Mafuriko yameua zaidi ya watu 50 katika Jimbo la Logar Nchini Afghanistan na sehemu ya Nchi ya jirani ya Pakistan huku baadhi ya watu wengine wakiwa hawajulikani walipo.
Hasara nyingine ni nyumba zaidi ya elfu moja kuharibiwa, mazao yaliyokuwa shambani yameharibika, Wanyama wamepotea na wengine...
Inaelezwa kuwa mvua kubwa zinazoendelea kunyesha na uharibifu mkubwa wa majengo na miundo mbinu ni kikwazo kikubwa kwa jopo la uokoji kusini-mashariki mwa Afghanistan, ambapo tetemeko kubwa la ardhi linaripotiwa kuua zaidi ya watu 1,000 na kuacha majeruhi takriban 1500.
Mamlaka ya Taliban...
Tetemeko hatari sana limefanya uharibifu na kusababisha vifo vingi hadi Taliban wameomba msaada.
=============
At least 920 people have been killed and 600 injured after an earthquake struck eastern Afghanistan early on Wednesday, authorities said.
The 6.1 magnitude quake hit in Paktika...
Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.1, kwa kipimo cha richa, limetikisa maeneo ya mashariki mwa nchi hiyo na kudaiwa kusababisha vifo 130 nchini humo, mamlaka ya kudhibiti majanga nchini humo zimesema idadi ya vifo inaweza kuongezeka
Inaelezwa kuwa, tetemeko hilo lilipiga takriban kilomita 44...
Mahakama Nchini Afghanistan imemuhukumu mwanandishi wa habari, Khalid Qaderi kifungo cha jela mwaka mmoja kwa makosa ya kuikosoa Serikali ya Taliban katika mitandao ya kijamii, japokuwa Msemaji wa Taliban amesema amehukumiwa kwa makosa ya jinai.
Qaderi ni ripota wa Radio Nowruz amekuwa...
Kiongozi wa Taliban ameamuru Wanawake Nchini Afghanistan kuvaa "Chador" ambayo hufunika uso na sehemu kubwa ya mwili. Hii ni moja ya amri kali zaidi kutangazwa tangu Taliban ilipochukua Madarala Mwaka 2021
Imeelezwa kuwa, Baba au ndugu wa kiume wa karibu anaweza kufungwa au kufukuzwa kazi...
Raia wa Afghanistan wamesherekea Sikukuu ya Eid, Mei Mosi huku wengi wao wakiwa na tatizo la njaa. Umoja wa Mataifa (UN) imeeleza kuwa zaidi ya asilimia 90 ya raia wa taifa hilo wanakabiliwa na uhaba wa chakula tangu uongozi wa Taliban uliposhika madaraka Agosti 2021.
“Nani atanipa fedha au...
Serikali ya Taliban imeagiza 'App' maarufu ya TikTok kupigwa marufuku kwa madai kuwa inasababisha Vijana Nchini Afghanistan kupotea
Haijafahamika wazi ni lini marufuku hiyo itaanza lakini Msemaji wa Taliban, Inamullah Samangani amesema hatua hiyo ilikuwa ya lazima ili kuzuia kizazi hicho...
Nchini Afghanistan, viongozi wa Taliban wamepiga marufuku wafanyakazi wa serikali ambao hawana ndevu kufika ofisini.
Taliban wanasema mfanyakazi yoyote wa serikali lazima awe na ndevu za kueleweka, hakuna kunyoa ndevu na wafanyakazi wote ambao hawana ndevu wamepewa muda kabla hawajafukuzwa kazi...
Wadau, inakuwaje Kiongozi mmoja anaikimbia Nchi yake na watu wake na mwingine anakomaa na kuongoza mapambano.
Hata hapa Nyumbani kuna Kiongozi mmoja Uviko wa kumi na tisa ulipoingia alikimbilia Kijijini kwao Chato.
Je ni malezi ndio yanayosababisha Kiongozi mmoja kuwa jasiri na mwingine kuwa...
Wengi wa wakimbizi duniani wanatoka katika nchi 5, Afghanistan, Myanmar, Sudan Kusini, Syria na Venezuela. Na nchi hizi ndizo zimo hatarini zaidi na athari za mabadiliko ya tabianchi.
===========
Since the 1990s, we have become increasingly committed to protecting the environment and of the...
Ama kwa hakika naweza kusema Trump alimudu vingi sana licha ya kuchafuliwa sana na Media kubwa ambazo ni left wing kama cnn, bbc, al jazeera, msnbc, cbs, n.k. lakini Trump aliweza kufanya mambo mengi sana.
Moja ya mambo aliyoyapa kipaumbele ni kupunguza misuguano ya uadui na kujikita zaidi...
After the withdrawal of Western forces from Afghanistan last year, the Taliban regime took over but has not received international recognition. Afghans are now resorting to desperate measures to feed themselves as aid struggles to reach them.
By correspondent Alex Crawford, cameraman Jake...
Mullah Hasan Akhund anayekaimu nafasi ya Waziri Mkuu wa Nchi hiyo amesema Utawala wa Taliban umekidhi vigezo vyote hivyo itambuliwe na Serikali za Kimataifa
Akhund ameeleza hayo katika hotuba yake ya kwanza tangu akaimu nafasi hiyo Septemba 2021. Serikali zimekuwa zikisita kuitambua #Taliban...
Kundi la Wataalamu 36 wa Haki za Binadamu kutoka Umoja wa Mataifa limesema Viongozi wa Taliban wanafanya Ubaguzi na Ukatili wa Kijinsia kwa kiasi kikubwa dhidi ya Wanawake na Wasichana
Wanawake na Wasichana wamekuwa wanapinga Kanuni mbalimbali dhidi yao tangu Taliban kuchukua madaraka Agosti...
Rais wa zamani wa Afghanistan Ashraf Ghani amesema hakuwa na chaguo jingine ila kuondoka haraka Kabul wakati Wataliban waliukaribia mji huo mkuu.
Ghani amekanusha kuwa kulikuwa na mazungumzo yaliyokuwa yanaendelea wakati huo ya makubaliano ya kuwachia madaraka kwa amani, kama walivyodai...
Taliban imesema Wanawake wanaotaka kusafiri umbali mrefu (zaidi ya Kilomita 72) wasipewe usafiri barabarani isipokuwa wakiwa wamesindikizwa na ndugu wa kiume wa karibu
Mwongozo huo wa Serikali ambao umekosolewa na Wanaharakati pia umetoa wito kwa wamiliki wa magari kukataa kuwapandisha Wanawake...
Kundi la Taliban limeitaka Marekani na Mataifa mengine kutambua Serikali yao, likisema kushindwa kufanya hivyo na kuendelea kusitisha Misaada kutaleta matatizo sio tu kwa Afghanistan, bali ulimwengu mzima
Hakuna Nchi ambayo imeitambua rasmi Serikali ya Afghanistan tangu ichukue Madaraka Mwezi...
Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limeonya kuwa Mamilioni ya Raia Nchini Afghanistan watakabiliwa na baa la njaa msimu wa baridi ikiwa hatua za haraka hazitachukuliwa.
Imeelezwa, takriban watu Milioni 22.8 watakumbwa na uhaba wa chakula huku Watoto Milioni 3.2 chini ya miaka mitano...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa(UN), Antonio Guterres amekosoa ahadi hewa zilizotolewa na Taliban kwa Wanawake na Wasichana wa Afghanistan, akihimiza Mataifa kutoa fedha kwa Nchi hiyo ili kuepusha kuporomoka Uchumi
Mamilioni ya Wasichana bado wanasubiri kurejea Shule wakati vipindi kwa Wavulana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.