Mlipuaji wa kujitolea muhanga amelenga msikiti mmoja kaskazini mwa mji wa Afghanistan wa Kunduz wakati wa ibada ya Ijumaa na kuwaua takriban watu 50.
Picha katika mitandao ya Kijamii zimeonesha miili na vifusi ndani ya msikiti , unaotumika sana na jamii ya walio wachache wa dhehebu la Shia...
Hawa taliban walifikiri kuongoza nchi ni sawa na kuvaa kanzu, vilemba, kubeba bunduki na kupiga hovyo?
Unambiwa sasa wanadaiwa mabilioni yanayotokana na malipo ya bill ya kununu umeme toka kwa majirani.
Unaambiwa pia ilikuwa ni tabia yaa ya kuhujumu miundombinu ya umeme kabla hawajashika...
Siku moja baada ya kutangazwa kuwa Hati za Kusafiria (Passport) zitaanza kutolewa, mamia ya wananchi wamejitokeza katika Ofisi hiyo
Huduma hiyo ilisitishwa baada ya Taliban kuchukua madaraka mwezi Agosti, hali ambayo ilipelekea wengi waliotaka kuondoka Nchini humo kushindwa
Kwa mujibu wa UN...
Wapiganaji wa Taliban wamepiga marufuku , vinyozi katika mkoa wa Helmand nchini humo kutowanyoa au kuwapunguza ndevu wanaume, wakisema hatua hiyo inakiuka sheria ya Kiislamu.
‘’Mtu yoyote anayekiuka sheria hiyo ataadhibiwa’’ , Askari wa Taliban wamesema. Baadhi ya vinyozi katika mji wa Kabul...
Syrian Foreign and Expatriates Minister Faisal Mikdad warns the United States to pull out its forces from the Arab country before facing a repeat of its fate in Afghanistan.
Mikdad made the comment during an interview with Russia 24 television channel on Friday, adding, “The presence of US...
Meya mpya wa Mji Mkuu wa Afghanistan, Kabul, amewaambia Wanawake wanaofanya kazi Manispaa kukaa nyumbani isipokuwa kama kazi zazo haziwezi kufanywa na Wanaume
Hamdullah Nomany amesema Taliban imeona kuna haja ya kuzuia Wanawake kufanya kazi kwa muda. Ni kizuizi kingine kuwekwa dhidi ya Wanawake...
Umoja wa Mataifa (UN) unatazamia kukusanya zaidi ya Dola za Marekani Milioni 600 kusaidia Afghanistan, ikionya nchi hiyo inakabiliwa na janga kubwa la kibinadamu.
Kwa mujibu wa UN, Raia wanahitaji Chakula, Dawa, Huduma za Afya pamoja na Maji safi na salama. Imeelezwa hata kabla ya Taliban...
Taliban na mbwembwe zote zile Sasa hv wanamlilia Tena US awasaidie kuendesha nchi. Saudia kanyuti Kama hawajui
=======
Taliban took Afghanistan but face cash squeeze
By JOSH BOAK
WASHINGTON (AP) — The Taliban face a frontal challenge in cementing control of Afghanistan: Money...
Rais wa zamani wa Afghanistan Ashraf Ghani ameomba msamaha kwa watu wa Afghanistan baada ya kukimbilia katika nchi za Falme za Kiarabu.
"Kuondoka Kabul ulikuwa uamuzi mgumu zaidi maishani mwangu," amesema, akiongeza kuwa anajuta kwamba "hakuweza kumaliza hilo kwa njia tofauti."
Bwana Ghani...
Habari za Hivi Punde Ni Kwamba,
Taliban wametangaza serikali mpya ya mpito nchini Afghanistan, itakayoongozwa na mmoja wa waanzilishi wa kundi hilo, mwanamgambo aliyekuwa akisakwa na FBI kama Waziri wa Mambo ya ndani.
Serikali itaongozwa na Mullah Mohammad Hassan Akhund, huku mwanzilishi...
Universities in Kabul were almost empty on the first day of the Afghan school year, as professors and students wrestled with the Taliban’s restrictive new rules for the classroom.
The Taliban have promised a softer rule than during their first stint in power from 1996-2001, when women’s...
Wanafunzi nchini Afghanistan wamerudi vyuoni na kupata mabadiliko chini ya utawala wa Taliban. Wanafunzi wanawake wametenganishwa na wanaume kwa mapazia au mbao madarasani.
Aidha wanawake wanapaswa kuondoka dakika tano kabla ya wale wa kiume ilikuzuia wasitangamane.
=========================...
Kamanda Mkuu wa jeshi la Marekani Jenerali Kenneth McKenzie tarehe 30 Agosti alitangaza kwamba, Marekani imemaliza kuondoa vikosi vyake kutoka nchini Afghanistan, ikimaanisha kuwa, operesheni ya kijeshi ya Marekani iliyoendelea kwa miaka 20 nchini Afghanistan imemalizika rasmi. Vita hii ambayo...
Kuhusu vita ya US na nchi za Magharibi dhidi ya Waislam wa Afghanistan, Ukweli ni huu. Siri ambayo haiwekwi wazi leo naiweka wazi.
Haikuwa vita ya ugaidi au ya kuwa US wanawapenda Sana wa Afghanistan au wanataka demokradia. Ilikua ni vita ya kibiashara. Biashara yenye faida kubwa kuliko mafuta...
Hili swali nimejiuliza hivi kuishi mwanamke USA New York maisha yako yote au kuishi kidume Afghanistan halafu baada ya miaka kumi au 20 unajikuta kwenye war zone halafu Taleban wanakuhisi ni traitor wanakuuwa kwa kukukata shingo kwa kisu polepole ungechagua kipi?
Mimi mzee baba ningechagua kuwa...
Afrika Kusini imesema haiwezi kuchukua wakimbizi kutoka Afghanistan licha ya ombi.
"Afrika Kusini tayari ni makazi ya idadi kubwa ya wakimbizi na imebanwa kushughulikia mahitaji yao," Idara ya Uhusiano wa Kimataifa ilisema katika taarifa yake.
Ilisema ilikuwa imeombwa kuchukua wakimbizi ambao...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda, Jenerali Jeje Odongo amesema waganda walioko Afghastan wamegoma kurudi Uganda
Jen. Odongo amesema katika waganda walioko Afghanstan ni waganda watatu tu walioko tayari kurudi na wameshaandaliwa utaratibu
Wengine wamesema wako salama wataendelea kubaki. Nchi...
Muda uliowekwa na Rais Joe Biden wa Marekani kuondoa majeshi kutoka Iraq umepita, huu ni muda ambao wamarekani wengi walikuwa wakiusubiria. Kwani kwa muda wa miaka 20, wamarekani wamekuwa wakijiuliza ni kwanini majeshi ya Marekani yanaendelea kuwepo Afghanistan? Wazazi wa wanajeshi waliokuwa...
Rais Joe Biden ametetea uamuzi wake wa kuondoa Vikosi vya Marekani Nchini Afghanistan. Rais huyo amekosolewa kwa kiasi kikubwa kutokana na namna Vikosi vya Taifa hilo vilivyoondoka.
Hata hivyo, katika hotuba yake Biden amesema kuendelea kukaa zaidi halikuwa suala lililohitaji mjadala na hakuwa...
akili ya kawaida unatoa kwanza raia wa marekanj na silaha za marekani ndio jeshi linaondoka ila huyu mluga luga katoa kwanza jeshi sijui alitegemea nini.
kuna mjeshi wa navy seals aliemuaa osama kamchana Biden juu ya huu upuuzi, silaha za zaidi ya trilioni 180 zimeachwa huko,saizi taliban...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.