Libya kuwania, leo Jumanne Oktoba 15, 2024 baada ya msafara wa Wachezaji wao kutelekezwa Uwanja wa Ndege usiku mzima Timu hiyo ilitarajiwa kutua Jijini Benghazi jana Oktoba 14, 2024 lakini ndege ikabadili ratiba na...
  11. Full Time: Tanzania 0- 2 DR Congo | Qualification AFCON 2025 | Benjamin Mkapa Stadium | 15 Oktoba, 2024

    Leo Jumanne, Taifa Stars itakuwa dimba la Benjamin Mkapa kwa kazi moja tu kusaka ushindi dhidi ya DR Congo katika mechi ya kuwania kufuzu AFCON 2025 nchini Morocco. Mechi hii itachezwa saa 10:00 jioni Mpira umeanza kipindi cha kwanza na DR Congo ndiyo wameanzisha gozi. Dakika, 2 Stars...
  12. FT: DR Congo 1 - 0 Tanzania | Qualification AFCON 2025 | Marty's Stadium | 10 Oktoba, 2024

    Alhamis ya leo Oktoba 10, Taifa Stars itakuwa dimba la ugenini ikicheza na DRC, mchezo wa kuwania kufuzu fainali za AFCON 2025 nchini Morocco. Mchezo huu utachezwa kuanzia saa 1:00 usiku Pia soma ~ Samatta arejeshwa katika kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza mechi ya kufuzu AFCON 2025 vs DR...
  13. Taifa Stars hiyoo AFCON, hakuna timu ya kutuzuia!

    Kwanza kabisa niseme wazi timu yetu ya taifa ni nzuri na inaupiga mwingi sana sio kibonde tena huko tushatoka. Ukiangalia mechi za Taifa Stars na Congo DR huwa hazina mnyonge. Lolote humkuta yoyote, hapo rank za FIFA huwa hazina kazi , bampa to bampa, piga nami nikupige, Congo DR mabishoo ...
  14. Samatta arejeshwa katika kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza mechi ya kufuzu AFCON 2025 vs DR Congo

    Kikosi cha Timu ya Taifa "Taifa Stars" kitakachoingia kambini kujiandaa na michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025 vs DR Congo Oktoba 10, 2024 na Oktoba 15, 2024. Pia soma: ~ Samatta, Msuva watupwa nje kikosi cha Taifa Stars kufuzu afcon 2025 ~ DR Congo 0 - 0 Tanzania | Qualification AFCON 2025 |...
  15. Mnauhakika Wachezaji Stars wanaitaka AFCON?

    Habari za jioni wakuu? Kwa jinsi wachezaji wa Taiga Stars wanavyocheza ni kana kwamba wamelazimishwa kushiriki mashindano haya,wanamgomo wa chini kwa chini dhidi ya uongozi. Team haina maelewano,wachezaji hawana stamina,poor physic. Feisal Salum anafunga goli lakini binafsi haamini kama...
  16. FT: Guinea 1-2 Taifa Stars | Kufuzu AFCON 2025 | Septemba 10, 2024| Charles Konan Banny Stadium

    Taifa Stars leo inashuka dimbani kutupa karata yake ya pili leo jumanne saa moja jioni kuwania tiketi ya kufuzu michuano ya AFCON 2025 dhidi ya Guinea baada ya kutoka sare na Ethiopia nyumbani. Dakika,11 milango bado ni migumu kwa timu zote hadi sasa. Licha timu zote mbili zikioneka...
  17. Afcon Qualification 2025: Ethiopia Vs DR Congo | Benjamin Mkapa Stadium | 09.09.2024

    Game ya Kwa Mkapa hii VIKOSI VINAVYOANZA LEO
  18. FT: AFCON Qualification 2025: South Africa 2 - 2 Uganda | Orlando Stadium | 06.09.2024

    Game On... Uganda on lead 14' Foster anawapatia South Africa Goli la kuongoza. HT 1-0 ================= Kipindi cha pili. 45' Mpira umeanza kwa kasi kidogo, umiliki kwa Uganda. 51' Goooooooooooal Uganda wanazawasisha hapa kupitia D. Omedi anapiga shuti zito nje ya 18. Chuma cha kwanza kwa...
  19. FT: AFCON Qualification 2025: Kenya 0-0 Zimbabwe | 06.09.2024

    Duke Abuya Vs Prince Dube. Game On... 33' Mpira unaendelea kwa kasi sana. Duke Abuya kiungo anaubonda sana leo 35' Kenya wanajitahidi kufika kwenye lango la Zimbabwe wanakaa imara pale. 36' Dube anatoa pasi nzuri inaleta shambulio kali kwenye lango la Kenya. Inaokolewa, Kenya wamekoswa koswa...
  20. D

    Taifa Stars tumefika AFCON last year na kikosi hiki hiki acheni excuses, kocha asepe

    Last year tumechezaAFCON na kikosi hiki hiki . Watanzania acheni siasa kocha asepe tutafute kocha mpya, kocha hana uwezo shida yetu ni kuprogress AFCON sio kuingia AFCON acheni siasa I will be short Soma Pia: FT: AFCON 2025 Qualification | Tanzania 0-0 Ethiopia | Benjamin Mkapa Stadium |...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…