Mafuriko wiki hii nchini Afghanistan yamegharimu maisha ya karibu watu 160 na waokoaji wanaendelea kutafuta watu ambao wamekwama kwenye matope na chini ya vifusi vya nyumba zilizosombwa na maji, mamlaka imesema.
Mikoa kumi na tatu, hasa kaskazini mwa nchi, imeathirika, kulingana na wizara yenye...
Msemaji wa gavana wa mkoa wa Nangarhar nchini Afghanistan anasema zaidi ya wafungwa 300 bado hawajulikani walipo baada ya shambulizi la kundi la kigaidi linalojiita dola la kiislamu katika gereza moja katika mji wa Jalalabad. Attaulah Khugyani amesema kuwa kati ya wafungwa 1,793, zaidi ya 1,025...
The Afghan government has postponed its plan to release Taliban prisoners, a senior official said, a decision that could sabotage a deal signed last month between the armed group and the United States.
Javid Faisal, a spokesman for the National Security Council, said on Saturday the releases...
Ndege ya abiria yaanguka Afghanistan, maafisa wanasema.
Ndege hiyo ilianguka katika eneo la Deh Yak wilaya ya Ghazni, kusini magharibi ya mji wa Kabul, msemaji wa mkoa ameambia vyombo vya habari.
Ndege hiyo alianguka na kushika moto kutokana na hitilafu ya kiufundi, msemaji huyo alisema...
VIFO ZAIDI AFGHANISTAN: Zaidi ya watu 2,100 wamekufa baada ya kufunikwa na maporomoko ya udongo jana kaskazini mwa nchi hiyo. Msemaji wa Gavana athibitisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.