Ndege ya mwisho iliyowabeba wanajeshi wa Marekani imeondoka jana nchini Afghanistan na kuashiria kumalizika kwa vita vya miaka 20, vinayotajwa kuwa virefu zaidi katika historia ya Marekani.
Kuondoka kwa Wanajeshi wa Marekani kunakuja wakati dunia ikishuhudia kushindwa kwa wanajeshi hao...
Kwa mujibu wa Taarifa ya pamoja ya Mataifa mbalimbali ikiwemo Marekani, Taliban imehakikisha itaruhusu Raia ambao ni wageni na Waafghani wenye ruhusa kuondoka salama Nchini Afghanistan
Vilevile taarifa hiyo ambayo inajumuisha Nchi za Australia, Japan, Ufaransa na Uhispania imesema Mataifa hayo...
August 26, 2021 Afghanistan-Taliban news
At least 13 US service members killed in Kabul airport attack
Biden briefed on explosion outside Kabul's airport
From CNN's Jeremy Diamond
President Biden has been briefed on the explosion outside Kabul airport, a White House official says.
Moments ago...
Maisha yana namna nyingi za kutufundisha kushikilia tulichokuwa nacho kwa wakati huo.
Baada ya Kundi la Wanamgambo wa Taliban kuchukua utawala wa Afghanistan, aliyekuwa Waziri wa Mawasiliano wa taifa hilo, Syed Ahmed Shah Sadat ameonekana akitembeza Piza nchini Ujerumani.
Gazeti la nchini...
Mataifa kadhaa yasema kuna tishio kubwa la shambulio la kigaidi katika uwanja wa ndege wa Kabul na kuonya raia wao kuepuka eneo hilo.
Australia, Marekanj na Uingereza zimetoa tahadhari zikiwataka Raia ambao tayari wapo nje ya Uwanja huo wa Ndege kuondoka. Zaidi ya watu 82,000 tayari...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema lina vifaa vya kudumu wiki moja pekee Nchini humo baada ya vifaa vya matibabu kutoka nje kuzuiwa kutokana na vizuizi katika Uwanja wa Ndege wa Kabul.
Pia limeeleza wasiwasi wake kuhusu hali ya sasa kushinikiza maambukizo ya COVID19. Imeelezwa, upimaji...
Talibani Na Afghanistan.
Nini Hatima yake Machoni mwa Kiitwacho Jamii ya Kimataifa (Nchi za Magharibi na Marekani)?
Afghanistan Yenye Majimbo 34, Wilaya 421, Watu Milion 38.
Je, Katika Hii Mikono ya Mapinduzi ya Taliban dhidi ya Rais Ashraf Ghani?
Nini itakuwa Hatima ya Afghanistan...
Wanagambo wa Taliban wametishia kuyachukulia hatua mataifa ya Marekani na Uingereza ikiwa watashindwa kuondoa wanajeshi wao kufikia Agosti 31 mwaka huu.
Kauli ya Taliban inakuja siku moja baada ya Rais Joe Biden kusema kuwa kuna uwezekano wa kuongeza muda wa wanajeshi wao kuendelea kukaa nchini...
Kunatisha lakini, ila binadamu walioko huko wanahitaji majani chai yetu, kikubwa sisi tutie ndani mkwanja......
====================================
The Taliban takeover of Afghanistan is yet to hit the export of tea to that country as most of the commodity is still accessing Kabul through the...
Marekani imeomba msaada wa mashirika 6 ya ndege ya kibiashara kusaidia kusafirisha watu kutoka Afghanistan, ikiwa ni jitihada ya kuongeza kasi kuwaondoa Wamarekani na Waafghani walio hatarini Kabul.
Rais Joe Biden amesema Marekani imesafirisha watu wapatao 28,000 wiki iliyopita. Maelfu ya...
Pamoja na kuondolewa kwa vikosi vya kigeni nchini Afghanistan na taifa hilo kuchukuliwa na Taliban,
tunaangalia ni kiasi gani Marekani na washirika wake wa Nato wametumia katika nchi hiyo kwa miaka 20 ya operesheni za kijeshi.
Vikosi gani vilitumwa?
Marekani ilivamia mnamo Oktoba 2001...
Wiki hii tumeshuhudia rabsha za hapa na pale nchini Afghanistan, jeshi la serikali ya Afghanistan limeshindwa kuwakabili wahuni wa Taleban wasiojua kukata tamaa au kushindwa, wanajeshi karbia wote wa Afghanistan walikimbia na Raisi wao pia akachochora.
Na kuna news za kimya kimya zinadai...
Rais wa Marekani Joe Biden ameapa kuwa atawarejesha nyumbani raia wote wa Marekani kutoka nchini Afghanistan pamoja na Waafghani waliosaidia juhudi za nchi yake kwenye vita vya karibu miaka 20.
Biden ametoa ahadi hiyo alipozungumza na waandishi habari mjini Washington wakati hatma ya maelfu ya...
Waliwaambia Uganda waandae makazi ya wakimbizi kutoka Afghanistan. Jamaa wakachangamkia fursa. Ila hadi leo ndege haijatua Uganda.
Bunge la Uganda limemtaka Waziri Mkuu ajieleze walipo wageni wao, mbona hawafiki.
Kinachowauma Waganda ni hela ambazo Marekani waliahidi katika kufanya zoezi hilo...
Vipengele vipya vya usalama vimekusudiwa kusaidia Waafghan kufunga akaunti haraka na kupunguza nyayo zao katika mitandao ya kijamii.
Alhamisi Facebook ilisema inaanzisha udhibiti mpya wa watumiaji kwa watu nchini Afghanistan ambao wanakimbilia kufuta nyayo zao za kidijitali kwa hofu simu zao au...
Jamaa wamepata mzuka na kulianzisha upya. Wanajilipua kwenye masoko na ndani ya kandamnasi, haya mafundisho ya kidini yataitesa dunia.
========
Somali military officers on a street in the capital Mogadishu on April 25, 2021. PHOTO | AFP
At least two people were killed and five wounded...
Waziri wa Jinsia, nchini Uganda Betty Amongi, amesema wanaume nchini humo wamekuwa wakiombea wakimbizi kutoka nchini Afghanistan wawasili salama na kwamba wamekuwa wakisambaza picha za wanawake hao warembo na kusema anatumaini hawatotoka chama cha wanaume bahili.
Waziri Amongi ameandika hayo...
Aliyekuwa Rais wa Afghanistan aliyepinduliwa na kikundi chenye msimamo mkali Taliban, Ashraf Ghani yasemekana ametoroka na zaidi ya kitita cha dollars za Marekani milion 169.
Ubalozi wa Urusi ulisema Jumatatu, Ashraf Ghani atoroka Afghanistan na magari manne na helicopter yaliyojaa pesa...
Eee bwana wee!
Vita vya ndani havina mshindi. Bila kukaa mezani na kutengeneza muuundo usio na ubaguzi wala ugandamizaji wa haki za watu katika jamii, historia inaendelea kuonyesha kwamba "Utulivy wowote unaoweza kuonekana huwa ni unafiki, unaovundika machafuko".
Baada ya watalibani kutangaza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.